1. Kwani kakwambia anataka kuwa mtumishi wa kanisa?Mungu alisema ukioa umefungwa wewe ni wamwanamke mmoja ukiwa na wapili unatenda dhambi maana ulishaapa mbele za Mungu na mbele za watu wote kuwa wewe ni mme wa mkeo so wewe unazini kitu ambacho Mungu hapendi . So mahari isikudanganye kama wewe umeoa ni unazini na mtu mwingine ni dhambi
Halafu wanasahau kuwa waliumbwa kwa ajili yetu. Hata ukiangalia nanihii zao zilitengenezwa ili nanihii zetu ziingie.Ahaha ... MUNGU awarehemu wake zetu ... mmekuja kuwa mnatunyanyasa Sana... Tunashindaa kula Bata Kama neno linavosema ... NANYI MTAKULA MEMA YA NCHI
πππ
Haiwezekani, kwa scenario ya hii story haipo hii kitu.Inawezekana vzr tu tena kwenye sherehe kwa mmeo michepuko huwa inakuja na inakuwa inakutuma tuma wewe huyohuyo na hujui kitu na usiku inaenda kuzagamliwa kama ilivyoandikwa wewe unaachwa na mawifi mkinywa wine
Kwa kweli, πππππLiongoβ¦.
Anajaribu utunzi wa hadithi..!! πΉπΉπΉ
Wee em sema kweli?! ππππ
πππππkirahisi tyuuh? Sio kivilee.Oh. Unakuja kistuka katoto kamemaliza kidato Cha sita @coxastic umekua bibi .. unajinunisha Ila ugali unapika ... Ntakuletea zawadi kukuchoma pale mezani. .. unaacha kuuliza kwanini nilimpa jina lako mtoto wa bi Mdogo unaanza kuuliza Bei nlonunulia kuku.
Kuna kisa kama hiki kipo Facebook, kule mhusika ndiyo kasimulia, hapa jirani ndiye anasimulia! Siku tukiwa wabunifu na siyo kuiga tutafika mbali sana!Kuna familia hapa jirani Mara nyingi
Aliuguzwa na mke yupi?Mzee dereva, kwao kwa asili ni mafia.
MKE mmoja yupo Mbalizi mbeya huyo mwingine yupo uyole, Mbeya (distance ya nauri ya 1600 tu...)
Na wameenda kufahamiana huko huko mafia.
Huyu Lamomy anahoji Nini huyu ??
macho_mdiliko
cocastic
Mungu alisema ukioa umefungwa wewe ni wamwanamke mmoja ukiwa na wapili unatenda dhambi maana ulishaapa mbele za Mungu na mbele za watu wote kuwa wewe ni mme wa mkeo so wewe unazini kitu ambacho Mungu hapendi . So mahari isikudanganye kama wewe umeoa ni unazini na mtu mwingine ni dhambi
Lete fungu la maandiko yanayoamrisha mwanaume kuoa mke mmoja tu.
Aliuguzwa na mke yupi?
Alifia wapi?
NKuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani.
na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo)
Mziki ni pale Jama amekuja kufariki , ndo kumbe familia husika wanakuja kuelewa ni wao ndo walikua nyumba ndogo kwa myaka yote 16.
Na ilekule nyingine iliyokua inadhaniwa ndo nyumba ndogo kumbe ndo nyumba kubwa kwa myaka zaidi ya 20.
Wakiwa wanasoma wosia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. πππ
No reform no electionUmeishi na mtu miaka 15 unakuja gundua anafamilia ingine kwakwel Kwa miaka iyo inabid niwe mpole nitulize komwe ningoje kifuatacho isidingo hapo tuna watoto kede useme uondoke hao watoto wako nyuma yako umri nao unakuambia soon utatembelea mti ni kukaa na kutulia
Haiwezekeni Kwa sababu huwezi kujua na hutojua Hadi unambie Bahati mbaya wa kukuambia hayupo hivyo hutokaa ujue. Ongea na mawifi zako vizuri wanajua Hadi Watoto wa Nje mmeo!!Haiwezekani, kwa scenario ya hii story haipo hii kitu.
Mimi ndio nilikua msoma risala, Acha KabisaWakiwa wanasoma wosia wake na historia ya marehemu ... Hadi wake zake wote wawili waliacha kulia wakacheka kidogo. ππ
Uongooo.Haiwezekeni Kwa sababu huwezi kujua na hutojua Hadi unambie Bahati mbaya wa kukuambia hayupo hivyo hutokaa ujue. Ongea na mawifi zako vizuri wanajua Hadi Watoto wa Nje mmeo!!