Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
 
Wote watafunguliwa kesi na Mungu atwalipa
 
tatizo lenu ukweli munaona uongo ila uongo mliowalisha hao makomandoo waje wadanganye mahakama wakashitukiwa kuwa wana sema uongo hamuoni sasa ndiyo ukweli unaongelewa siyo huo ubabaishaji wenu mbowe gaid na anafungwa miaka 60
Nakupa ushauri wa bure,Mungu niwaajabu acha kushabikia maumivu ya binadamu wenzako isivyo halali.Pigo utakalo lipata familia yako itakuwa shahidi hutojua namna mikosi na laana vinapotokea.MUNGU wetu ni wa haki hakuna adhabu mbinguni kuna adhabu hapa duniani.
 
Acha uongo wa mitaani; zingatia ushahidi wa kisheria sio uzushi kujaribu kuharibu taswira ya mwenendo wa kesi ambayo mwamuzi sahihi ni mahakama pekee sio wewe.
Ndugu ,Mungu ni waajabu leo ndo nimeamini hii kesi ni yau uongo kabisa.Huyo ni ndugu yangu na hizo picha nimezirusha mimi mitandaoni.

Ukweli usiofichika ninaujua mwanzo mpaka mwisho alitolewa Gerezani kwa makubaliano ya kusema uongo kama ushahidi nilimuonya sana kuhusu hili.

Ni hivi kwa kuwa anaulinzi ushahidi huo utaonekana wa kweli na nyie mtafurahi sana kumuumiza mwenzenu kwa uongo,MUNGU KAMA AISHIVYO NA AWAADHIBU WOTE AKIWEMO JUSTINE NDUGU YANGU.
 
Taarifa zinaonyesha kwamba huyu mtu alikuwa mfanyakazi binafsi wa Sabaya, baadaye wakatofautiana kutokana na malipo, Yaani Sabaya alimdhulumu Kaaya malipo ya miezi mingi na ndipo Kaaya akaamua kuacha kazi za Sabaya...
Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.
 
Tutakuwekea zote na jinsi zilivyofutwa ( ikiwezekana tutakuwekea na video za makubaliano kabla ya kesi kufutwa) , Hii Jf hatushindwi kitu .
Kwa nini hamkumpa kibatara aItumie kama ushahidi,
Kwa nini hawakufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…