Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Mimi sijawahi kuandika Nina umuhimu ila nina toa ushauri kwa kile naona kesho. So hayo mengine sijuwi
Sikubezi

Uliwahi kuwashauri hawa hapa waache mara Moja Tabia zao hawakukusikia kabisa na Sasa hawapo ni hawa hapa;-

JIWE

Saa nane kamili mchana jua linawaka!
 
Simtishi mtu. Serikali ni ile ile na asukudanganye mtu some one in side same goverment with full details about u atakuunga mkono. Nakataa. Nakataa Kabendera anachokifanya ni hatari kwa maisha yake na hata kizazi chake. Nandio maana najiuliza why asikae kimya? Well basi nasubiri kusikia JK akisema kweli anacho sema Kabendera alfu tuone kama hakijanukishwa nataka kukuhakishia hakuna mahali JK atakubali hii Taarifa. Ikifokea let me know. Asnate
Wewe unafahamu Kabendera kapata wapi hizi details unazomtuhumu nazo?? Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Zama za Jiwe zimekwisha.

Na wale wote waliokuwa wakifurahia mateso ya wengine kisa kumtukuza Bw Yule nao hawana lao tena ukiwemo wewe mwenyewe.
 
Afadhali umesema wewe Mwamba labda wataelewa sasa, state haichezewi wala kunajisiwa, nilionya watu wanabeza
Kete zinasukumwa pole pole Hadi FDR anaingia kitalani!!

Namuona FDR tayari ameshaanza kumuachia mtu apokee huduma yake wakati akijiandaa kuingia kitalani!!
 
Mwendazake atabeba msalaba wake hata baada ya kuwa kabulini,hakuna cha head of state Wala such upuuzi..

Hasamehewi Duniani na huko kaburini.,naona unajaribu kumtafutia huruma mhalifu kwa kisingizio cha deseased head of state..

Asante Sana Kabendera kwa kutufichulia ya sirini maana wewe pia ni mhanga wa Madhila ya Mwendazake..
Wewe si Mungu kuamua kama atasamehewa au la. Wewe ni marehemu mtarajiwa, ukilala ndo unafanya mazoezi ya kufa. Kila siku kukipambazuka unalikaribia kaburi. Wewe si Mungu bali ni lofa kama malofa wengine. Huna Mamlaka ya kusamehe. Akisamehewa dhambi zake basi chuki zako ni bure tu.

[emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Hoja inajibiwa na hoja.

Kabendera kaleta hoja zake kuwa kulikuwako na magenge yanayopokea order nje ya mfumo rasmi wa kiutawala kutesa na kupora mali za watu.

Je nani katika awamu ile hakushuhudia hayo.?

Tumeshuhudia Sabaya akiwa DC akifanya hadi mambo nje ya eneo lake la kazi tena kiholela na anatamba.

Kama ni kweli magenge hayakuwepo basi wafuasi wa aliyetajwa mlete hoja zenu kukanusha.
Ukitaka kujuwa huyo Bendera na upepo wamemuingiza Chaka kaa kimya uwone huu Uzi utauwelewa. End
 
Kabendela ukimuzooom kabisa kwa ukaribu utagundua hili sakata la Real Mental health ni muhanga, fuatilieni kwa ukaribu
 
I told him the same. Huyu jamaa ni wale hopeless walevi kwenye system ambayo system hutumia ku-assinate anti-system. Anashindia pombe, mostly pombe kali.
Hi sipo kwa system read well my words. Nimesema kile nakiona kesho ya Bendera. Either ametumwa au kajituma anacheza na asio wajuwa na mwisho atavuna mabuwa. Is better afunge mdomo asonge mbele.a asnate
 
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?

Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.

Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.

Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Acha kutisha watu hapa acha aseme ukweli.
 
Hi sipo kwa system read well my words. Nimesema kile nakiona kesho ya Bendera. Either ametumwa au kajituma anacheza na asio wajuwa na mwisho atavuna mabuwa. Is better afunge mdomo asonge mbele.a asnate
I'm marking this.
 
Wewe si Mungu kuamua kama atasamehewa au la. Wewe ni marehemu mtarajiwa, ukilala ndo unafanya mazoezi ya kufa. Kila siku kukipambazuka unalikaribia kaburi. Wewe si Mungu bali ni lofa kama malofa wengine. Huna Mamlaka ya kusamehe. Akisamehewa dhambi zake basi chuki zako ni bure tu.

[emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Kiongozi wa Malaika kawaacha kwenye Mataa 😂😂
 
Ash acha vitisho. Haya masalia ya jiwe ya kutisha tisha watu twapaswa kuyaondolea mbali.
 
MUNGU aliamua ugomvi wa watanzania dhidi ya shetani magufuli
 
ID ZINAZO CHANGIA MADA HII ZINATISHA!!! MWENYE MACHO NA AONE!
 
Iwe kulikuwa na ugomvi au haukuwepo na iwe aliuamua au hakuuamua. Wewe na wewe ni marehemu mtarajiwa. Atakayetoa hukumu ya mwisho ni Mungu.
 
Ukitaka kujuwa huyo Bendera na upepo wamemuingiza Chaka kaa kimya uwone huu Uzi utauwelewa. End
Jibu swali magenge hayakuwepo au yalikuwepo?

It's crystal clear that truth will just divulge itself as time goes.
 
Simtishi mtu. Serikali ni ile ile na asukudanganye mtu some one in side same goverment with full details about u atakuunga mkono. Nakataa. Nakataa Kabendera anachokifanya ni hatari kwa maisha yake na hata kizazi chake. Nandio maana najiuliza why asikae kimya? Well basi nasubiri kusikia JK akisema kweli anacho sema Kabendera alfu tuone kama hakijanukishwa nataka kukuhakishia hakuna mahali JK atakubali hii Taarifa. Ikifokea let me know. Asnate
Hiyo mambo ya kuwauwa watu kisa kutofautiana ni akili za magufuli na chawa wake...mmeuwa sana MUNGU akaamua kumla kichwa MAGU

Mtamfanya KABENDERA mtakavyo ila MUNGU atajitukuza tena.
 
Back
Top Bottom