Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA
Sasa hiyo ni nyumba ya ku7bisha uyasemayo?
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
 
JIWE alitaka kuifilisi hii familia bila kujua wakati yeye anatembelea mguu peku peku huko kwao familia hii ilikuwa na maisha bora, ulaya kama vile kariakoo.

haya maisha aisee !!
 
Imejengwa kwa muda wa miezi mitatu tu.Wewe ni mshenzi kama walivyo washenzi wenzako.Ulitaka ijengwe kwa muda gani ?.Acha ushetani wako.Mbowe hategemei ruzuku ya Chama. Ana utajiri wa ukoo.Uliza Aikael Mbowe alikuwa nani.
 
sasa, kama ukifa unapigania dini unaenda sehemu nzuri namna hiyo, si mjisogeze tu pale gaza mkapiganie dini ili mwende kupata raha mapema? hamuoni mood aliwadanganya parefu sana?na kama wapalestina ni ndugu zenu katika imani, wale waislam wa misri wanaouawa na waislam wenzao vipi wale hamuwezi kuwatetea? au mwarabu ni keki, ila mbantu ni magimbi tu.
Huoni watu wanavyopigania? Unadhani USA, NATO na Isreal wote wanapiga Gaza mwezi sasa lkn ngoma unaiona. Kama Vatican inapigwa vile Mapapa wote wangalikuwa washavua misalaba. Washakimbia na kujificha.
Wewe ungalibadilisha jinsia ili uolewe
 
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.
Tuweke picha za nyumba za wenyeviti wote, tuanze na Mzee wa ubwabwa
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Lissu akipata mgao wake kwenye mishe za kisiasa, anaukimbiza kwa watoto wake marekani, nadhani atakuwa na majumba ya kifahari zaidi ya saba huko marekani
 
Masikini tulio wengi tumejawa na chuki dhidi ya wanao tuzidi maendeleo ama ya kipato au kielimu.
Walioshangilia kutekwa MO 99.9% ni kundi hili bila kujali kuwa ndugu zetu ni waajiriwa wa MO.

Marehemu alitokea ktk familia ya kipato cha chini ama kwa kuzaliwa na kulelewa au historia ya wazazi wake ni tabaka hili.
Magufuri alikuwa na akili za kichawi na upumbavu mwingi.
 
Umasikini mbaya sana aisee
Hivi hakuna familia zenye biashara tuseme hata miaka 100 ?
Hata familia yetu ina biashara ya miaka zaidi ya 70 na bado zinafanya vizuri na leo wajukuu wana run show
Sasa nikiporomosha mjengo mtasema hela nimepata wapi? Wakati kuna biashara zaidi ya 10

Pigeni kazi vijana wekeni akiba fungueni biashara mdogo mdogo inakuwa ila muache masifa tu
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Acha wivu wa kike hiyo nyumba ilianza kujengea kabla hata ajabambikiwa kesi na kesi ilivyokwisha alikwenda hapo kwenye hiyo nyumba kwa mapokezi hata kabla ajaisha alipokelewa hapo hiyo miezi 3 umeitoa wapi chuki umaskini wa mi ccm hadi mnakuwa wachawi.
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Mbowe ni ma billionaires toka baba yake enzi hizoooo...nawafahamu vyema....pia wana nyumba London.....jirani na Mary Elfick....kuingia kwenye siasa ni hobby sio njaa
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Tunataka watu kama kina Mbowe wawe marais Tanzania kwani hawatatuibia.
 
Katika uumbaji wake , hakuna siku hata moja ambayo Mungu alimuumba Mwanadamu Masikini , Nabii Mwamposa ( kama bado uko JF kama ulivyokuwa siku za nyuma ) naomba uchangie hapa

Umasikini siyo Karama ambayo Mungu anampa Mwanadamu , hii ni kazi ya Shetani , wala si jambo la kujivunia

View attachment 2812715View attachment 2812716

Huyu Bilionea Freeman Mbowe ambaye leo , wenye kuutukuza umasikini mnamshangaa kumiliki Kasri Machame fahamuni kwamba anayo majengo hadi nje ya Nchi , sasa mkionyeshwa hayo nadhani mtazimia kabisa .

Halafu watu wa Mjini wanafahamu kwamba huyu ndiye aliyekuwa Mfadhili wa Yanga , kabla ya hawa akina Manji na GSM , Mbona wakati ule hamkuhoji ?

View attachment 2812725

Aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ya Tanzania alijaribu kupambana na Mbowe kwa kutumia dola na Waganga lakini alishindwa vibaya sana na akapotea hadi leo hajulikani alipo

View attachment 2812730

Ujumbe : Usithubutu kushindana na aliyejaaliwa , utapoteza muda wako .

View attachment 2812732
Nisingeona comment yako ningeshangaa sana, huyu dada mtoa mada atulie tuu mana ht pesa za join the chain hajawahi kutoa 😂
 
Back
Top Bottom