[emoji23][emoji23][emoji23]hata kukamata wezi napendekeza watumie chopa...
yaaan vuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata kukamata wezi napendekeza watumie chopa...
yaaan vuuuuuuuuu
Kwa marekebisho tu Mkuu, Israeli ilipigana na nchi zaidi ya 4 kwa mpigo za jirani yake. Majibu uanfahamu kama sikosei.Mkuu inawezekana unapitia magumu sana. Pole sana kwa yanayo kusibu.
Aje tumnyonye mateIngependeza kweli haya malalamiko uende getini lugalo uanze kuyawasilisha mubashara
Muondoe Kenya hatumuwezi maishaKwa hyo mleta mada unadhan kuna siku TZ itaingia vita na ISRAELI au MAREKANI KWELI?
Adui wa kwanza ni jirani yako,hivyo lzm ujiimarishe kulingana na jirani yako alivyo ie Kenya,Uganda na Nchi nyngne zinazotuzunguka!!
Hahahahahahahaha field huko wapi mkuu? Mizinga siku hizi inatumika?We mpumbavu kweli wew ...
Hyo israel na parestina ni kama ilala na Temeke.... Town city center tuu!!
Uwez linganisha kwa ukubwa wa nch!!!
Halafu hizo rocket hazipigi zaid ya mail 50 .. . ni jiran mnoo!!!!
Kama uamin!!! Njoo chombon field tukuonyeshe vitu ambavo ujawah kuvifikilia!! M*MAE
Mzee ni vikundii vya waaasi sio kama ulivyoandika ww apo 🤣🤣🤣🤣Unawaza kama mimi na hakuna nimekuwa nikikidharau kama kuona wanaoitwa makomandoo wetu wakishindana kuvunja tofali pale taifa, na kuruka kwenye ndege kwa kutumia parachuti,
Unasema tu hiiiiiiiii unanyamaza. Vita leo hii ni sayansi tupu, vita kubwa haziganwi kwa SMG, AK 47 nk, leo hii watu wanacheza na computa Dude linakufata huko huko.
Vita ya bunduki ni kwa ajili ya kupambana na vikundu vya waasi lkn nchi kwa nchi taifa kwa taifa hatuhitaji askari wa kuvunja matofali kwa mikono wala kwa vichwa.
Wale ni komando na operarion za komando zinainclude kukutana na adui ana kwa ana hapo ukiwa legelege unapoteza. Inapotokea vita ipo mtaani(mjini) comando huingia kazini ili kukwepa kuumiza wasiohusika.Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua!
Hiyo ni moja, mbili..
Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila zinazo tua ardhini chache sana kutokana na nguvu ya technolojia ya kulinda anga ya IRON DOME.
Yani kombora kabla halija tua lina maliziwa huko huko angani..
Sasa najiuliza hayo makombora yaliyo rushwa kwenda Israel na yakamalizwa kabla hayajatua ardhini je yangetua pale Magogoni au pale posta au pale kariakoo kuna Mtanzania hata mmoja angepona kweli?
Nadhani ni wakati sasa TISS na JWTZ wakaanza kuwekeza kwenye technolojia zaidi maana vita vya kisasa ni technolojia na sio mabavu!!
Unaweza pigwa na kanchi kadogo kisa tu kanatumia technolojia wakati wewe umewekeza kwenye mabavu na kuvunja matofali kwa kichwa!
Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
Ajirini vijana wenye IQ/Akili kubwa ili muwatumie katika technolojia na tafiti mbalimbali za kitechnolojia!!
Acheni kuangalia TBC kila saa washa Aljazeera mjifunze kichoendelea huko gaza na jinsi wenzetu wanavyowekeza kwenye technolojia!!
Zindukeni dunia imebadilika hii!!
Naomba kuwasilisha!
Muscles bado zina kazi nyingi za kufanya vitani au kwenye operation.Fact Kama wanataka jesh Bora wakubari kuinvest kwenye modern warfare waache propaganda na majigambo yakumpiga idd Amini saiv watu hawaitumii physical muscles
Mfano wako ni mzuri ila sio relevant sana siku hizi kuna drones zinafika kila mahali na zinauwezo wa kugeuka silaha na kueliminate target ndio maana zimetungiwa sheria ya matumiziMleta mada hujui usemacho chulia watu wamekuteka nyara wamekunyanganya silaha utapigana kwa teknolojia ipi zaidi ya kutumia ngumi mateke karate na kichwa chako?
Chukulia watu wanaleta vurugu eneo kama kariakoo ,gari haiwezi ingia je utatumia bunduki kuwapiga risasi wote kwenye vichochoro na mitaa iliyobanana ambayo ina vichochoro vingi?
Vita za ardhini mbali na kutumia silaha zinatuimia ngumi ,mateke na vichwa na karate.Wewe unawaza vita tu ya teknolojia utakuja tekwa mjini ulambwe makofi ubaki unalia tu kama bwege usiyeweza hata kujitetea kwa vichwa ,ngumi na mateke
Mzee wa ibara naona unashuka na kifungu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Dunia ya sasa ni bora uwe na jeshi la watu 1000 wenye IQ kubwa na wenye kuweza kutumia technolojia kuliko uwe na jeshi la watu milioni moja ambao hawajui hata kuwasha kompyuta!
MTU ANAAJIRIWA HADI KUSTAAFU HAJUI KUWASHA COMPUTER, HAKIKA KUNA SHIDA KUBWA SANA
Ila kaongea point sana. Sema tu uwasilishaji wake ndo kidogo,tenge. Amesema ni kama analinanga jeshi bila kujua kuwa kila kinachofanyoka jeshini kina umuhimu mkubwa sana.Kaweke akili charge. Battery low.
Kwa hilo Boko ulilolitoa kama akili zako zingekua zinaCharge a bit......
America wasingekua na wale jamaa wa NAVY SEALS au MARINES ambao wao wanavunja nazi kwa ugoko.
Kacharge akili izo au battery haikai na chaji??????
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikamshauri akachaji betri ya akili yawezakana battery low au haikai na chaji.Ila kaongea point sana. Sema tu uwasilishaji wake ndo kidogo,tenge. Amesema ni kama analinanga jeshi bila kujua kuwa kila kinachofanyoka jeshini kina umuhimu mkubwa sana.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Huo ndo ukweri wenyewe.Sisi tunapigana vita kubwa zaidi, vita ya kiuchumi na mabeberu
maana yangu ni kuwa hata kama una teknolojia kubwaa kiasi gani bado kuna matukio hayahitaji teknolojia kwa mfano japo Marekani ina teknolojia kubwa ila mission ya kumkamata na kumuua Osama ilihitaji special force ili kutoathiri nchi nyingine hali ambayo ingepelekea vita ndo maana Marekani haikutumia drone, missile au kitu chochote zaidi ya hao makomandoo