Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
NDUGAI AOMBE RADHI

Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni

https://t.co/M8SruLenvA
IMG_20211231_174828.jpg
 
NDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122

Wazee wa kujikomba,
Why aombe radhi? Kwani yy Hana mawazo yake ?

Na mawazo yake lazima yawe sawa na serikali?
 
Sasa hivi mnavyoengea kuna Wanawake kama ninyi wanazalia barabarani kwa sababu hakuna Zahanati wala Dawa, kuna watoto wanalala sakafuni kila Mkoa kwa umaskini hawana Wazazi wala mahali pa kuishi halafu mnakuja kuongelea mambo ya kingese ?

Spika wa Bunge aombe radhi kwa kuikosoa Serikali ?
Mbona Serikali haituombi radhi kwa kutukatia umeme, maji kuvunjia na kuchoma moto mali za Wafanyabiashara ambao hawana namna nyingine ya kuishi?

Acheni kutumika!
 
Acha waongezeke na wengine kina UWT halafu WAZAZI km hamkusikia na Vijana wanaandamana, Chama kwisha hili kwa mpasuko wa tamaa za Urais
 
Mbona mashuleni hakuna mabweni watoto wanakatiza masomo na kurudi nyumbani shauri ya umbali wa Shule zilipo Mbona hamtoi tamko?

Mimba za utotoni sababu ya watoto wa kike kupewa vishawishi vya lifti za bodaboda sababu ya ukosefu wa mabweni na Shule kuwa mbali sana mikoani na Wilayani Mbona hamtoi tamko la kuahamasisha mabweni yajengwe kwa kipao mbele?

Hospitali hakuna huduma za maji mikoani na Wilayani na vitongoji, mzazi akijifungua maji inabidi yatoke nyumbani ambako ni mbali na hospitali wajibandike kichwani kupeleka hospitali Mbona hamtoi tanko maji yapatikane hospitali?

Yani jamani!
 
NDUGAI AOMBE RADHI

Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni

https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Hao wanawake wamekosa kazi za kufanya. Vimejaa unafiki sana.

Very stupid. They wanna shuck us. Mbona kipindi cha JPM vilikuwa havijitokezi hivyo?
 
NDUGAI AOMBE RADHI

Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni

https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Jitokezeni kuelezea Katiba mpya ndio ufumbuzi wa kila kitu.
Haya majukwaa ya kijinga hayana tija kwa taifa.
Mpuuzieni tu.
Katiba katiba.
 
NDUGAI AOMBE RADHI

Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni

https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Huyu Semakafu aliwahi kutumbuliwa na mwendazake,ameanza uchawa Tena ili mama ampe nafasi tena.
 
NDUGAI AOMBE RADHI

Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni

https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Atumbuliwe u spika ,Tulia yupo , pumbavu zake
 
Back
Top Bottom