Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA
Hujui kitu
images.jpeg
 
Katika uumbaji wake , hakuna siku hata moja ambayo Mungu alimuumba Mwanadamu Masikini , Nabii Mwamposa ( kama bado uko JF kama ulivyokuwa siku za nyuma ) naomba uchangie hapa

Umasikini siyo Karama ambayo Mungu anampa Mwanadamu , hii ni kazi ya Shetani , wala si jambo la kujivunia

View attachment 2812715View attachment 2812716

Huyu Bilionea Freeman Mbowe ambaye leo , wenye kuutukuza umasikini mnamshangaa kumiliki Kasri Machame fahamuni kwamba anayo majengo hadi nje ya Nchi , sasa mkionyeshwa hayo nadhani mtazimia kabisa .

Halafu watu wa Mjini wanafahamu kwamba huyu ndiye aliyekuwa Mfadhili wa Yanga , kabla ya hawa akina Manji na GSM , Mbona wakati ule hamkuhoji ?

View attachment 2812725

Aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ya Tanzania alijaribu kupambana na Mbowe kwa kutumia dola na Waganga lakini alishindwa vibaya sana na akapotea hadi leo hajulikani alipo

View attachment 2812730

Ujumbe : Usithubutu kushindana na aliyejaaliwa , utapoteza muda wako .

View attachment 2812732
Huyo mmchame ni jambazi tu kama majambazi wengine hasafishiki hata kwa jiki
 
Kwanza pole jana hukuwa na taarifa za kikao cha siri pili taarifa za ndani walio karibu na mwenyewe eti ni ile B10 aliyokodisha chama kwa mamvi!
Wewe kipara kipya Babu yako Nyerere wakati anataka kwenda uingereza kuomba uhuru wa wewe kubwabwaja hapa alimpigia magoti baba yake mbowe ili ampe nauli ya safari na ela za matumizi na akapewa ndio maana Leo unaropoka hovyo tu bila kujua kuropoka kwako Kuna familia ziliwezesha[emoji3]
 
Siyo kweli Nyerere alichangiwa Nauli na Waislamu wa Mzizima wakiongozwa na Rashid Mfaume Kawawa 😂😂🔥
 
Huyu jamaaa mie huwa hata simuelewi anakomaaa sana na chadema wakati huyo mbowe ni mrafi wa madaraka hataki kutoka hapo alipo
Ishu sio madaraka tatizo atamwachia nani asiehongeka? Tuliwaamini wakina zito wako wapi Sasa? Je kafulila? Nasari? Na wengine wengi waliokua wapiga kelele wazuri mpaka wakina mdee tatizo njaa ndg Hawa ccm kumtunuku mtu hata trillion hawaoni shida mradi uuwe chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Akimiliki Mbowe, amejaliwa!
Akimiliki Mnyeti, amepata wapi?

Kijana uchawa huondoa fikra huru. Hojini utajiri wa watu wenu kama mnavyohoji wa CCM.

By the way hapo kamjengo nimekapenda sana design yake kamekaa 'kimonarch'.
 
Ishu sio madaraka tatizo atamwachia nani asiehongeka? Tuliwaamini wakina zito wako wapi Sasa? Je kafulila? Nasari? Na wengine wengi waliokua wapiga kelele wazuri mpaka wakina mdee tatizo njaa ndg Hawa ccm kumtunuku mtu hata trillion hawaoni shida mradi uuwe chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hata yye ni kama mwanamke malaya tu mjona hata yye amehongeka sana na CCM

NA LOWASA pia Ali alihongeka unajua mpango siyo kuachia chama but yye ni mrafi wa madaraka sana ndio maana hakubali kuachia anajua watakuja wengine wachukue pesa anazohongwa

Makao makuuu ya chama tu kashindwa kujenga RUZUKU za chama je zinakwenda wapi ifike wakati tuongeee ukweli hata kma mchungu mbowe mrafi na mnafiki na mbinafsi sana
 
Back
Top Bottom