4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Tutafute pesaKatika uumbaji wake , hakuna siku hata moja ambayo Mungu alimuumba Mwanadamu Masikini , Nabii Mwamposa ( kama bado uko JF kama ulivyokuwa siku za nyuma ) naomba uchangie hap...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafute pesaKatika uumbaji wake , hakuna siku hata moja ambayo Mungu alimuumba Mwanadamu Masikini , Nabii Mwamposa ( kama bado uko JF kama ulivyokuwa siku za nyuma ) naomba uchangie hap...
Alafu mnapenda kueneza udini Sana hao waislamu wa mzizima walimchangia msikitini? Yaani badala ya kuwataja waliochanga unabeba majority has if harambee ilifangikia msikitini?Siyo kweli Nyerere alichangiwa Nauli na Waislamu wa Mzizima wakiongozwa na Rashid Mfaume Kawawa [emoji23][emoji23][emoji91]
Ushahidi wa Makandokando ya Mnyeti tunaoAkimiliki Mbowe, amejaliwa!
Akimiliki Mnyeti, amepata wapi?
Kijana uchawa huondoa fikra huru. Hojini utajiri wa watu wenu kama mnavyohoji wa CCM.
By the way hapo kamjengo nimekapenda sana design yake kamekaa 'kimonarch'.
anayejua alipo atuonyesheakapotea mpaka leo hajulikani alipo dah! We jamaa umenichekesha!
Kama nimumuona huyo jamaa Yuko simuyu juu ya mkokoteni anachapa punda. Chama Cha Mambuzi safi sana, na mbuzi nyingine zinashangilia, patheticAnalipwa na Serikali siyo Chama 😂
Makonda: Ni vikundi vya Watoa Taarifa
Huo wivu wa kike unawatesa.Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.
Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Tutake radhi mkuu yaani mashabiki genius wa Simba utufananishe na empty mind wachumia tumbo km hawaCCM hamna tofauti na mashabiki wa. Simba baada ya kutandikwa 5G.
Pia, picha hii imfike Jiwe huko aliko aliedhani atafanikiwa kumfanya Mbowe awe masikini.
We ndio umeiona leo hiyo nyumba wakati ina miaka zaidi wakati wewe bado hujui hata kuogaMbowe ni fisadi, roho inaniuma sana nikiliona hili jumba alilojenga kwa kodi zetu
Nenda kaombe kazi humoAmeandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
Hao wajumbe ni nani na nani?Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.
Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
MBowe hajapatia maisha cahdema, amwzaliwa kwenye familia inayojiweza acheni kupotoshaAmeandika Dr. Sisimizi
Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
View attachment 2812700
Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.
Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.
Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.