Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Nyumba nzuri na makazi mazuri ya Wachaga ndio hufanya wapende kurudi makwao december, na sasa hata marafiki zao wa mikoa mingine wanapenda kwenda kilimanjaro.
 
Mie siwezi sema nimwizi lla nachojuwa karibu na nyumba hiyo kule machame mbele kidogo mkono wa kulia ukiwa unapanda toka wilayani hai kwenda machame baada yakuvuka hapo kwake Yupo na Hotal nzuri sana pia. Mimi nampongeza kwa mapambano ya kujenga familiy yake na familia yenye makazi na malazi cjuwi au sehemu yakulala kiswahili bhana🤣🤣🤣🤣
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Ni uongo kujenga hiyo nyumba miezi mitatu.
 
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu...

IMG_6223.jpg
 
Kama imekuuma kweli kajinyonge kisha acha ujumbe unaoelezea sababu zako za kujitundika. Tafuta hela acha ufala.
Makasiriko yanasababishwa na umaskini.
Awamu iliyopita maskini walipewa jina ya "wanyonge" na wakaaminishwa hiyo hali yao imeletwa na "matajiri" na wakawa washangiliaji wa "utumbuaji"
 
Nikujuze tu mbowe hajatokea swekeni n Wala hajatokea familia masikini kama ww na wengine.
 
Uwa akiwa anatoka kwake anapita nyumba nyingi kuu kuu zipo migombani,anapata uchungu zaidi wa kuwapigania wanyonge,akilala anawasha ac anakula upepo,akiwa kwenye mwanga wa asubuhi warm kama yupo mbinguni,huyu ndiye mtetezi wa masikini.
 
Wasisahau kuwa jamaa anamiliki hotel tangu miaka inaitwa AISHI HOTEL wanalala sana watalii hapo.
 
Back
Top Bottom