JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

Itakuwa JWTZ Wana Lao jambo
 
Utakuwepo posta muda huo au unaombea misiba kwa wenzio tu?
Issue ni kwamba watafute vitu muhimu vya kufanya na kuleta tija kwa taifa.Na kama kuvaa nguo zenye muonekano wa mavazi ya jeshi ni jinai kisheria nawashauri:-
-watoe wito kwa wanaouza/kuleta nguo zenye muonekano wa mavazi ya jeshi waache kuleta nchini kuuzia raia,
-kama ni jinai,wawaachie polisi wafanye kazi hiyo ili wao wafanye kazi zao za msingi.
 
Mnaoandika hovyo msifikiri JF haina limit ya kuwalinda.

Nawashauri muwache kuongea kijinga, wakimtaka mtu hapa JF wana uwezo wa kumpata ndani ya muda mchache sana.

Eleweni kuwa hii mitandao hakuna pakujificha na hakuna kinachofutika hata wewe ukifuta.

Chezeeni vingine, msichezee watu wanaojitolea maisha yao kutulinda.
 
😂😂😂😂😂Umeshindwa kuzipata nguo hizo (zinazofanana na za jeshi) umeanza vitisho?Umeleta vichekesho visivyo na mfano.
 
Sio Kwa huu mkwara👆👆🤣

Miaka 3 nyuma kule kusini walivamia terrorist wakachoma nyumba moto karibu 100 na kuua watu, Je hiyo intelligence Yao ulikuwa iko wapi?
 
Acha kutisha watu kijinga wewe.Wakamatwe watu kwa jinai gani hata sheria hujui.Tangu lini jeshi likafanya kazi ya kutekeleza sheria?kibaya zaidi linajipa kazi ya mahakama(kutoa adhabu).

Hii itaenda kufanya jeshi lichukiwe kama polisi kwa kujihusisha na mambo madogo kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…