Just for fun: Namna wanaume hudeal na michepuko, akili mingi sana hutumika

Kakosea kupanga script 😹😹
Anatuona wote wajinga kwamba sisi wengine sio watanzania..!!
Bro mke wake mkubwa anachangamoto kwenye uzazi huwa anazaa kwa op tu na hii ni mara3 na wana miaka zaidi ya 17 ana watoto3 ndo sababu kuu ya bro kuwa na bi mdogo.

Na hii kumwambia atambulishwe ni mzee ame force akilegeza hatatambulishwa rasmi huu mwaka utapita pia
 
Haiwezekani kabisaa.


Yaani. Nikiweza kumpanga bimdogo akakujua na akakubari kukaa kwenye nafasi yake .. cocastic nakuolea huyo bi Mdogo .. na mtoto etu wa kwanza tunampa jina lako my love. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na atakuwa alishakufa bila shaka
 
shemeji promax
 
RIP Legend, ameacha legacy ya ukweli πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
shemeji promax
Uhakika mimi ndo huwa naenda kufanya yote pale bro akitingwa isipokuwa kuzagamua tu issue yoyote nikiwa free naimaliza tu hata shem Akimcheki bro hampati mimi nampigia bi mkubwa namwambia naomba niongee na bro hapo chap tu anapewa simu kuna code nikimwambia chap anamcheki bi mdogo
 
Mf. Unamchepuko ukajua namkeo anaye utafanyaje
 
Mf. Unamchepuko ukajua namkeo anaye utafanyaje

SweetyCandy my dear ipo hivi.
Binafsi sishabikii uhuni na umalaya. Ila kabla hatujasemezana kuhusiana na mazingira husika naomba nambie ... Nani anaelipa mahali ??
Ni mwanamke au mwanaume ??

:katiba tunayotaka ibadirishwe inasema . Nanukuu NI MARUFUKU KWA MWANAMKE KUWA NA MME ZAIDI YA MMOJA AU WANAUME WAWILI KUOA MWANAMKE MMOJA mwisho wa kunukuu.
 
People may think it to be too good to be true

Lakini hicho ni kisa cha kawaida tu mbona. Hasa kwa wafanyabiashara.

Nilisoma kisa kimoja Marekani.

Jama walimhisi kuwa CIA au Wakala/Agent wa nchi mbili. Alikuwa na majina tofauti na ndiyo aliyojitambulisha kwa hizo familia zake. Kila mke akimjua kwa jina tofauti na analojua mke mwingine. Na kila mmoja akijua yupo peke yake kwenye ndoa.

Jamaa alifariki, wake hao wawili waliokuwa mji mmoja walipata taarifa. Wakati familia moja wanajiandaa kufanya mazishi wakakuta mwili umechukuliwa na familia nyingine kwa maziko na kwa jina tofauti na document zote wanazo. Katika kufuatilia wakagundua tena kuna mwanamke mwingine toka Mexico nae anafuatilia mwili na yeye anazo documents halali za uraia na kila kitu.

Walichokifanya baada ya mazishi ni kukutana tu na kuanzisha mahusiano ya udugu maana kote jamaa alikuwa na watoto tena wakubwa tu.
 


Af bas tu wanajitia kichwa ngum. Ila haya Mambo ni kawaida.
 
Mungu alisema ukioa umefungwa wewe ni wamwanamke mmoja ukiwa na wapili unatenda dhambi maana ulishaapa mbele za Mungu na mbele za watu wote kuwa wewe ni mme wa mkeo so wewe unazini kitu ambacho Mungu hapendi . So mahari isikudanganye kama wewe umeoa ni unazini na mtu mwingine ni dhambi
 
Ukinichiti 0005 nakunyonyoa zile sehemu alizokupendea walahi halafu siku ukienda kwake huna chakumpa ndio wangu nitamfanyia hivyoo
 

Aaaa jamani. Me kijana wa watu wapi na wapi na wake wengi ???

Me nimeokoka.
Mwanamke mzuri kuliko mke Wang akikatiza mbele yang. Nasema "" SHINDWA PEPO""

Ila ninachokisimamia ni Nini ... Naenda ikiwa mwanaume atashindwa kabisa kutulia na MKE mmoja. .. ni Bora aoe wa pili badala ya kwenda kitambaa cheupe, mbeya pazuri, mafyati, uwanja wa fisi au sehem yoyote mbaya. Ni Bora tu aongeze mke.
 
Ukinichiti 0005 nakunyonyoa zile sehemu alizokupendea walahi halafu siku ukienda kwake huna chakumpa ndio wangu nitamfanyia hivyoo

Ahaha ... MUNGU awarehemu wake zetu ... mmekuja kuwa mnatunyanyasa Sana... Tunashindaa kula Bata Kama neno linavosema ... NANYI MTAKULA MEMA YA NCHI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahaha ... MUNGU awarehemu wake zetu ... mmekuja kuwa mnatunyanyasa Sana... Tunashindaa kula Bata Kama neno linavosema ... NANYI MTAKULA MEMA YA NCHI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MIe sikatao mtu awe na mchepuko shida mtu anazindikwa na madawa anakudharau sibora alale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…