Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

Umemshauri vema, kawaida ya Waafrika huwa hatugombani na marehemu, lakini pia head of state ni kitu kingine kabisa na hasa akifia madarakaani, Mifumo bado ipo kazini kujua sababu, ukijichanganya ukawekewa alama ya X mgongoni hiyo ni mpaka kizazi cha nne, wajukuu watalipiga viboko kaburi lako kabendera
 
Wewe ni ngosha tu acha kuzunguka zunguka
 
Dada sheiza mbona unajizima data bila sababu. Kama ulichosema ni kweli kuwa Erick alikuwa "anaandika habari zisizo na uchunguzi", basi mlipaswa mumshitaki kwa Sheria ya huduma za habari ambayo ndipo kosa lake linaangukia.

Kwa kitendo cha kumshitaki kwa Sheria ya AML ndipo mnaonyesha kuwa alichoandika Erick kilikuwa ni sahihi ila msingeweza kumshinda Mahakamani. Then mkaamua kumkomoa.

Sasa huyo aliyekuwa anakomoa wenzie Mahakamani yuko wapi?

Nashukuru kuona kuwa Magufuli alikufa mwaka jana baada ya kuumwa sana. Hata kwenye majukwaa alikuwa anapanda na A/C huku mikononi akiwa na catheter
 
Ni kweli,kwa Nini na nyie mnapenda sana kuja Dar bila kuoga au kupiga mswaki!!?? Kama hampendi usafi bora mbaki huko huko Bush kwenu na msije Dar!!!
Unaweza kuta washauri wa jiwe walikuwa watu kama wewe
 
Rais akiamua kumshughulikia mkuu, huo ujaji ataenda kuamulia kesi kwenye vijiwe vya kahawa au bongo star search. Wala sitanii
Rais kama taasisi haiwezi kufanyia kazi tuhuma za kifitini kama hizi za Kabendera. Tuhuma za wazi kabisa kuwa ametumwa. Ni muhimu Rais mstaafu Kikwete ajitenge na huo ujinga.
 
Huyu dogo ni mseng£
 
Yaani ufanye uovu utegemee eti ukifa watu wasiseme maovu yako, no way shetani lazima apingwe vikali
 
Acha upumbav , mnaweza mrudishia uhai mama yake ambaye alifariki Kwa kukosa nahitaji kisa mwanae kafungwa Kwa mashitaka ya uongo na kesi za kubumba ?
 
Hahahaha, hivi watu waache kulipiga la Jiwe wakapige la raia mwenzao asiye na impact yoyote
 
Kila nikilisikiapo izina la Erick Kabendera.
 
Sote tunajua alipitishwa kwenye tanuru ya moto kipindi cha Magufuli.

No wonder bado ana chuki naye. This is human nature and very understandable.

Muhimu tumkumbushe yote aliyoyapitia ni consequences za kulisaliti taifa.
 
Kila neno lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho. Kabendera tembea nuruni kama unavyotembea. Na wote tutembee nuruni ili giza likae peke yake. Kama giza linavyotisha sasa. Wote sisi tukiwa hai au tukiwa tumekufa tu mali ya Mungu kwa hiyo hakuna wakumtisha mwenzake. Na wala Mungu hapendi watu wake watishwe na giza.
 
Sote tunajua alipitishwa kwenye tanuru ya moto kipindi cha Magufuli.

No wonder bado ana chuki naye. This is human nature and very understandable.

Muhimu tumkumbushe yote aliyoyapitia ni consequences za kulisaliti taifa.
Mbw@ wewe
Unaweza thibitisha huo usaliti wake ? , Na hata kama alisaliti procedure ni kumbambikizia kesi ,kukwapua mali zake na kumfunga Kwa mashitaka ya uongo ?
 
Nimesoma comment zote bt Kuna swali Bado halijibiki ktk fikra zangu!!!


Kwann Kila sa100 anapozuru nyanza makundi yanazuka kumtukana alolala???

Je ni anawakumbusha machungu au wanazidisha hasira ya Wana nyanza Ili waichukie sirikali???


Nani anafaidika na upuuzi huu??

Kwann wazee wamegoma kuzeeka na kukaa ktk nafasi zao kushauri Kwa HAKI???
 
Mbw@ wewe
Unaweza thibitisha huo usaliti wake ? , Na hata kama alisaliti procedure ni kumbambikizia kesi ,kukwapua mali zake na kumfunga Kwa mashitaka ya uongo ?
Ulishathibitishwa mahakamani.
 
Unakuta huko kuzimu ni katolewa mbele na montress kwa kupiga kelele
 
Huihui2 bila kujalisha umri wako, jinsia yako na kiwango cha uchumi ulicho nacho, wewe una matatizo ya akili.
 
Najiuliza,

Nyerere day imebadilika kuwa siku ya kumtusi Magu.

Hivi Kweli Nyerere angekuwa hai angekaa kimya na kuacha kukemea Hali hii????

Wazee mliobaki hamuitendei Nchi HAKI ktk hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…