Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Mimi sijawahi kuandika Nina umuhimu ila nina toa ushauri kwa kile naona kesho. So hayo mengine sijuwi
Sikubezi

Uliwahi kuwashauri hawa hapa waache mara Moja Tabia zao hawakukusikia kabisa na Sasa hawapo ni hawa hapa;-

JIWE

Saa nane kamili mchana jua linawaka!
 
Wewe unafahamu Kabendera kapata wapi hizi details unazomtuhumu nazo?? Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Zama za Jiwe zimekwisha.

Na wale wote waliokuwa wakifurahia mateso ya wengine kisa kumtukuza Bw Yule nao hawana lao tena ukiwemo wewe mwenyewe.
 
Afadhali umesema wewe Mwamba labda wataelewa sasa, state haichezewi wala kunajisiwa, nilionya watu wanabeza
Kete zinasukumwa pole pole Hadi FDR anaingia kitalani!!

Namuona FDR tayari ameshaanza kumuachia mtu apokee huduma yake wakati akijiandaa kuingia kitalani!!
 
Wewe si Mungu kuamua kama atasamehewa au la. Wewe ni marehemu mtarajiwa, ukilala ndo unafanya mazoezi ya kufa. Kila siku kukipambazuka unalikaribia kaburi. Wewe si Mungu bali ni lofa kama malofa wengine. Huna Mamlaka ya kusamehe. Akisamehewa dhambi zake basi chuki zako ni bure tu.

[emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Ukitaka kujuwa huyo Bendera na upepo wamemuingiza Chaka kaa kimya uwone huu Uzi utauwelewa. End
 
Kabendela ukimuzooom kabisa kwa ukaribu utagundua hili sakata la Real Mental health ni muhanga, fuatilieni kwa ukaribu
 
I told him the same. Huyu jamaa ni wale hopeless walevi kwenye system ambayo system hutumia ku-assinate anti-system. Anashindia pombe, mostly pombe kali.
Hi sipo kwa system read well my words. Nimesema kile nakiona kesho ya Bendera. Either ametumwa au kajituma anacheza na asio wajuwa na mwisho atavuna mabuwa. Is better afunge mdomo asonge mbele.a asnate
 
Acha kutisha watu hapa acha aseme ukweli.
 
Hi sipo kwa system read well my words. Nimesema kile nakiona kesho ya Bendera. Either ametumwa au kajituma anacheza na asio wajuwa na mwisho atavuna mabuwa. Is better afunge mdomo asonge mbele.a asnate
I'm marking this.
 
Kiongozi wa Malaika kawaacha kwenye Mataa 😂😂
 
Ash acha vitisho. Haya masalia ya jiwe ya kutisha tisha watu twapaswa kuyaondolea mbali.
 
MUNGU aliamua ugomvi wa watanzania dhidi ya shetani magufuli
 
ID ZINAZO CHANGIA MADA HII ZINATISHA!!! MWENYE MACHO NA AONE!
 
Iwe kulikuwa na ugomvi au haukuwepo na iwe aliuamua au hakuuamua. Wewe na wewe ni marehemu mtarajiwa. Atakayetoa hukumu ya mwisho ni Mungu.
 
Ukitaka kujuwa huyo Bendera na upepo wamemuingiza Chaka kaa kimya uwone huu Uzi utauwelewa. End
Jibu swali magenge hayakuwepo au yalikuwepo?

It's crystal clear that truth will just divulge itself as time goes.
 
Hiyo mambo ya kuwauwa watu kisa kutofautiana ni akili za magufuli na chawa wake...mmeuwa sana MUNGU akaamua kumla kichwa MAGU

Mtamfanya KABENDERA mtakavyo ila MUNGU atajitukuza tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…