JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Itafika muda ata yale mabatiki ya rangirangi yatakatazwa kuvaliwa na raia kwa sababu yale yanamchanganyiko wa rangi
 
Sasa si usivae tu, kwani sheria yenyewe ndio hiyo inakataza ambayo utakuwa umeivunja. Halafu kumbuka JWTZ wana mahakama zao (courts martial) na kwa kawaida hakimu ni OC kama sikosei. Sijawahi kusikia wakili msomi anaenda kutetea kwenye hizo mahakama!
Sasa lini umesikia "court martial" wakasikiliza kesi ya raia ?!!! [emoji15]
 
Kwa anaejua sheria avae suruali ya jeshi alafu ajipitishe Mgulani,makongo au pale sabasaba,ili wazee wa kwenzi jiwe wamnase alafu atumie sheria anazo jua kunusuru raia wanaovaa nguo za mbogamboga.
Hao wanajesh wako waonevu hawajawah tu kukutana na vyuma chakavu wafundishwe adabu
 
Huruhusiwi kuvaa nguo ya Jeshi lolote lile.
Yaani jeshi la nchi yoyote ile, hata ya nchi ndogo ya Nauru.
Hizo zinazofanana ni sare za Jeshi la nchi nyingine.
Huruhusiwi kuvaa sare za Jeshi yoyote.
Umeelewa hapo Ndugu?
 
They are dealing with petty issues....
 
Nguom zipo nyingi sana za kuvaa.
Hizo za mabaka mabaka ,tuwaachie wenyewe,tusitafute matatizo ambayo hayapo
 
Soma vzuri uelewe...usisome kama unakimbizwa na vibaka
Nimemaanisha hao waonevu wakija kukutana na mtu chuma wataelewa somo
Mtafute uyo mtu chuma au kama na wewe ni chuma vaeni gwanda alafu mkinaswa mkatoe somo kwa askari jeshi.

Akuna askari jeshi akakuona raia umevaa gwanda zao akukupa lugha laini kwa jambo ambalo lishakatazwa..yani jeshi akuite akwambie,👉"blaza asalam aleikum,,bwana yesu asifiwe,braza nakuomba ukavue izo gwanda aziruhusiwi kuvaa raia sawa braza,,haya kwaheri blaza,"
 
JWTZ nalo jeshi la kusema tuna Jeshi? … vichwa maji nguvu nyingi ku-deal na raia asiye na mafunzo wala nyenzo za kukujibu …ni uonevu usio na maana JESHI LA WANANCHI WA NCHI gani kama hamjui kufata sheria … mtu amevunja sheria mchukulieni hatua za kisheria sio uhuni… shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…