Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa JWTZ Wana Lao jamboJWTZ ni moja ya Taasisi inayo heshimika na kukubalika kwa wananchi walio wengi, ziko nyengine. Kama walitoa muda, wakurudisha kesha rudisha na waoga wameshazipoteza kuepuka kukutwa na kidhibiti. Hii ya kuingia mtaani waachane nayo, waendelee na kazi yao kubwa ya kulinda mipaka, hasa kipindi hiki ambacho tunaambiwa liko lango mojawapo muhimu la nchi litakuwa na wageni wakijitafutia ridhiki langoni.
Umtoe mtu kazini kwake,umwambie naenda kukusachi....?
Ngoja tuone.
Issue ni kwamba watafute vitu muhimu vya kufanya na kuleta tija kwa taifa.Na kama kuvaa nguo zenye muonekano wa mavazi ya jeshi ni jinai kisheria nawashauri:-Utakuwepo posta muda huo au unaombea misiba kwa wenzio tu?
Ukishaona hivyo ujuwe wanapo pa kuanzia, wana intelijensia yao.Swali wataanzia nyumba Gani?
Hawapo serious na wapo nyuma sana na dunia ya leo.Tunagombea mavazi?Tumekuwa wanakwaya?🤔
Intelijensia ingeanza kwa kuzuia zinapotoka au kuzalishwa.Unasubiri moto uwake ili uoneshe umahiri wa kuuzima badala ya kuzuia na kuziba njia za moto huo kuanza?Akili za wapi hizo?Ukishaona hivyo ujuwe wanapo pa kuanzia, wana intelijensia yao.
Intelligence mpaka ya kujua nguo za watu kabatini Kweli wataweza,
😂😂😂😂😂Umeshindwa kuzipata nguo hizo (zinazofanana na za jeshi) umeanza vitisho?Umeleta vichekesho visivyo na mfano.Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.
Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.
Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.
Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
Hiyo haina shida,waingie tu mtaani,wananchi waone nini kitafanyika,waki-underperform itakua fedheha kwao,na mitaani kuna watu wengine wata-resist na yawezekana wakajihami.Usisubiri kuona hapo waliposema jinsi ya kutekeleza tunajua wenyewe ni maelezo tosha.
Sio Kwa huu mkwara👆👆🤣Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.
Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.
Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.
Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
Acha kutisha watu kijinga wewe.Wakamatwe watu kwa jinai gani hata sheria hujui.Tangu lini jeshi likafanya kazi ya kutekeleza sheria?kibaya zaidi linajipa kazi ya mahakama(kutoa adhabu).Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.