Endelea kukisanua!Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)
Mziki ni pale Jama amekuja kufariki , ndo kumbe husika wanakuja kuelewa ni wao walikua nyumba ndogo kwa myaka yote 16.
Na ilekule nyingine ilikua inadhaniwa ndo nyumba ndogo kumbe ndo nyumba kubwa kwa myaka 20.
Wakiwa wanasoma usia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. πππ
Hata kama ni documentary,ipo live hata Mimi nimewahi Iona kwa mjomba wangu kabisa!πππ hii ni documentary au
TumefanyajeDaah ila wanaume π€¦π½ββοΈ
View attachment 3320675
Sio chai ipo Mkuu,ila kwamba ni Bibi mdogo hapo.....!Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?
Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?
Hii chai..
Kwa Dunia ya sasa ambayo mchepuko anataka kumringishia nyumba kubwa huwezi kuchukua miezi 3 bila mambo yenu kuwekwa hadharani
Anaanza kupost vidole vyako, kidogo saa unayopendelea kuivaa mara Kwa mara
Hujakaa sawa anaposti Koti la suit ambayo unapenda kulivaa Kila unapoaga kwenda Kazini
Hujakaa vizuri anaposti kukuwish birthday huko Instagram/TikTok na Whatsapp status
Kifuatacho ITV.......
Bora kubaki njia Kuu tu
Hapo sasa,Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?
Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?
Hii chai..
Double life, nimeshaona documentary za wanaume wa wa namna hii.Kwamba huyo mke mdogo hakujua km mumewe ana mke mwingine kabla yake?
Kwamba hata misiba au sherehe za upande wa mume hawashiriki wakakutana na ndugu?
Hii chai..
Hii chai au mmjawapo alijua ila aliamua kunyamaza, miaka 16 hata ndugu wa mume wasijue?? Hawakufunga ndoa?Sio chai ipo Mkuu,ila kwamba ni Bibi mdogo hapo.....!
Anatuona matraco yake πΉπΉHapo sasa,
Hiyo ilikuwa tunaweza sisi Mwaka 47 sio sasa kwenye hii Dunia yenu ya smartphoneMwanaume mwenye akili timamu kabisa. ... Kabisa, kabisa. Na nguvu za kiume anazo.... Na course za Cuba za muda mfupi awe anahudhuria.
Anaoa kwa sherehe kabisa na bi mkubwa hajui kitu...
Ukikaa vibaya namtumia MWANAO wa kwanza apeleke mahindi kwa mama ake Mdogo .. na yeye hashtuki .
ππ
Tena miaka 20? Kweliii? ππππAnatuona matraco yake πΉπΉ
Yani kwa familia ilivyo hata uzae nje na baamedi lazima itajulikana, sembuse kuishi km mke na mume!!