Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

Hao wanawake wamekosa kazi za kufanya. Vimejaa unafiki sana.

Very stupid. They wanna shuck us. Mbona kipindi cha JPM vilikuwa havijitokezi hivyo?
Hizi nchi zetu bila unafiki mambo hayaendi, huyo semakafu , yaani hapo utakuja kusikia yameandaliwa maandamano ya kupinga mfumo dume kuwa wanafanya hivyo kwakuwa rais ni mwanamke!!!kuna matatizo chungu nzima ya wanawake nchi hii hayo hawayaoni?hapo wanatafuta teuzi tu.
 
Ndugai atajuta kujipendekeza
Ajute kivipi, mkuu kwani hao wakinamama watamfanya nini? Huyo ni spika, ni muhimili huo, ana wabunge asilimia 90 wote wanamuunga mkono yeye. Elewa hilo achana na hao wana CCM wa nje.
 
Huyu Semakafu aliwahi kutumbuliwa na mwendazake,ameanza uchawa Tena ili mama ampe nafasi tena.
Mwendazake alitumbua wote wenye akili, alikuwa anataka kufanya kazi na mazombie kama Majaliwa, mwisho wake 2025
 
Wajuvi wa mambo wanasema Samia analazimisha kukopa Ili 1/3 apele zanzibar alafu tanganyika ndo tulipe Deni hii yote ni Janja Janja tu wenye akili wamemshtukia,

kama ni kweli makubaliano Ndugai ingawa simpendi
Naomba kujua wazanzibar nao wanalipa tozo??
 
Hii jumuiya ni ya nini? Kabla hata sijauliza kwa nini imesema hivyo inavyosema!
 
Ni vile tu ndugai ana status mbaya kwenye siasa, kutokana na kutumia nafasi yake kwa upendeleo na vile yupo kwenye chama kinachochukiwa na wengi lakini lile aliloliongea la deni la taifa alikua very clear.
Ili mtu usikilizwe vizuri unachosema lazima uwe na "credibility" ya unachoongelea. Ndugai hana hiyo credibility kuhusu mipango, miradi, mapato, mikopo, misaada na matumizi ya serikali. Hana uelewa wala hajawahi kuwa "consistent" anapoongoza bunge kuisimamia na kuishauri serikali kuhusu mambo hayo. Kuna ujinga mwingi umepita hapo Bungeni chini ya uongozi wake tangu awamu ya tano na alikatisha tamaa juhudi zote za kuyajadili kwa hoja. Baadaye leo anakuja kudai hajui "alikuwa wapi"?

Hata hiki alichosema hakuwa very clear kama wengine mnavyotaka kuamini. Kauli zake zimejaa mikanganyiko kibao. Mzozo wake na CAG ni katika mambo ya aina hii.
 
Usimfurahie sana Lissu. Alimaanisha huo mnada ulishafanyika tangu awamu zilizopita - tangu ya nne. Sasa wewe ukiwa mtetezi wa awamu ya tano sijui unakubali kuwa hata chini ya jiwe tulikuwa chini ya kivuli cha mnada.
 
Kile alichokiongea ndio imani yake hivyo tunapaswa kufika mahala kuheshimu maoni na mitazamo ya watu na huo ndio uhuru wa maoni tunaopiganiakuwa nao hatupaswi kufanana fikra katika kujenga taifa nje na hoja mikopo tuliyo nayo na miradi iliyofanyika value zinaendana hapo ndio kuna hoja ya msingi
 
Huyu mama kichaa..ndio maana mwamba JPM alimtupa.....
 
Usimfurahie sana Lissu. Alimaanisha huo mnada ulishafanyika tangu awamu zilizopita - tangu ya nne. Sasa wewe ukiwa mtetezi wa awamu ya tano sijui unakubali kuwa hata chini ya jiwe tulikuwa chini ya kivuli cha mnada.
Mkuu simfurahii Lissu wala Magufuli ila kuna Imani huwa naisimamia nikiwa na maana huwa sifuati mkumbo mpaka nijiridhishe.

Mfano, Magufuli sikuwahi mpinga, kumkubali wala kumchukia, huwa naweka muda wangu kwa kuwa na subra.

Haya mengine ya nchi kuuzwa mara sijui ilishapigwa mnada ndiyo imeshatokea keep ready for any.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…