JWTZ, kwa huu Ufisadi unaoendelea nchini, tukubaliane tu muongoze kipindi cha mpito kulipatia Taifa Katiba Mpya

Walipora matrilioni ya fedha za Wananchi wa Nigeria.

Sasa hivi hakuna mnigeria anayetaka utawala wa kijeshi hata kuisikia.
Baada ya tawala za kijeshi kufika tamati huo uporaji umeisha??? Mafuta yao yameacha kuchimbwa na makampuni ya waingereza? Na sakata la biafra muafaka ulishapatikana?

Afterall JWTZ sio jeshi la Nigeria la 1960s-1990s
 
Ghala ni nchi, Mazao ni keki ya taifa inayotakiwa kunufaisha watu wote, panya ni mafisadi, watekaji, waharibu uchumi n.k
Kuipa nchi jeshi ni shortcut kama tu kuchoma ghala sababu kila kitu kitakuwa kwenye risk, wawekezaji lazima wapishe kuona jeshi litakuja na sera gani, watalii watacancel ratiba zao kusubiri stability, chanel za uchumi zitafreez kuadupt changes, pending policy zote zitasubiri reviews, ndo maana nakwambia ni kuchoma ghala kuua panya ila na mazao yatateketea. Sasa wengine hatuamini kama kuipa jeshi nchi ni movement sahihi, tunaona ni shortcut ambayo inaweza kuepukika. And kama haiwezekani kubadili serikali ya kiraia, what if serikali ya kijeshi ikawa worse? Nani ataibadili?
 
Hakuna mtu muoga kama mtanzania, hata mimi ni muoga. Hao jwtz ndio waoga promax. Wao wana mafunzo ya kutumia silaha na utaalamu wote ila ni waoga hata kucomment mtandaoni dhidi ya ccm. Hilo jwtz kirefu chake ni
Jeshi la waoga Tanzania
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la walanchi Tanzania
 
Ila sasa isipokuwa hivi tukubali hali iliyopo sasa ya nchi kuongozwa na huyu mama na familia yake, huku wakijipa tenders zote na kumaliza rasilimali zote kwa watu wao na makampuni yao. Bado utekaji , uonevu, ufisadi kila kona, maendeleo hakuna! Kwa kweli huyu Mama ametuingiza kwenye mkwamo mkubwa sana wa kisiasa na hata kiuchumi (hii itaonekana right after uchaguzi). Kajua kutuharibia nchi.
 
We ni mpuuzi tu tena mpumbavu tu,
Hii nchi haitaongozwa na Jeshi bwege wewe.
Aliyemuweka hapo huyo mama si Mwanajeshi?
Unategemea nini
 
We ni mpuuzi tu tena mpumbavu tu,
Hii nchi haitaongozwa na Jeshi bwege wewe.
Aliyemuweka hapo huyo mama si Mwanajeshi?
Unategemea nini
Mpumbavu ni wewe. Tulia tuwaoneshe Wanajeshi wetu kipi wanapaswa kufanya?
 
JWTZ malizeni hili suala tuanze upya.
 
JWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?

Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.

Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
No hata wasipoongoza wao, wataselect right leaders kulingana na matakwa ya Wananchi...lile ni jeshi la Wananchi
 
Siyo mbali muda utatupa majibu.
Tunaanza kupata majibu. Kama nilivyosema huko juu jeshi linaweza kuchukua nchi. Likaweka serikali ya mpito, utawala wa Technocrats. Mfano mzuri ni kama serikali ya Mpito ya Bangladesh chini ya Dr Yunus.

Wanataaluma wabobevu kama Warioba waendeshe nchi akishirikiana na Polepole, Heche, Shivji na viongozi wengine waadilifu mpaka tupate katiba mpya, kuwakamata majambazi wote, kurudisha mali za nchi, na kufanya usafi kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…