Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndio unatumika. huwezi kuwa kwenye pori moja halafu unachezea moto kwa kuwashawasha njiti au kulikata pori kwa shoka lako beganiSpika wa Bunge aombe radhi kwa kuikosoa Serikali ?
Mbona Serikali haituombi radhi kwa kutukatia umeme, maji kuvunjia na kuchoma moto mali za Wafanyabiashara ambao hawana namna nyingine ya kuishi?
Acheni kutumika!
Mpini wa shoka ilikata miti yote wakati ni Ndugai anauanika udhaifu wa Mhimilikuu kati yai3Mbona mashuleni hakuna mabweni watoto wanakatiza masomo na kurudi nyumbani shauri ya umbali wa Shule zilipo Mbona hamtoi tamko?
Mimba za utotoni sababu ya watoto wa kike kupewa vishawishi vya lifti za bodaboda sababu ya ukosefu wa mabweni na Shule kuwa mbali sana mikoani na Wilayani Mbona hamtoi tamko la kuahamasisha mabweni yajengwe kwa kipao mbele?
Hospitali hakuna huduma za maji mikoani na Wilayani na vitongoji, mzazi akijifungua maji inabidi yatoke nyumbani ambako ni mbali na hospitali wajibandike kichwani kupeleka hospitali Mbona hamtoi tanko maji yapatikane hospitali?
Yani jamani!
Jumuiya ya WAHUNI NA MAL*YA TZNDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Na hawa wanaotaka aombe radhi wameibuka leo 'kimchongo mchongo' - watafuta kiki + teuziNi vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
wewe ndio unatumika. huwezi kuwa kwenye pori moja halafu unachezea moto kwa kuwashawasha njiti au kulikata pori kwa shoka lako begani
Atoke kwanza nje ya Mhimili wa umma ndio aanze kubwabwaja siri za serikali
anajiona kwa vile hajaapa km wenzake Mawaziri
Huyu ni kumnyang'anya Kadi tu akapige kelele ka Tundu Lissu
mbona wakati wa Mwenda zake kila mara alijikomba?
Mpini wa shoka ilikata miti yote wakati ni Ndugai anauanika udhaifu wa Mhimilikuu kati yai3
Njiti ya kiberiti ilichoma pori lote wakati ni nduguze ni Ndugai
Anajua ya Lissu, na wengine, sema safari hii haitwi kwenye maakuli naye adanganye.
Wamnyang'anye tu Kadi ya CCM tuone vumbi la Kongwa
Halionyeshwi tatizoHivi Bunge ni mwezi wa ngapi vile?Nahisi nitaanza kuangalia tena Bunge baada ya kuacha Kwa muda mrefu sana!
Huyo anatafuta kurudi kwenye uteuzi, hawana jipya.......wakati wenye mimba na wazazi wakiambiwa warudi shuleni wakasome na watoto mbona hatujawaona mahali popote wakiongelea hili.Huyu Semakafu aliwahi kutumbuliwa na mwendazake,ameanza uchawa Tena ili mama ampe nafasi tena.
Inchi hii ina watu wa hovyo Sana.NDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Ona hicho mkono wa kushoto kilivyobana midomo kama kinakata gogo! Qmmy zao
"...sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu tunaojua masharti ya mikopo hii, ila tunajua tutailipa yote na riba juu tutake tusitake!.Ni vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
Angekuwa clear tangu azaliwe hangeshambuliwa.Hoja sake zinadharauliwa kutokana na ukinyonga wake.Ni vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
Nani atosoma risala ikitokea kama marchNdugai ana mikosi aisee
Ndugai ana mikosi aisee
Semakafu ni mwanasiasa? Si alikua Naibu Katibu Mkuu huyu? DuhNDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Aombe radhi la sivyo bye byeNDUGAI AOMBE RADHI