GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
we nae akili zako kisoda kweli sasa ndo umeandika nini? unamtisha nani? kwa manufaa ya nani? kinachofanyika ni sawa jibu hoja acha kuruka ruka kiazi ww?Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
N A K A Z I ADarasa la Saba hao mshahara Mdogo IQ ndogo too mediocre
Pole dada vumilia, hukusikia tangazo??.Ni sawa watu kuunguzwa mioto ?
Wapi nimetoa vitisho. Unadegedege nn kama mm kiazi ww gimbiwe nae akili zako kisoda kweli sasa ndo umeandika nini? unamtisha nani? kwa manufaa ya nani? kinachofanyika ni sawa jibu hoja acha kuruka ruka kiazi ww?
[emoji15][emoji15]Weekend hii nataka nitinge short pant na kitop cha bakabaka nililetewa zawadi kutoka UK, nitaenda kwenye beach yao pale Ulongoni nione watanifanya nini, nitawapa mrejesho.
Walaaa mie raia wa kawaida kabisa, ila sasa bakabaka sio za Tz ni za UK ndio nataka nione watanifanyaje?[emoji15][emoji15]
Unataka humu ndani watu wakuige halafu kumbe unawatega hao wanajeshi na wakikufuata unatoa "vitambulisho vyenu" vya kazi za "majeshi mengine ya dola" ?!! [emoji1787]
Walisema baada ya siku saba watashikisha watu moto watakaokutwa wamevaa hizo nguo. Dogo alitaka kujua kwa vitendo kama kweli mtu anaweza kushika moto!!Kwa hiyo ndio washikishe watu mioto .Are you serious ?
Watapita na wewe kwa sababu nilisikia redioni kuwa sheria inakataza hata zile zinazokaribia kufanana na za JWTZ!Walaaa mie raia wa kawaida kabisa, ila sasa bakabaka sio za Tz ni za UK ndio nataka nione watanifanyaje?
Toooooooooba, ngoja nimuandae mwanasheria wangu kabisa [emoji3]Watapita na wewe kwa sababu nilisikia redioni kuwa sheria inakataza hata zile zinazokaribia kufanana na za JWTZ!
Hii ndilo jibu maridhawa!Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
Sasa si usivae tu, kwani sheria yenyewe ndio hiyo inakataza ambayo utakuwa umeivunja. Halafu kumbuka JWTZ wana mahakama zao (courts martial) na kwa kawaida hakimu ni OC kama sikosei. Sijawahi kusikia wakili msomi anaenda kutetea kwenye hizo mahakama!Toooooooooba, ngoja nimuandae mwanasheria wangu kabisa [emoji3]
JWTZ kumpeleka raia polisi sidhani kama itatokeaSio haki na sio sahihi.
Wanajeshi hawapaswi kuchukua sheria mkononi. Kama kuna mtu (raia) amevunja sheria dhidi ya jeshi, jeshi linapaswa kumpeleka polisi na polisi wachukue mkondo wa kisheria.
Elewa kidogo.Raia unathubutuje kuvaa nguo za Jeshi?
Unajua Madhara ya raia kuvaa nguo za Jeshi la Nchi?
Hebu tufanye imeruhusiwa kila anayetaka avae tu.
Hata uwe mjinga sana unahisi hali itakuwaje ?
Haya yanatokea kwa vile tu jeshi halijaamua kutumia fursa yake vizuri.Toka nakua marufuku kuvaa mavazi ya jeshi, na juz wametoa Tena into Ila ndo hivyo hatusikii tunazani utani.
Sihitaji kujibu hilo kauliza waliotunga Sheria ya kukataza,Ukivaa nguo ya jeshi, jeshi litapungukiwa nini?Huko nchi zingine wanajeshi wao wanapungukiwa nini coz ni mambo ya kawaida sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walaaa mie raia wa kawaida kabisa, ila sasa bakabaka sio za Tz ni za UK ndio nataka nione watanifanyaje?