FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ukioa wanawake viherehere kama hawa, utajuta.., utanyimwa na huna la kufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini maandamano ya katiba yataanzia ccmAcha waongezeke na wengine kina UWT halafu WAZAZI km hamkusikia na Vijana wanaandamana, Chama kwisha hili kwa mpasuko wa tamaa za Urais
Hapana. Nina imbaUnauliza?
Nchi hii ina upuuzi mwingi hii ndo kitu gani sasaNDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Wajuvi wa mambo wanasema Samia analazimisha kukopa Ili 1/3 apele zanzibar alafu tanganyika ndo tulipe Deni hii yote ni Janja Janja tu wenye akili wamemshtukia,Ni vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
Zanzibar wana mpango wao wa bahari ya blue wamewapata wafadhili kibao, watakemgewa miradi kibao, hizo hela Mama anazokopa ni za daraja la Busisi kwani atashimdwa kukopa kuungamisha Bagamoyo na Unguja?Wajuvi wa mambo wanasema Samia analazimisha kukopa Ili 1/3 apele zanzibar alafu tanganyika ndo tulipe Deni hii yote ni Janja Janja tu wenye akili wamemshtukia,
kama ni kweli makubaliano Ndugai ingawa simpendi
Ndugai anataka wananchi walipishwe kodi, wapende wasipende ili kumalizia miundo mbinu ya matrilionNi vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
Sidhani kama ilikua ni maana yake ndugu yangu, hata hivyo bado hio mikopo inalipwa kupitia wananchi hao hao kwenye kodi zaoNdugai anataka wananchi walipishwe kodi, wapende wasipende ili kumalizia miundo mbinu ya matrilion
So hukumuelewa?, Haya niambie kwa kipato cha trillion 1.5 kwa mwezi, je unaweza finance miradi ya reli ya kisasa, bwawa la nyerere, daraja la kigongo na miradi hiyo ikaisha ndani ya miaka 100?Sidhani kama ilikua ni maana yake ndugu yangu, hata hivyo bado hio mikopo inalipwa kupitia wananchi hao hao kwenye kodi zao
Hapana bro, kama mzigo ni mzito kupita uwezo wako kuipunguza na kuurudia baadae sio dhambi.So hukumuelewa?, Haya niambie kwa kipato cha trillion 1.5 kwa mwezi, je unaweza finance miradi ya reli ya kisasa, bwawa la nyerere, daraja la kigongo na miradi hiyo ikaisha ndani ya miaka 100?
Hebu tuweni realistic basi,, maana akiiacha miradi asikamilishe kwanza ni hasara, maana matrilion tayari yamekuwa committed hapo,
Na mtasema hajamaliza miradi ya jpm,,
Ifike mahali watanzania tujitambue ni nini hasa tunataka,,
Akifuata ushauri wa ndugai, maana yake ili miradi iishe, lazima kodi ziongezwe mara elfu kumi
Wakina Yusuph makama, Nape, kinana, na January haoHao wanawake wamekosa kazi za kufanya. Vimejaa unafiki sana.
Very stupid. They wanna shuck us. Mbona kipindi cha JPM vilikuwa havijitokezi hivyo?
wengi wameshamjua Ndugai ni msaliti km LissuNdugai anataka wananchi walipishwe kodi, wapende wasipende ili kumalizia miundo mbinu ya matrilion
Wazee wa kujikomba,
Why aombe radhi? Kwani yy Hana mawazo yake ?
Na mawazo yake lazima yawe sawa na serikali?
Mbona nembo yao ni ya kampeni ya urais! Nembo haina uhusiano na vyama vya siasa.NDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122
Hili nalo neno. Aombe radhi kwa kosa gani? Blah-blah tuSpika wa Bunge aombe radhi kwa kuikosoa Serikali ?
Mbona Serikali haituombi radhi kwa kutukatia umeme, maji kuvunjia na kuchoma moto mali za Wafanyabiashara ambao hawana namna nyingine ya kuishi?
Watu wanatafuta Ada za watoto Sheikh, January haijawahi kuwa nyepesi tangu Miaka 2021 iliyopita
Hawana kazi za kufabyaNDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni
https://t.co/M8SruLenvA
View attachment 2064122