JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

Mnataka wapelekwe Ukraine au Palestine?
 
Apitie kwenda kufanya Nini boss, Dunia hii ya vita vya drones, Bado makomandoo wanaona sifa kuvunjia mawe kichwani? Tuombe tu isitokee vita maana itakuwa aibu.
Hao wenye hizo drone si ndo wako gaza wanahenyeshwa na wanamgambo wanao tumia silaha za mwaka 47?
Kijana acha dharau hao ndo wanakufanya unalala usingizi.
 
Kama ni hivyo jeshi la US lisingeweka vifaa vyake hadharani. Mkuu mambo ya kijeshi sio uganga wa kienyeji. Acha story hizo babu.
 
Hao wenye hizo drone si ndo wako gaza wanahenyeshwa na wanamgambo wanao tumia silaha za mwaka 47?
Kijana acha dharau hao ndo wanakufanya unalala usingizi.
Wasingekuwa na hizo drones wangekuwa wameshamalizwa, hizo drones ndio zinawafanya watoe kisago pande hizo. Wananifanya nilale maana huo ndio wajibu wao kwani wanalipwa mishahara na sio hisani boss. Wakishindwa kulinda nilale wataajiriwa wengine walioko tayari kwa kazi hiyo ya ulinzi maana ni mshahara wanapata.
 
Ungekuwa hauwaogopi ungekuwa unatumia ID feki fala ww.
Kutumia I'd fake sio kosa kwenye mitandao ya kijamii, bali ni kwa ajili ya privacy. Labda useme hilo jeshi liko kupambana na watoa maoni wasio kubaliana na maigizo Yao outdated.
 
Siku nikiwa na mamlaka nitapiga marufuku huu utamaduni usiojenga uzalendo. Nitahakikisha sheria mpya inatungwa na kupitishwa na Bunge kufuta kabisa huu utaratibu
 
Kama ni hivyo jeshi la US lisingeweka vifaa vyake hadharani. Mkuu mambo ya kijeshi sio uganga wa kienyeji. Acha story hizo babu.
Wameweka vifaa vyao vyote? Yani jeshi liweke siri zake za kijeshi hadharani?

Tell me ur joking please
 

Sasa ww usiye vunja matofari kanini usijilinde mwenyewe maana hao wavunja matofari hawana maana.
Hizo drone mbona hazija wasaidia kujua mateka walipo na kuishinda Hamas miezi 4 sasa alafu una uhakika gani ya kuwa hawana hizo drone?
Kwa hiyo ww watoto wako wanatakiwa kukutukana na kukudharau kisa ni wajibu wako kuwatunza?
Au ni sawa kumdharau mwalimu aliye kufundisha kisa lilikuwa ni jukumu lake kukufundisha?
Alafu pesa za kununua hizo drone si zinatakiwa kutolewa na wanasiasa mlio wachagua wenyewe sasa kama hawatoi hizo hela mnataka wanajeshi watoe hela zao mfukoni wakanunue?
 
Wameweka vifaa vyao vyote? Yani jeshi liweke siri zake za kijeshi hadharani?

Tell me ur joking please
Vifaa vyao sio siri boss, labda hujui lolote kwenye Dunia hii. Siri kwao ni mbinu sio vifaa. Hawahitaji kuweka vitu vyote, lakini uhalisia wa nguvu zao kijeshi uko wazi. Yale mameli ya kivita, madege makubwa ya kivita ni Siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…