white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hizi nchi zetu bila unafiki mambo hayaendi, huyo semakafu , yaani hapo utakuja kusikia yameandaliwa maandamano ya kupinga mfumo dume kuwa wanafanya hivyo kwakuwa rais ni mwanamke!!!kuna matatizo chungu nzima ya wanawake nchi hii hayo hawayaoni?hapo wanatafuta teuzi tu.Hao wanawake wamekosa kazi za kufanya. Vimejaa unafiki sana.
Very stupid. They wanna shuck us. Mbona kipindi cha JPM vilikuwa havijitokezi hivyo?