Just for fun: Namna wanaume hudeal na michepuko, akili mingi sana hutumika

Umeishi na mtu miaka 15 unakuja gundua anafamilia ingine kwakwel Kwa miaka iyo inabid niwe mpole nitulize komwe ningoje kifuatacho isidingo hapo tuna watoto kede useme uondoke hao watoto wako nyuma yako umri nao unakuambia soon utatembelea mti ni kukaa na kutulia
 
Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?

Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?

Hii chai..
Hii ni chai yenye magadi.

Kaka yangu ana nyumba ndogo kwa miaka6 sasa ana watoto2 hadi sasa kajenga nyumba nzuri na wanishi na mke mdogo kwa mkubwa wote wana biashara na wapo wilaya moja mgodo ndo ana mjua bi mkubwa bi mkubwa hamjui mdogo. anajua baba mama na mimi tu ila familia yetu tupo watoto10 tulio hai!

Bi mdogo alikuja kwenye msiba wa shangazi akalala yeye na mtoto na nilikuwa namuita shemeji kama kawaida.

Nyumbani walijua mke ndg yetu wa karibu. mwaka huu ata tambulishwa rasimi sasa.
 
Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)

Mziki ni pale Jama amekuja kufariki , ndo kumbe familia husika wanakuja kuelewa ni wao ndo walikua nyumba ndogo kwa myaka yote 16.

Na ilekule nyingine iliyokua inadhaniwa ndo nyumba ndogo kumbe ndo nyumba kubwa kwa myaka zaidi ya 20.

Wakiwa wanasoma wosia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. 😁😁😁
Alikuwa anakaa wapi? Hii ni chai japo kuna issue moja naijua inakaribiana na hii. Jamaa, mzanzibar alikuwa masomoni Canada akakutana na msichana wa Tanganyika. Waka-date, baada ya jamaa kusema hajaoa na msichana alikuwa hana mtu. Wakaishi wote na kufunga ndoa. Haikuishia hapo, wakanunua kiwanja na kujenga Dar. Haya yote yalikuwa yanafanywa na ndugu wa mume. Mwanaume alimaliza masomo akarudi na kumwacha demu mwaka mmoja. Mwaka kuisha demu akarudi na kupokelewa na mumewe kwenye nyumba waliyojenga. Baada ya wiki moja demu akahisi jambo kwani mwanaume alikuwa hatulii nyumbani. Anyways, kukatisha story, demu akajagundua kuwa kumbe yule mzenji alikuwa na mke na watoto wawili na ile nyumba aliyodhani wamejenga wote ni ya kupanga.
 
Double life, nimeshaona documentary za wanaume wa wa namna hii.

Wengi ni pathological liars na wanawake hawawashtukii maana wanatimiza majukumu yote. Kwa mfano wanajifanya kuwa na kazi ambazo wanasafiri mara kwa mara, kumbe akisema amesafiri anaenda kwa familia nyingine.
Labda wawe wanaishi mikoa tofauti azae awatelekeze ila kuishi nao wote km mke na mume na wasijulikane hiyo haipo ni uongo..!!
 
Double life, nimeshaona documentary za wanaume wa wa namna hii.

Wengi ni pathological liars na wanawake hawawashtukii maana wanatimiza majukumu yote. Kwa mfano wanajifanya kuwa na kazi ambazo wanasafiri mara kwa mara, kumbe akisema amesafiri anaenda kwa familia nyingine.

Mzee dereva, kwao kwa asili ni mafia.

MKE mmoja yupo Mbalizi mbeya huyo mwingine yupo uyole, Mbeya (distance ya nauri ya 1600 tu...)

Na wameenda kufahamiana huko huko mafia.

Huyu Lamomy anahoji Nini huyu ??
macho_mdiliko
cocastic
 
Hii ni chai yenye magadi.

Kaka yangu ana nyumba ndogo kwa miaka6 sasa ana watoto2 hadi sasa kajenga nyumba nzuri na wanishi na mke mdogo kwa mkubwa wote wana biashara na wapo wilaya moja mgodo ndo ana mjua bi mkubwa bi mkubwa hamjui mdogo. anajua baba mama na mimi tu ila familia yetu tupo watoto10 tulio hai!

Bi mdogo alikuja kwenye msiba wa shangazi akalala yeye na mtoto na nilikuwa namuita shemeji kama kawaida.

Nyumbani walijua mke ndg yetu wa karibu. mwaka huu ata tambulishwa rasimi sasa.
Huyo mke mkubwa ni zoba na ni wale wanawake wasiokuwa wadadisi. Mtu mwenye familia nyingine na unaishi naye, tena kwa muda mrefu, kama wewe ni mdadisi, lazima utagundua.
 
Mzee dereva, kwao kwa asili ni mafia.

MKE mmoja yupo Mbalizi mbeya huyo mwingine yupo uyole, Mbeya (distance ya nauri ya 1600 tu...)

Na wameenda kufahamiana huko huko mafia.

Huyu Lamomy anahoji Nini huyu ??
Sasa dereva naye naye ni mume wa kueleweka?? Hao malaya kila kituo wana wanawake (michepuko)

Lakini pamoja na hayo bado wana mke ambaye ndio anafahamika kwao kwenye ukoo wake…!!
Usiniletee mifano ya mtu anayechepuka na malaya…
 
Hii ni chai yenye magadi.

Kaka yangu ana nyumba ndogo kwa miaka6 sasa ana watoto2 hadi sasa kajenga nyumba nzuri na wanishi na mke mdogo kwa mkubwa wote wana biashara na wapo wilaya moja mgodo ndo ana mjua bi mkubwa bi mkubwa hamjui mdogo. anajua baba mama na mimi tu ila familia yetu tupo watoto10 tulio hai!

Bi mdogo alikuja kwenye msiba wa shangazi akalala yeye na mtoto na nilikuwa namuita shemeji kama kawaida.

Nyumbani walijua mke ndg yetu wa karibu. mwaka huu ata tambulishwa rasimi sasa.
Usisahau vulumai litakalolipuka hapo kwa kikao kulitungia uzi hapa .

Ila maisha ya kuwa na mchepuko nahisi ni kuuweka moyo rehani tu ,mara uko bafuni simu ikiita miguu ianze kutetemeka ,mara uko na mkeo meseji ikiingia kidudu kilale yaani lengo uwahi kufa uwaachie mali .

Njia kuu ndiyo mpango mzima aise
 
Hii ni chai yenye magadi.

Kaka yangu ana nyumba ndogo kwa miaka6 sasa ana watoto2 hadi sasa kajenga nyumba nzuri na wanishi na mke mdogo kwa mkubwa wote wana biashara na wapo wilaya moja mgodo ndo ana mjua bi mkubwa bi mkubwa hamjui mdogo. anajua baba mama na mimi tu ila familia yetu tupo watoto10 tulio hai!

Bi mdogo alikuja kwenye msiba wa shangazi akalala yeye na mtoto na nilikuwa namuita shemeji kama kawaida.

Nyumbani walijua mke ndg yetu wa karibu. mwaka huu ata tambulishwa rasimi sasa.
Kakosea kupanga script 😹😹
Anatuona wote wajinga kwamba sisi wengine sio watanzania..!!
 
Hii ni kweli na ipo,kuna Jamaa alikuwa mtu wa kusafiri sana,Kuondoa alikuwa na mke, Dodoma na mke!Hawajuani,!Simu anazo kama funguo za jela!Kila mke kampa namba zake!Akienda kwa bi mkubwa anazima simu na kuiacha ofisini,na Akienda Kwa bi mdogo hivyohivyo.Lilikuja bumburuka amestaafu kazi kakata mguu kwenda kondoa!Bi mdogo kafunga safari kuja Dodoma kwa kutonywa na wapambe.Kafika Nyumbani kwa kwa Mkuu,kakuta kajianika na bi mkubwa anasubiri menu ya Mchana!Mzee pozi lilimuisha.
 
Alikuwa anakaa wapi? Hii ni chai japo kuna issue moja naijua inakaribiana na hii. Jamaa, mzanzibar alikuwa masomoni Canada akakutana na msichana wa Tanganyika. Waka-date, baada ya jamaa kusema hajaoa na msichana alikuwa hana mtu. Wakaishi wote na kufunga ndoa. Haikuishia hapo, wakanunua kiwanja na kujenga Dar. Haya yote yalikuwa yanafanywa na ndugu wa mume. Mwanaume alimaliza masomo akarudi na kumwacha demu mwaka mmoja. Mwaka kuisha demu akarudi na kupokelewa na mumewe kwenye nyumba waliyojenga. Baada ya wiki moja demu akahisi jambo kwani mwanaume alikuwa hatulii nyumbani. Anyways, kukatisha story, demu akajagundua kuwa kumbe yule mzenji alikuwa na mke na watoto wawili na ile nyumba aliyodhani wamejenga wote ni ya kupanga.
Duuh mjini shule!
 
Wakiwa wanasoma wosia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom