Kwenye biblia imeandikwa watu wenye dhambi watachomwa moto Jehanamu.Nafikiri wewe ndio shida maana hakuna kwenye Biblia juu ya kuchomwa wenye thambi hakuna mahali kwenye bible wameonyesha
Kwi kwi kwi teh teh teh. Mwenyewe Yesu akijiita Mwana wa Adamu, usisahahu hilo.Biblia si Neno la Mungu na Yesu ndiye hilo Neno. Yohana 1:1.
Hahahahahah, hata Kiswahili unapoambiwa "jua kali", usifikiri kuna jua nje linawaka sana. Ni locution tu ya njaa.Kitendo Cha Allah kuchemka kujua solar system , ni mistake kubwa mno na haielezeki labda ujitie ukichaa kama anavyofanya kisai, ameamua ajilipue tu akubali Jua linazama kwenye maji chini ya kiti Cha Allah
Mbona kitabu cha kawaida tuu. Kitabu chenyewe kimeandikwa baada ya mudy kufa akina abubakar ndo waliandika sasa una uhakika gani kama aya zote ni za mungu.Hahahahahah, hata Koiswahili unapoambiwa "jua kali", usifikiri kuna jua nje linawaka sana. Ni locution tu ya njaa.
Hunaulijualo wewe, kaa kimya tu. Wewe kafate maandiko ya binadam wenzako unao waabudu. Qur'an ngoma ni nzito kwako.
πππππ Hili kosa Allah alifanya halirekebishiki , nimekwambia ni Bora ujitie uchizi kama kisai , yeye kakubali Jua linazama kwenye maji ,Hahahahahah, hata Koiswahili unapoambiwa "jua kali", usifikiri kuna jua nje linawaka sana. Ni locution tu ya njaa.
Hunaulijualo wewe, kaa kimya tu. Wewe kafate maandiko ya binadam wenzako unao waabudu. Qur'an ngoma ni nzito kwako.
Siwafahamu hao uliowataja.Mbona kitabu cha kawaida tuu. Kitabu chenyewe kimeandikwa baada ya mudy kufa akina abubakar ndo waliandika sasa una uhakika gani kama aya zote ni za mungu.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Sababu huna hoja za kutetea ukafiri wenu, na nimeshakuelezea huko nyuma.Wewe elimu yako ni ya ajabu sana, unaponukuu kitu ni lazima useme kwamba hiyo ni tafsiri ya maandiko fulani original na maandiko hayo ni lazima uyaambatanishe ili tuone kama ulichotafsiri ni sahihi, mfano kama tafsiri zote za Qur'an tukufu duniani zingekuwa haziambatanishwi na aya halisi za Qur'an katika lugha yake ya asili ya kiarabu unadhani leo hii Qur'an ingekuaje???--- si ingekuwa kama Biblia ambayo haina maandiko ya uasilia wake kiasi kwamba kila mtu au kanisa linayotafsiri yake na idadi ya vitabu vyao katika Biblia kiasi kwamba ni vurugu tupu.
Unapotoa nukuu ya tafsiri ni lazima useme imepatikanaje, kwa suala la Alfadhl kama nilivyosema, ni jarida lilikuwa likitokewa katika miaka hiyo kwa lugha ya kiurdu, sasa tuambie hiyo tafsiri yako kutoka katika hiyo Alfadhl umeitafsiri kutoka kiurdu, kiingereza au kutoka katika lugha ipi??? au umekopi hiyo tafsiri???, toa majibu mkuu!!!.
Ipo hivi; Ahmadiyya tunavyo vitabu vingi sana, majarida, Magazeti, makala.mbalimbaki nk, na umekuwepo mchezo wa wapinzani wa Ahmadiyya kuchukua maandiko yetu na kuyabadilisha au kuyaweka katika tafsiri zao ili tu kupotosha ukweli ili jumuiyya yetu ionekane si chochote bali jumuiyya inayokwenda kinyume na mafundisho ya Uisilamu sasa ili kuepusha jambo hilo ndio maana kwanza ninataka ORIGINAL URDU SCRIPTS ZA HIYO TAFSIRI YAKO ULIYOTUWEKEA ili kuondoa utata na baada ya hapo mambo mengine yatafuata, kama wewe.ni mkweli na huna hila chafu kwanini unashindwa kutuwekea hiyo Alfadhl ulimochukua hiyo tafsiri yako????.
"Leo tutajua kafiri ni nani kati yako na mimi"
Ni husuda dhidi ya hii jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya ndio inawatafuna sio kitu kingine.
Kipenzi chetu Mtukufu mtume Muhammad (saw) alipata kusema juu ya husuda:-
Ψ§ΩΨ§ΩΩ Ω Ψ§ΩΨΨ³Ψ― ΩΨ§Ω Ψ§ΩΨΨ³Ψ― ΩΨ§ΩΩ Ψ§ΩΨΨ³ΩΨ§Ψͺ ΩΩ Ψ§ ΨͺΨ§ΩΩ Ψ§ΩΩΨ§Ψ± Ψ§ΩΨΨ·Ψ¨
Yaani; "Jiepusheni na hasadi kwani hakika hasadi inakula wema (wa mtu) kama jinsi moto unavyokula kuni"
Sasa tunaona jinsi hasadi inavyokula wema wenu hadi mnashindwa kuleta ushahidi wa kashfa zenu dhidi yetu bali mmebaki kutukana na kulalama tu.
Msikie Shk Amri Abeid Kaluta anavyosema juuu ya matukano na uongo:-
Usemapo neno;
Pasi ujuzi mtimilifu;
Utauma meno;
Ujaposutwa udanganyifu;
Nayo matukano;
Mtukanayo na kukashifu;
Ndiyo msumeno;
Utakereza zenu sharafu.
Kijana hizo zote ni locution, Qur'an wale wanaoabudu Binaadam mwenzao hawatoielewa mpaka kufa kwao, sikushangai.πππππ Hili kosa Allah alifanya halirekebishiki , nimekwambia ni Bora ujitie uchizi kama kisai , yeye kakubali Jua linazama kwenye maji ,
Muhammad ndio anakujibu Mimi sihusiki
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ο·Ί) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Mbona kitabu cha kawaida tuu. Kitabu chenyewe kimeandikwa baada ya mudy kufa akina abubakar ndo waliandika sasa una uhakika gani kama aya zote ni za mungu.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Ndiyo maana tunataja mwaka, tarehe na jina la Jarida au Kitabu, hii inaonyesha tunayo yanukuu kuna sehemu yametoka, sasa wewe ndiyo unatakiwa uonyeshe kwamba hayajatoka huko.Unapotoa nukuu ya tafsiri ni lazima useme imepatikanaje, kwa suala la Alfadhl kama nilivyosema, ni jarida lilikuwa likitokewa katika miaka hiyo kwa lugha ya kiurdu, sasa tuambie hiyo tafsiri yako kutoka katika hiyo Alfadhl umeitafsiri kutoka kiurdu, kiingereza au kutoka katika lugha ipi??? au umekopi hiyo tafsiri???, toa majibu mkuu!!!.
Safi kabisa, sasa sababu umelijua hilo, unatakiwa uonyeshe kwamba haya ninayo yaweka hapa hayapatikani katika vitabu vyenu. Hili mbona rahisi sana.Ipo hivi; Ahmadiyya tunavyo vitabu vingi sana, majarida, Magazeti, makala.mbalimbaki nk, na umekuwepo mchezo wa wapinzani wa Ahmadiyya kuchukua maandiko yetu na kuyabadilisha au kuyaweka katika tafsiri zao ili tu kupotosha ukweli ili jumuiyya yetu ionekane si chochote bali jumuiyya inayokwenda kinyume na mafundisho ya Uisilamu sasa ili kuepusha jambo hilo ndio maana kwanza ninataka ORIGINAL URDU SCRIPTS ZA HIYO TAFSIRI YAKO ULIYOTUWEKEA ili kuondoa utata na baada ya hapo mambo mengine yatafuata, kama wewe.ni mkweli na huna hila chafu kwanini unashindwa kutuwekea hiyo Alfadhl ulimochukua hiyo tafsiri yako????.
"Leo tutajua kafiri ni nani kati yako na mimi"
Andiko gani tulisomeKwenye biblia imeandikwa watu wenye dhambi watachomwa moto Jehanamu.
Hii inaonyesha waziwazi kuwa Mungu ni mkatili sana.
Allah alikuwa ni kuchambana na kubishana na wakristo na wayahudi,Qur'an 11:13. 13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 13
Ila mwisho wa siku Kuna sura nzima ni ya majini yameweka
Huku ndiko kuchambana kikwenu, au ukweli usioupenda unakuudhi? Soma...Allah alikuwa ni kuchambana na kubishana na wakristo na wayahudi,
Karibu sana.Hapa sasa ndo tuta kesha ngoja nikaoge kabisaaaaa! niwekee kiti changu hapo mbele
πππππ Allah alitoa challenge ya kutengeneza surah , alafu hapo hapo Majini yametengeneza surah nzima ,
Hii hapa Surat Jinn. ngoja tukupe darsa, kidogo kidogo. Sema ni nini ambacho hukielewi hapa...
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
Huyo ni atheist?Mfano wewe na Kiranga hamuamini Mungu na mnadai hakuna Mungu, wengine kama Nyani Ngabu haamini Mungu na hasemi kuwa yupo au hayupo.
Verse 0 ondoa haipo mmeongeza , na acheni kuchakachua kitabu Cha Allah na Majini
Hii hapa Surat Jinn. ngoja tukupe darsa, kidogo kidogo. Sema ni nini ambacho hukielewi hapa...
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1
2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2