Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Amesema kinakuja cha Kiswahili baada ya miezi sita
Angalau, kidogo Sana kitafukurukuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema kinakuja cha Kiswahili baada ya miezi sita
Tatizo la nchi hii illiteracy ni kubwa sana, uamuzi wa kuandika Kiingereza ni wa mwandhishi, ingawa umefunga macho aliposema atatafsiri kwa Kiswahili. Naona bado unayo mentality za kijamaa bado, kwani lazima watanzania wote wakisome? Pili Kabendera ameandika kwa lugha ya Kiingereza ambayo ni pamoja na lugha ya Kiswahili ni lugha zinazotumika kwa mawasiliano na businesses, sasa wewe kama tu lugha inakushinda na inafundishwa tangu darasa la kwanza basi una shida ya uelewa mdogo sana., narudia tena, umedanganywa na ujamaa wa kijinga, unasema hakuna tabaka nchi hii? Nani anaendelea kukudanganya? Wanaoishi Oysterbay , Masaki, Mikocheni ni sawa na wanaoishi Manzese, Tandika na Gogo la Mboto? Tanua akili yako kaka, hata China na Russia matabaka yapo, ukijitahidi ukatoboa utakuwa na maisha mazuri ila wewe kadanganye wenzako kuwa unajua sana Kiswahili...Utabaki tabaka la kutawaliwa.....Jipe moyo.Habari Wakuu!
January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni Kitabu cha Kabendera.
Kwanza nikiri, Sina hicho kitabu, hivyo sijakisoma. Lakini kupitia utangulizi nilioupata kutokana na interview aliyofanyiwa Mwandishi wa kitabu hicho, Muhtasari alioutoa umetoa picha kuwa Kitabu hicho kinahusu nini na kina lenga nini.
Lengo kubwa kabisa la Kitabu hicho, ni kuonyesha Mabaya, ushenzi, na maovu ya Magufuli iwe yalikuwa yanajulikana au Yale ambayo yalikuwa hayajulikani.
Kwa lugha za mtaani, Kitabu hicho kimelenga kumuanika na kumkaanga vibaya Hayati JPM.
Mimi sina tatizo na Jambo hilo ikiwa yaliyoandikwa humo ni KWELI.
Ishu Ipo kwenye Matokeo, je Kitabu hicho kitakuwa na athari yoyote kwa Watu, hasa Tabaka la chini ambalo ndio kundi kubwa la Watanzania?
Hapa jibu ni Hapana.
Kitabu hiki hakitakuwa na athari zozote kwa Watanzania wengi. Kwa sababu zifuatazo;
1. Watanzania wengi sio wapenzi WA kusoma vitabu.
Hivyo kwenye Watanzania Milioni 60 Kitabu hicho hakiwezi kusomwa hata na Watanzania Laki Moja.
Na watakaofanikiwa kukisoma ni kundi la Tabaka Fulani la juu na lile la Wasomi.
2. Kitabu kipo kwa Lugha ya kingereza.
Kusoma vitabu ni changamoto kwa Watanzania. Sasa unapowaongezea Lugha ya kingereza Watanzania wengi waliochini ya Dola Moja ambao Lugha hiyo ni changamoto ni wazi hawatasoma.
3. Kitabu kinamsakama Magufuli ambaye ni wazi ni kipenzi cha Watanzania waliowengi.
Ingawaje Mimi Taikon Mtibeli sikufurahishwa na Mifumo na mienendo ya utawala wa Magufuli lakini hiyo haimaanishi kuwa sikuona jinsi Watanzania wengi walivyokuwa wanampenda Magufuli.
Nachelea kusema, Magufuli ndiye Rais aliyekuwa anapendwa zaidi na Watanzania kuliko Rais yeyote tangu nchi hii ipate Uhuru.
Kwa Watanzania, Magufuli ni kama Mtume wao. Hata ungemsema kwa ubaya gani wao wangemtetea, wasingekuamini.
Kabendera na Kitabu chake Hana namna yoyote hata angekuja na ushahidi WA video kuonyesha unyama wa Magufuli bado Watanzania wengi wangekataa katakata na kusema video hiyo ni AI.
4. Kabendera licha ya kuwa Watanzania wengi hawamjui lakini ikitokea wakamjua watamhusianisha na kibaraka wa Mabeberu.
Kwa nature ya Watanzania wengi walivyo, Kabendera hawezi kusema lolote la maana au kumsema vibaya Magufuli na Watanzania wakamuelewa.
Kabendera atakuwa labelled kama kibaraka tuu wa Mabeberu
Na Kitabu chake hakina maana yoyote kwa Jamii ya kitanzania.
Kitabu cha Kabendera ingawaje kwa Sisi Watibeli kinaweza kuwa kumbukumbu ya kihistoria, na kuonyesha madhaifu ya Mfumo wetu na Katiba yetu,
Lakini kwa Watanzania, Kitabu hicho hakitapewa uzito kihivyo.
Kwa upande wa Wazungu, Kitabu hicho hakina mambo yoyote mapya ya kutisha KW sababu mambo yote yaliyotajwa humo kwa Wazungu sio mageni pale waonapo viongozi wa Afrika au nchi zisizoendelea au zinazoendelea.
Haya!
Wapi nimehoji Wasukuma?Na wewe ni wale wale tu kama kabendera,Hakuna tofauti ya wewe na yeye
Umejaa mambo ya hearsay
Umehoji kundi la wasukuma halafu unatoa hitimisho watanzania kumbe umehoji kundi la wasukuma wa kabila lake
Hilo hata ungekuwa kipofu usingeshindwa kuona kwenye akili yako kuwa Magufuli alikuwa anapendwa Sana na Watanzania wengi.Takwimu kuwa magufuli alipendwa sana umezitoa wapi ?
Soma maelezo, kwenye uzi wangu utaelewa nguvu ya kuandika nimetolea wapi.Kama kitabu hujakisoma unatoa wapi nguvu ya kuandika vitu ambavyo unavisikia bila uhakika huo ni umbea tu
Unapoongelea Tanzania kwani Magufuli alikuwa ana mamlaka zanzibar? Umewahi uliza wanzibar kama walimpenda Magufuli?
Ukweli upi umekataliwa ?Ukweli ukikataliwa hugeuka uongo na uongo ukikubaliwa huwa ni UKWELI [emoji28][emoji28]
Ujana wako ukarejezwa kama Tai 😂Tai ya shingoni au tai ndege?
Tatizo la nchi hii illiteracy ni kubwa sana, uamuzi wa kuandika Kiingereza ni wa mwandhishi, ingawa umefunga macho aliposema atatafsiri kwa Kiswahili. Naona bado unayo mentality za kijamaa bado, kwani lazima watanzania wote wakisome? Pili Kabendera ameandika kwa lugha ya Kiingereza ambayo ni pamoja na lugha ya Kiswahili ni lugha zinazotumika kwa mawasiliano na businesses, sasa wewe kama tu lugha inakushinda na inafundishwa tangu darasa la kwanza basi una shida ya uelewa mdogo sana., narudia tena, umedanganywa na ujamaa wa kijinga, unasema hakuna tabaka nchi hii? Nani anaendelea kukudanganya? Wanaoishi Oysterbay , Masaki, Mikocheni ni sawa na wanaoishi Manzese, Tandika na Gogo la Mboto? Tanua akili yako kaka, hata China na Russia matabaka yapo, ukijitahidi ukatoboa utakuwa na maisha mazuri ila wewe kadanganye wenzako kuwa unajua sana Kiswahili...Utabaki tabaka la kutawaliwa.....Jipe moyo.
To sum up, acha kudanganya watanzania, Siyo kweli kuwa Magufuli ni rais aliyependwa nchi hii kuliko yeyote, kwa lipi? Ulifanya utafiti upi? Nafuu ungesema mashirika ya Pew na mengine yalimpa alama kidogo, yakafungiwa.....Hayo ndiyo ya ukweli. Hakuna rais aliyewahi kupendwa sana nchi hii...wote walikuwa na matatizo mengi sana. Uwe unasema ukweli.
Ukweli upi umekataliwa ?
Umeshasema kitabu cha kabendera hujakisoma ,Sasa mbona unageuka mchambuzi
Kama hujakisoma kitabu acha waliokisoma waandike
Vitabu vya dini kuna watu wameacha legacy kwenye bibilia na quran lakini watu bado wanawajadili kwa maovu yao kila wakati
Yuda Iskarioti kila Pasaka anajadiliwa
Mfalme Suleiman kila wakati watu wanamsem na wake na masulia yake
Legacy haitetewi ,inajitetea yenyewe
Takwimu umezitoa wapi kuwa watanzania walimpenda Magufuli?Wapi nimehoji Wasukuma?
Wasukuma umewatolea wapi kwenye post hii?
Hilo hata ungekuwa kipofu usingeshindwa kuona kwenye akili yako kuwa Magufuli alikuwa anapendwa Sana na Watanzania wengi.
Soma maelezo, kwenye uzi wangu utaelewa nguvu ya kuandika nimetolea wapi.
Kabendera mwenyewe ndiye katoa muhtasari wa kile alichoandika. Huo muhtasari kwa Sisi watunzi na waandishi inatosha kujua Kitabu kinaujumbe gani na kimelenga nini hasa
Unaposema Tanzania unazungumzia Watanzania wote. Hiyo ya kusema Zanzibar ni yako
Ujana wako ukarejezwa kama Tai 😂
Kumbe naye creche wa uwasilishajiMkuu
Kama unajua watanzania hawapendi kusoma
Jaribu na wewe ku summirize maandishi yako
Unaandika maelezo mengi unneccessary huku ukitambua watanzania hawapendi kusoma
Ujana wako ukarejezwa kama Tai 😂
Sio kila Jambo linahitaji Takwimu. Ninyi wenye Elimu za kukariri ndio maana hata mambo madogo yanawashinda.Takwimu umezitoa wapi kuwa watanzania walimpenda Magufuli?
Unazungumzia authority ipi?Huna authority ya kuanzisha hii mada wakati kitabu umekiri hujakisoma.
Wewe unapojadili hapa unanifahamu?Usipende kujadili mambo ambayo huyafahamu na hauna takwimu
Mbona kama una hasira sana dhidi ya Kabendera?!
Hivi kweli watu tuache kutafuta hela tupoteze muda kusoma uharo wa kabendera ??
Acha uongo wa Tz wasiye mpenda labda wewe na ukoo wenuUmechambua vizuri Ila kuhusu Magufuli kupendwa sana hii sio kweli
Magufuli ndo rais Pekee alipokufa watu walikesha bar kunywa na kula .
Japo Mimi nilikuwa namkubali Ila watz wengi walikuwa hawampendi .
Muhimu ujumbe umefika na umezingatia. Kunaweza kusiwe na impact leo lakini kuna siku itatumika kufanya marejeo mabadiliko yatapohitajika.
Usipende kuandika mambo kwa ujumla jumla hapa JFKuna mambo hayahitaji takwimu wala Tafiti.
Magufuli ni habari nyingine kwa Watanzania waliowengi. Kwao ni kama Nabii.
Sisemi kishabiki nazungumzia ukweli uliopo
Umechambua vizuri Ila kuhusu Magufuli kupendwa sana hii sio kweli
Magufuli ndo rais Pekee alipokufa watu walikesha bar kunywa na kula .
Japo Mimi nilikuwa namkubali Ila watz wengi walikuwa hawampendi .