Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to th pervs who thought otherwise😕)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mm huvutiwa tu na kujua wameandika nn yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.
mi najua huna hata hofu na unajiamini. Nakungojea baba tutoke kwenda kwa wifi nilishawaahidi wapwa zako.
wee mentor una matatizo makubwa sana wewe? watu wa watu unataka kuonana nao kivipi wewe au una lako jambo? yaani nyie msikubali kabisa kuonana naye live huyo kwani wakaka wa humu jf wana tabia mbaya sana hasa mentor,
nawashauri msionane naye huyo ana lake jambo huyo mentor kwani ajui wanawake wa kibantu walivyo asa anataka nini kwenu.
KWA MSISITIZO: KATAENI KUONANA NAYE KABISA MENTOR ANATAKA KUWACHORA TU HUYO ANA JIPYA!
Jamani jamani tangu asubuhi mnanizungusha....kwann sasa...
Ata niambieni kanisa gan mnaenda nije uko tu.
Ama niwa pm??!
Halafu "K" zao zote kubwa!! Hakuna inayoanza na herufi ndogo.
I am wasting a time!
le me shift to another forum!
Acha hizo we BADILI TABIA,au kwa sababu we hauna K?
Kaunga King'asti Kongosho
(an apology to th pervs who thought otherwise😕)
Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu.
Kila mara nionapo comments zao mm huvutiwa tu na kujua wameandika nn yani.
Honestly kama ningeweza ningependa walau kuwaona in real life mlivyo...ningefurahi sana.
And that is my wish before 2013 knocks...good morning.
Afanaaaleki, kufa hakuna breki.
Nyie K holders Kaunga, Kongosho na King'asti mnaona mwanamke mwenzenu anavowaonea wivu? Nyie mna K yeye ana V.. does it make any difference?
The lady is wasting "a time"
Afu we kijana Mentor hebu niambie hii K for Kongosho a.k.a asali ya ODM unaitamania nini? My weapon is missing some bullets.
baby baby baby............ haya tu.
Aisee we "K" napenda kukufahamisha kuwa huyu BADILI TABIA mpaka sasa hajaja kutubu kwa babuheh, sterling akipigwa picha inaungua. Afu unajua ni dhambi 'kutamani'? Kesho ukatubu kwa Asprin