Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo


Wazee wa kujikomba,
Why aombe radhi? Kwani yy Hana mawazo yake ?

Na mawazo yake lazima yawe sawa na serikali?
 
Sasa hivi mnavyoengea kuna Wanawake kama ninyi wanazalia barabarani kwa sababu hakuna Zahanati wala Dawa, kuna watoto wanalala sakafuni kila Mkoa kwa umaskini hawana Wazazi wala mahali pa kuishi halafu mnakuja kuongelea mambo ya kingese ?

Spika wa Bunge aombe radhi kwa kuikosoa Serikali ?
Mbona Serikali haituombi radhi kwa kutukatia umeme, maji kuvunjia na kuchoma moto mali za Wafanyabiashara ambao hawana namna nyingine ya kuishi?

Acheni kutumika!
 
Acha waongezeke na wengine kina UWT halafu WAZAZI km hamkusikia na Vijana wanaandamana, Chama kwisha hili kwa mpasuko wa tamaa za Urais
 
Mbona mashuleni hakuna mabweni watoto wanakatiza masomo na kurudi nyumbani shauri ya umbali wa Shule zilipo Mbona hamtoi tamko?

Mimba za utotoni sababu ya watoto wa kike kupewa vishawishi vya lifti za bodaboda sababu ya ukosefu wa mabweni na Shule kuwa mbali sana mikoani na Wilayani Mbona hamtoi tamko la kuahamasisha mabweni yajengwe kwa kipao mbele?

Hospitali hakuna huduma za maji mikoani na Wilayani na vitongoji, mzazi akijifungua maji inabidi yatoke nyumbani ambako ni mbali na hospitali wajibandike kichwani kupeleka hospitali Mbona hamtoi tanko maji yapatikane hospitali?

Yani jamani!
 
Hao wanawake wamekosa kazi za kufanya. Vimejaa unafiki sana.

Very stupid. They wanna shuck us. Mbona kipindi cha JPM vilikuwa havijitokezi hivyo?
 
Jitokezeni kuelezea Katiba mpya ndio ufumbuzi wa kila kitu.
Haya majukwaa ya kijinga hayana tija kwa taifa.
Mpuuzieni tu.
Katiba katiba.
 
Huyu Semakafu aliwahi kutumbuliwa na mwendazake,ameanza uchawa Tena ili mama ampe nafasi tena.
 
Atumbuliwe u spika ,Tulia yupo , pumbavu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…