JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
we nae akili zako kisoda kweli sasa ndo umeandika nini? unamtisha nani? kwa manufaa ya nani? kinachofanyika ni sawa jibu hoja acha kuruka ruka kiazi ww?
 
we nae akili zako kisoda kweli sasa ndo umeandika nini? unamtisha nani? kwa manufaa ya nani? kinachofanyika ni sawa jibu hoja acha kuruka ruka kiazi ww?
Wapi nimetoa vitisho. Unadegedege nn kama mm kiazi ww gimbi
 
Raia unathubutuje kuvaa nguo za Jeshi?
Unajua Madhara ya raia kuvaa nguo za Jeshi la Nchi?

Hebu tufanye imeruhusiwa kila anayetaka avae tu.

Hata uwe mjinga sana unahisi hali itakuwaje ?
 
Weekend hii nataka nitinge short pant na kitop cha bakabaka nililetewa zawadi kutoka UK, nitaenda kwenye beach yao pale Ulongoni nione watanifanya nini, nitawapa mrejesho.
[emoji15][emoji15]
Unataka humu ndani watu wakuige halafu kumbe unawatega hao wanajeshi na wakikufuata unatoa "vitambulisho vyenu" vya kazi za "majeshi mengine ya dola" ?!! [emoji1787]
 
awajielewi wako kama vichaa,tatzo mishahara wanalipwa ya bure hakuna wanachokifanya ndo maana wanaktwa jeuri na kuwatesa raia
 
Walaaa mie raia wa kawaida kabisa, ila sasa bakabaka sio za Tz ni za UK ndio nataka nione watanifanyaje?
Watapita na wewe kwa sababu nilisikia redioni kuwa sheria inakataza hata zile zinazokaribia kufanana na za JWTZ!
 
Ngoja waonje mziki wa kusotea kitenge ulivo, mtu unakaa six weeks no usingizi kusotea kitenge, leo raia unavaa tu kindezi, na unapewa taarifa bado hutaki kuacha.
 
Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Hii ndilo jibu maridhawa!
 
Toooooooooba, ngoja nimuandae mwanasheria wangu kabisa [emoji3]
Sasa si usivae tu, kwani sheria yenyewe ndio hiyo inakataza ambayo utakuwa umeivunja. Halafu kumbuka JWTZ wana mahakama zao (courts martial) na kwa kawaida hakimu ni OC kama sikosei. Sijawahi kusikia wakili msomi anaenda kutetea kwenye hizo mahakama!
 
Sio haki na sio sahihi.
Wanajeshi hawapaswi kuchukua sheria mkononi. Kama kuna mtu (raia) amevunja sheria dhidi ya jeshi, jeshi linapaswa kumpeleka polisi na polisi wachukue mkondo wa kisheria.
JWTZ kumpeleka raia polisi sidhani kama itatokea
 
Raia unathubutuje kuvaa nguo za Jeshi?
Unajua Madhara ya raia kuvaa nguo za Jeshi la Nchi?

Hebu tufanye imeruhusiwa kila anayetaka avae tu.

Hata uwe mjinga sana unahisi hali itakuwaje ?
Elewa kidogo.
Nguo za jeshi hazipo mtaani ila kuna nguo zinafafana na nguo za jeshi hizi hasa zinapatikana mitumbani huko au pengine.

Elewa neno kufanana/ kuelekeana.
Au nikuulize kila shati jeupe ni sale ya shule?

Kwa mantiki hiyo ukivaa nguo fulan inayofanana na jeshi wewe ni mwanajeshi?

MTU kama ni mbaya ni mbaya tu haijalishi kavaa au hajavaa nguo zinazofana naza jeshi.

Pili: hatupingi katazo bali Namana ya kushughurika na hao wanazivaa! Unaelewa utawala wa Sheria na HAKI.

Hakuna aliyejuu ya Sheria ni mahakama tu ndicho chombo chakutoa adhabu. Hao wamatoa wapi mandate hiyo?
Dunia ya Leo ni ya watu wastarabu mkuu mambo ya kiunyama hapana. Sheria zipo
 
Toka nakua marufuku kuvaa mavazi ya jeshi, na juz wametoa Tena into Ila ndo hivyo hatusikii tunazani utani.
Haya yanatokea kwa vile tu jeshi halijaamua kutumia fursa yake vizuri.
Jeshi ni taasisi yenye mashabiki wengi kama zilivyo timu za mpira.
Ukisema kuwa 10% ya wananchi wanavutiwa na bidhaa za kijeshi kama sare, viatu, chupi (boxer), T shirt nk,
Jeshi likaenda hapo china kuchapisha hizi bidhaa, tayari lina 'ready market' ya watu mil 6.
This means likiweza kuuza bidhaa zake at premium price mtu mmoja kati ya hao milioni 6, akalichangia jeshi mark up ya Tsh elf 10 kwa mwaka, hii ina maana jeshi linaweza kuvuna faida ya si chini ya bilioni 60 kwa mwaka.
So kiufupi jeshi likitumia fursa hizi za kibiashara linaweza kutoa gawio kubwa kwa serikali kuliko hata mashirika kama NMB na CRDB yanavyoweza kutoa gawio kwa serikali.
 
Ukivaa nguo ya jeshi, jeshi litapungukiwa nini?Huko nchi zingine wanajeshi wao wanapungukiwa nini coz ni mambo ya kawaida sana.
Sihitaji kujibu hilo kauliza waliotunga Sheria ya kukataza,
 
Walaaa mie raia wa kawaida kabisa, ila sasa bakabaka sio za Tz ni za UK ndio nataka nione watanifanyaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

We umewaamulia....

Juzi kati wamemsimamisha "blazamen" mmoja kavaa kofia yao kabisa....akawatolea povu...binafsi nilishangaa kuwa hana muda wa kupoteza nao kwani yuko "bize" na majukumu ya dola...kazama mfukoni...sijui aliwaonesha nini...wakabaki kumuangalia mwamba akisepa...kumbe jamaa wana WANAOWAOGOPA...sasa tukuige wewe halafu sisi tuvichezee "vibamvua" [emoji1787]
 
Back
Top Bottom