Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakwenda na maji "U WILL GO AND WATER"Sawa kiingereza sijui, ndio useme
my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?😂😂🤣
Ukivunja sheria ni suala la muda tu. Inaweza pita hata miaka kumi. Hata waliokwepa kodi enzi za JK na kujiona wapo juu ya sheria za kodi kwa muda mrefu walikiona cha moto pale walipodaiwa malimbikizo.Sheria za kulinda uovu wa Jiwe au siyo?..
Kwa hiyo hizo sheria Kabendera alizivunja baada ya Jiwe kuwa Rais si ndio?
Peleka utaahira huko.
Kama kabendera anavyotaka kuvuna uharibifu alioufanyaMwendazake anavuna alichopanda
Mungu ndiye aliyeuamua baada ya kusikia kilio chetu.Iwe kulikuwa na ugomvi au haukuwepo na iwe aliuamua au hakuuamua. Wewe na wewe ni marehemu mtarajiwa. Atakayetoa hukumu ya mwisho ni Mungu.
Hata kuandika kwenyewe hujuiNakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Hata waliovunja sheria na kuuwa na kupora watanzania MUNGU kalala mbele na kiongozi waoUkivunja sheria ni suala la muda tu. Inaweza pita hata miaka kumi. Hata waliokwepa kodi enzi za JK na kujiona wapo juu ya sheria za kodi kwa muda mrefu walikiona cha moto pale walipodaiwa malimbikizo.
Kwa hiyo unapovunja sheria ukaachwa kwa wakati huo usijione mjanja.
Mungu kamlipia Kwa Kumpeleka Motoni Mteai wa KaendenderaKama kawaida yake eric kabendera aliamini ye ni mkubwa kuliko nchi na tawala. Pamoja na kufanya kazi za kimataifa ila hakujua kuna sheria lakini dunia ina kanuni zake.
Alifurahia mamilioni ya pesa aliyokuwa analipwa kwa kuandika habari za taharuki zisizo na uchunguzi wa kina kuhusu serikali kiasi cha kuangusha kasri la nguvu kule mbweni.
Alipoonywa alijitia pamba sikioni, kina zitto wakamdanganya kuwa tupo na wewe, we fanya tu.
Kilichotokea baada ya kudakwa wote wakamkimbia. Hata mama yake alipoomba msaada wa panadol kina zitto waligoma kujitokeza. Si mahakamani wala nyumbani kumjulia mama hali.
Mwishowe alipoteza mama, akapoteza na kile alichokikusanya, akawapoteza na marafiki zake pendwa kina zitto.
Alitakiwa ajue kuwa dunia ina kanuni zake.
Yule anapigwa na Moto wa gesiMwendazake aongezewe kuni zakutosha, hii tabia ya kutisha tisha watu ndo inajenga vizazi vya uoga
Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
A jig aNakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya my dear Brother your playing with unknown and just think what will happen?
Mwili wake bado haujapumzika acha kuingia kwenye jambo litakusumbuwa wewe na uzao wako.
Siwezi andika zaidi japo nakushauri haya mambo yanahusu head of state yaache baadae utanielewa na uwenda utarudi kunishukuru.
Niliwahi andika makala fulani juu ya what happen after head of state akifa akiwa madarakani. Naomba usome kwa faida yako.
Japo unaweza kuendelea kutafuta ukweli wa huj ushauri na unabii ktk maisha yako. End.
Yeye kwa sasa atambe tu kumchafua.lakini ajue kuwa muda ukifika atajuta
Kwa hiyo kama watu waliumizwa unfairly unataka wakae kimya!? Wewe bila shaka ndiye kibwengo mwenyewe hasaa.umejamba au umeongea!!! acheni uharo nyie vibwengo
Kila mtu ana haki ya kuandika jambo hapa JF ili mradi havunji kanuni na maudhui ya forum au hata sheria za nchi.Ukweli mtupu, jamaa anajipa umuhimu usiokuwanao
Badala ajibu hoja yeye analeta yale yale ya kutisha watu. Mimi nadhan ingekuwa bora kama angemfata yeye binafsi na kumpa huu ushauri wako
Na kujifanya anajua sana wakati hata kuandika tu ni shida, iwe Kiswahili au Kiingereza. Sijui ni lugha gani huwa anaimudu.Tatizo lako dogo ni kudhani wewe ni mtu muhimu sana
Una wasiwasi atakutaja kwenye upuuzi wa kupoteza watu!? Wewe hofu yako nini yeye akisema madhila ya mfalme wenu!?Hi sipo kwa system read well my words. Nimesema kile nakiona kesho ya Bendera. Either ametumwa au kajituma anacheza na asio wajuwa na mwisho atavuna mabuwa. Is better afunge mdomo asonge mbele.a asnate