JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.

Saa mbona walimkamata Mbowe mapema sana? Hivi kweli ni akili kweli kama sio mchongo kumkamata mshtakiwa bila bila kuwa na ushahidi?
 
Fikiria kua MI nae angapata hii taarifa kutoka chanzo kingine alafu anawasiliana na DCI kupanga mikakati then DCI anamwambia askari wake Urio alimpatia hii taarifa bila ya kumwambia MI.
Urio anafikirisha sana kwenye hii kesi...
Alichokifanya urio kinafikirisha mno,mawasiliano ya vyombo nyeti kama hivi ni muhimu mno,mfano baada ya TISS to mess up na ukamataji wa suspects wa uhaini,ilibidi jeshi la polisi litake over na hii ilikua rahisi kwa sababu majeshi haya yalikua yana operate above board.kuna tuhuma za kigaidi hapa MI na DCI hawaongei !!!its crazy
 
Baada tu ya kutoa ushahidi wake hapa huyu jamaa na kibarusha kwisha JWTZ. pole yake, kama hajui kufuga kuku na kitimoto kama mimi ataita maji mma.
 
Bado natafakari kwa nini JWTZ wamekubali Askari wao aje mahakamani (hadharani) kutoa ushahidi wa UWONGO? hawaoni hii inaweza kulipunguzia jeshi letu heshima nje na ndani ya nchi ?

Kwamba Afisa wa Jeshi la wananchi wa Tanzania ashiriki kwenye mbinu chafu za kesi za kisiasa.

JWTZ kitengo cha nidhamu na Sheria - someni tena ushahidi wa huyu askari wenu mwanzo mwisho muone namna anavyohangaika kuunga unga dots...haziungiki.
 
Mahakama ndio itasema kama ushahidi wa Urio ni kweli au uongo....jwtz haihusiki na hilo.
 
Homeboy niambie 😊😊😊.. Huyu denisi ni wa kupimwa akili bila kufanya hivyo ni ubatili.. nikimkamata nitampima kwa nguvu..
 
Hii issue ingekuwa genuine, Urio asingeonekana hata.. mchezo ungechezwa chini kwa chini.. ila wa magumashi ndio tatizo
 
Kuna tukio lolote la uharifu lilitokea ili ku connect hiyo circumstantial ground.
 

Huyu alitoa taarifa kwa vyombo vinavyohusika na hivyo vyombo viliamua kumshirikisha kwenye STING OPERATION. Nadhani wewe uko completely clueless about sting operations.

In law enforcement, a sting operation is a deceptive operation designed to catch a person attempting to commit a crime. A typical sting will have an undercover law enforcement officer, detective, or co-operative member of the public play a role as criminal partner or potential victim and go along with a suspect's actions to gather evidence of the suspect's wrongdoing!

Angefanya hivyo bila kuvishirikisha vyombo vinavyohusika, angekuwa a true partner in crime!
 
Moyo wa mtu kichaka ,WENDA yapo yaliyo nyuma yake ,ukiyajua unaweza kumlaum au kutomlaum, mda ni mwalim ngoja kesi ibaki ilivyo tutajua mengi
 
maelezo ya Urio mwenyewe na yako yanatofautiana sana, sjui tumuamini Urio au wewe mchambuzi wake.
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.

Siku idadi ya watu wa aina yako ikipungua hata kwa 5% tu - nchi itasonga!

Ungesikiliza vizuri ushahidi utagundua kuwa hakukua kuna tarehe hata moja ilipangwa kwa tukio, kuanzia kudhuru viongozi mpaka maandamano! Kwa kuwa Urio hakufahamu, sio DCI wala Kingai aliyejua pia!

“Magaidi” walipaswa kusimamishwa mara moja!!
 
Ushahidi wake una ukakasi mwingi sana

Kuna mahali aliulizwa kuhusu sabaya kuuwawa akasema aliamua tu kunyamaza wamuue

Sijui ni amechanganyikiwa au amesahau au hakukariri vizuri ushahidi wake wa uongo
 
Kwa hiyo makomando hao wameteswa hivyo na mwajiri wao ili wamtie hatiani Mbowe? inaingia akilini!?
 
Wanaume wa Dar ni waoga sana,kwa akili ya kawaida unadhani komando ni 'untouchable' au 'unbeaten'.Kamwe siwezi kumuogopa mtu yoyote.
nani kasema anamuogopa komandoo uwe unasoma kwa kutulia ili uelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…