Just for fun: Namna wanaume hudeal na michepuko, akili mingi sana hutumika

Just for fun: Namna wanaume hudeal na michepuko, akili mingi sana hutumika

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)

Mziki ni pale Jama amekuja kufariki , ndo kumbe familia husika wanakuja kuelewa ni wao ndo walikua nyumba ndogo kwa myaka yote 16.

Na ilekule nyingine iliyokua inadhaniwa ndo nyumba ndogo kumbe ndo nyumba kubwa kwa myaka zaidi ya 20.

Wakiwa wanasoma wosia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. 😁😁😁
 
Daah ila wanaume 🤦🏽‍♀️
giphy.gif
 
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)

Mziki ni pale Jama amekuja kufariki , ndo kumbe husika wanakuja kuelewa ni wao walikua nyumba ndogo kwa myaka yote 16.

Na ilekule nyingine ilikua inadhaniwa ndo nyumba ndogo kumbe ndo nyumba kubwa kwa myaka 20.

Wakiwa wanasoma usia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. 😁😁😁
Endelea kukisanua!
 
Kwa Dunia ya sasa ambayo mchepuko anataka kumringishia nyumba kubwa huwezi kuchukua miezi 3 bila mambo yenu kuwekwa hadharani

Anaanza kupost vidole vyako, kidogo saa unayopendelea kuivaa mara Kwa mara

Hujakaa sawa anaposti Koti la suit ambayo unapenda kulivaa Kila unapoaga kwenda Kazini

Hujakaa vizuri anaposti kukuwish birthday huko Instagram/TikTok na Whatsapp status

Kifuatacho ITV.......

Bora kubaki njia Kuu tu
 
Mwanaume mwenye akili timamu kabisa. ... Kabisa, kabisa. Na nguvu za kiume anazo.... Na course za Cuba za muda mfupi awe anahudhuria.

Anaoa kwa sherehe kabisa na bi mkubwa hajui kitu...

Ukikaa vibaya namtumia MWANAO wa kwanza apeleke mahindi kwa mama ake Mdogo .. na yeye hashtuki .

😎😎
 
Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?

Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?

Hii chai..
Double life, nimeshaona documentary za wanaume wa wa namna hii.

Wengi ni pathological liars na wanawake hawawashtukii maana wanatimiza majukumu yote. Kwa mfano wanajifanya kuwa na kazi ambazo wanasafiri mara kwa mara, kumbe akisema amesafiri anaenda kwa familia nyingine.
 
Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?

Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?

Hii chai..

Cuba unapajua wewe ???
 
Sio chai ipo Mkuu,ila kwamba ni Bibi mdogo hapo.....!
Hii chai au mmjawapo alijua ila aliamua kunyamaza, miaka 16 hata ndugu wa mume wasijue?? Hawakufunga ndoa?
Hao wanawake mume wao hajawahi kufiwa wakakutana msibani?

Hii haingii akilini…
 
Mwanaume mwenye akili timamu kabisa. ... Kabisa, kabisa. Na nguvu za kiume anazo.... Na course za Cuba za muda mfupi awe anahudhuria.

Anaoa kwa sherehe kabisa na bi mkubwa hajui kitu...

Ukikaa vibaya namtumia MWANAO wa kwanza apeleke mahindi kwa mama ake Mdogo .. na yeye hashtuki .

😎😎
Hiyo ilikuwa tunaweza sisi Mwaka 47 sio sasa kwenye hii Dunia yenu ya smartphone

Mchepuko anaweza kupambana hadi akapata namba ya Simu ya Mke wako kisha kuanza kumtumia vijembe status

Ukichagua vibaya mchepuko jiandae kuumbuliwa muda wowote

Anaweza kukupigia simu saa 7 usiku akakwambia eti amekumisi, si hatari hiyo 😜🙌
 
Back
Top Bottom