JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

Hivi mtu mwenye nia ovu ya kufanya UGAIDI, kwanini haukusukwa mkakati wa kumpandikizia "wanausalama"?
 
Kwa hiyo makomando hao wameteswa hivyo na mwajiri wao ili wamtie hatiani Mbowe? inaingia akilini!?

Hayo yote ni hearsay tu! Au wewe umeshuhudia wakiteswa?

All in all, at this stage of the case, wangekuwa wametumika kama assets za Serikali, wangekuwa wameshakuwa mashahidi wa upande wa mashitaka!
 
Elimu ya huyu bwana kwa maelezo yake ni sekondari K.4 Haiwezekani mtu mwenye elimu level hii apate cheo cha "u - luteni" hata kama atakuwa mwanajeshi miaka 30 unless afanye K.6 kisha apate ingalau shahada ya chuo kikuu...
Kaka huu ni uongo na usirudie kudanganya.
Kuna wazee kibao tena darasa la 7 achana na kidato cha nne na wana hicho cheo walioanza kazi miaka ya 80 - 90 na ushahidi upo na wala sio dhambi.

Tuache upotoshaji
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Akifungwa Mbowe utanufaika na nini?Malipo ya ROHO MBAYA ni hapa hapa duniani Mwendazake yupo wapi na ROHO mbaya yake?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hyo una sema wewe
Ila ndo tayari imeshatokea amekwenda moja kwa moja kwa DCI..ishu ya msingi nu kujua Kama mbowe anafahamiana na kamanda urio,na Kama walikuwa wanakaa vikao,kupigiana simu,chats na miamala ya simu.
Zaidi ya hapo tukubali tu mwenyekiti alikosea sehemu.
No no mkuu urio alitakiwa apeleke taarifa hizi za kigaidi kwa MI ,ambao wangewasiliana na DCI for the way forward,tusiwe vihiyo hivi!
 
Nikikuita jitu jinga nitakuwa sikosei maana wewe ni mjinga unayetaka kuweka theory ya kutoka kwenye kichwa chako kilicho jaa ujinga ili hapa JF kutupotosha kama vile hatufuatilii kesi mwenendo wake.
Ni ujinga ukiona mjinga akisema ujinga wake na ukamnyamazia, hatuwezi kuwa hivyo
 
Dogo urio ni mla rushwa, alibongwa na DCI na Kingai
 
Mbele ya jamii ni vigumu kwa JWTZ kujiweka pembeni katika hii kesi kwa sababu, wananchi wanapata taswira mbaya kuwa JW inatumika kisiasa kuumiza wapinzani. Kwa hiyo ipo haja kwa JWTZ kujisafisha dhidi ya tabia na mwenendo wa Denis Urio kama ulivyothibitika katika ushahidi anaoutoa mahakamani.
 
Umeona mbali mkuu hata mi nafikiria huo mchezo,hao jamaa washtakuwa watakuja kukiri kuwa waliambiwa wafanye jinai na mbowe baada ya kuwa recruited ,picha litaisha hapo na ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
kama anatumika kunasa wahalifu, kuna shida gani hapo?
Yaani unavyofanya ni sawa na aliyeangusha taulo mbele ya wakwe zake kisha akabong'oa kuliokota bila hata kuona aibu.
Kesi hii sio aibu tuu kwa ccm tuu bali kwa Jeshi, polisi, ofisi ya DPP na nchi kwa jumla. Unless uwe hujui masna ya neno aibu
 
wewe ndio unasema ameshindwa, lakini wenye kesi wanajua kwanini wamemleta, ili aje aunganishe dot kwenye ushahidi wa yupi ambaye labda ameshatoa ushahidi au anakuja kutoa ushahidi baada yake. ndio maana tunasema msubiri hadi kesi iishe. msikurupuke.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
We mpuuzi unadhani na sisi ni wajinga wenzako?
Yaani hilo jitu ni takataka kabisa, anataka wote tuwe na akili finyu kama zake.
Utadhani hiyo kesi nasi tunasimuliwa wakati tunaifuatilia kwa umakini kabisa.
Angejiuliza jambo moja, inakuwaje washtakiwa Mbowe na wenzake wanaonyesha sura za bashasha mahakamani wakati Mawakili wa serikali na mashahidi wao sura zao zimesawajika utadhani wao ndio washtakiwa?
Ni dhambi inawatafuna na sio ajabu wakaanza kujifia hovyo hovyo kwa kihoro!
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Acha wajadili wenye akili timamu na uelewa mkubwa. Wewe hujaelewa hata kinachojadiliwa.

Mleta mada anaongelea JWTZ, wewe unaongelea DCI!! DCI ni mwajiriwa wa JWTZ? Hata mambo madogo kiasi hiki hujui, halafu unaamini una akili ya kuweza kuchangia JF?

Inaonekana wajinga na wenye akili duni, mmeingia JF, mahali ambapo siyo kwenu wenye akili kidogo.

JF is misfit for you brainless.
 

Ww lazima utakuwa ni mzee, au kijana mjinga. Nyie ndio huwa na uelewa mdogo hivi wa mambo.
 
Huoni kuwa hiyo njia waliyoitumia ni kipumbavu na haijawapatia positive result??
 
Chadema mnajitahidi sana kupotosha ili gaidi asifungwe lakini hamtafanikiwa.

Denis Urio alipewa ruhusa na DCI aendelee kusbirikiana na Mbowe ili mradi tu awe anatoa taarifa ya kila kitu kinachoendelea.
Jambo la kusikitisha ni kuwa wachawi, wenye roho mbaya na wauji huishi miaka mingi kuliko wenye haki
 
Kwa kweli inatafakarisha Sana hasa kwenye viapo haiwezekani komando afinywe kidogo aropoke Kila kitu je akitekwa na nchi jirani si atatuuza? Yaani hawezi kuifia nchi? Na kiapo chake? Itabidi jeshi liangalie hili jambo Kwa jicho la tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…