Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Bro mke wake mkubwa anachangamoto kwenye uzazi huwa anazaa kwa op tu na hii ni mara3 na wana miaka zaidi ya 17 ana watoto3 ndo sababu kuu ya bro kuwa na bi mdogo.Kakosea kupanga script 😹😹
Anatuona wote wajinga kwamba sisi wengine sio watanzania..!!
Na hii kumwambia atambulishwe ni mzee ame force akilegeza hatatambulishwa rasmi huu mwaka utapita pia