Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Nafikiri wewe ndio shida maana hakuna kwenye Biblia juu ya kuchomwa wenye thambi hakuna mahali kwenye bible wameonyesha
Kwenye biblia imeandikwa watu wenye dhambi watachomwa moto Jehanamu.
Hii inaonyesha waziwazi kuwa Mungu ni mkatili sana.
 
Biblia si Neno la Mungu na Yesu ndiye hilo Neno. Yohana 1:1.
Kwi kwi kwi teh teh teh. Mwenyewe Yesu akijiita Mwana wa Adamu, usisahahu hilo.

Onesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu" au "Niabuduni".

Hapo sasa!
 
Kitendo Cha Allah kuchemka kujua solar system , ni mistake kubwa mno na haielezeki labda ujitie ukichaa kama anavyofanya kisai, ameamua ajilipue tu akubali Jua linazama kwenye maji chini ya kiti Cha Allah
Hahahahahah, hata Kiswahili unapoambiwa "jua kali", usifikiri kuna jua nje linawaka sana. Ni locution tu ya njaa.

Huna ulijualo, wewe kaa kimya tu. Wewe kafate maandiko ya binadam wenzako unao waabudu. Qur'an ngoma ni nzito kwako.
 
Hahahahahah, hata Koiswahili unapoambiwa "jua kali", usifikiri kuna jua nje linawaka sana. Ni locution tu ya njaa.

Hunaulijualo wewe, kaa kimya tu. Wewe kafate maandiko ya binadam wenzako unao waabudu. Qur'an ngoma ni nzito kwako.
Mbona kitabu cha kawaida tuu. Kitabu chenyewe kimeandikwa baada ya mudy kufa akina abubakar ndo waliandika sasa una uhakika gani kama aya zote ni za mungu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂😂 Hili kosa Allah alifanya halirekebishiki , nimekwambia ni Bora ujitie uchizi kama kisai , yeye kakubali Jua linazama kwenye maji ,

Muhammad ndio anakujibu Mimi sihusiki

Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
 
Wewe elimu yako ni ya ajabu sana, unaponukuu kitu ni lazima useme kwamba hiyo ni tafsiri ya maandiko fulani original na maandiko hayo ni lazima uyaambatanishe ili tuone kama ulichotafsiri ni sahihi, mfano kama tafsiri zote za Qur'an tukufu duniani zingekuwa haziambatanishwi na aya halisi za Qur'an katika lugha yake ya asili ya kiarabu unadhani leo hii Qur'an ingekuaje???--- si ingekuwa kama Biblia ambayo haina maandiko ya uasilia wake kiasi kwamba kila mtu au kanisa linayotafsiri yake na idadi ya vitabu vyao katika Biblia kiasi kwamba ni vurugu tupu.

Unapotoa nukuu ya tafsiri ni lazima useme imepatikanaje, kwa suala la Alfadhl kama nilivyosema, ni jarida lilikuwa likitokewa katika miaka hiyo kwa lugha ya kiurdu, sasa tuambie hiyo tafsiri yako kutoka katika hiyo Alfadhl umeitafsiri kutoka kiurdu, kiingereza au kutoka katika lugha ipi??? au umekopi hiyo tafsiri???, toa majibu mkuu!!!.

Ipo hivi; Ahmadiyya tunavyo vitabu vingi sana, majarida, Magazeti, makala.mbalimbaki nk, na umekuwepo mchezo wa wapinzani wa Ahmadiyya kuchukua maandiko yetu na kuyabadilisha au kuyaweka katika tafsiri zao ili tu kupotosha ukweli ili jumuiyya yetu ionekane si chochote bali jumuiyya inayokwenda kinyume na mafundisho ya Uisilamu sasa ili kuepusha jambo hilo ndio maana kwanza ninataka ORIGINAL URDU SCRIPTS ZA HIYO TAFSIRI YAKO ULIYOTUWEKEA ili kuondoa utata na baada ya hapo mambo mengine yatafuata, kama wewe.ni mkweli na huna hila chafu kwanini unashindwa kutuwekea hiyo Alfadhl ulimochukua hiyo tafsiri yako????.

"Leo tutajua kafiri ni nani kati yako na mimi"

Ni husuda dhidi ya hii jumuiya ya Waisilamu wa Ahmadiyya ndio inawatafuna sio kitu kingine.

Kipenzi chetu Mtukufu mtume Muhammad (saw) alipata kusema juu ya husuda:-

اياكم و الحسد فان الحسد ياكل الحسنات كما تاكل النار الحطب

Yaani; "Jiepusheni na hasadi kwani hakika hasadi inakula wema (wa mtu) kama jinsi moto unavyokula kuni"

Sasa tunaona jinsi hasadi inavyokula wema wenu hadi mnashindwa kuleta ushahidi wa kashfa zenu dhidi yetu bali mmebaki kutukana na kulalama tu.

Msikie Shk Amri Abeid Kaluta anavyosema juuu ya matukano na uongo:-

Usemapo neno;
Pasi ujuzi mtimilifu;
Utauma meno;
Ujaposutwa udanganyifu;
Nayo matukano;
Mtukanayo na kukashifu;
Ndiyo msumeno;
Utakereza zenu sharafu.
Sababu huna hoja za kutetea ukafiri wenu, na nimeshakuelezea huko nyuma.

Mimi naendelea kuweka nukuu zenu :
Nanukuu :

“Kristo aliyeahidiwa aliweka wazi kuwa Ahmadiya wasisalishwe na waislamu katika sala. Baruwa nyingi zinakuja kuulizia jambo hili. Jibu langu kwao wote ni kuwa hata mkirudia swali hili mara ngapi mimi nitajibu kuwa si sahihi, si sahihi, si sahihi kusalishwa na mtu asiyekuwa Ahmadiya.” (Anwar Khilafat by Mirza Bashir Mahmud pp. 89)

Tena mkasema haya :

“Wala tusiukubali Uislamu wa wale wasiokuwa kadiani, wala tusisalishwe nao kwa sababu kwa maoni yetu wao si waumini (kwani) hawamuamini mmoja wa Manabii wa Allah.” (Ibid. Pp. 90)

Mwisho wa kunukuu.
 
😂😂😂😂😂 Hili kosa Allah alifanya halirekebishiki , nimekwambia ni Bora ujitie uchizi kama kisai , yeye kakubali Jua linazama kwenye maji ,

Muhammad ndio anakujibu Mimi sihusiki

Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
Grade Sahih
Kijana hizo zote ni locution, Qur'an wale wanaoabudu Binaadam mwenzao hawatoielewa mpaka kufa kwao, sikushangai.

2_6.gif

6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. 6
 
Mbona kitabu cha kawaida tuu. Kitabu chenyewe kimeandikwa baada ya mudy kufa akina abubakar ndo waliandika sasa una uhakika gani kama aya zote ni za mungu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app

Qur'an 11:13. 13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 13
 
Unapotoa nukuu ya tafsiri ni lazima useme imepatikanaje, kwa suala la Alfadhl kama nilivyosema, ni jarida lilikuwa likitokewa katika miaka hiyo kwa lugha ya kiurdu, sasa tuambie hiyo tafsiri yako kutoka katika hiyo Alfadhl umeitafsiri kutoka kiurdu, kiingereza au kutoka katika lugha ipi??? au umekopi hiyo tafsiri???, toa majibu mkuu!!!.
Ndiyo maana tunataja mwaka, tarehe na jina la Jarida au Kitabu, hii inaonyesha tunayo yanukuu kuna sehemu yametoka, sasa wewe ndiyo unatakiwa uonyeshe kwamba hayajatoka huko.

Hata niwe nime kopi sehemu, hii bado haibadilishi ukweli ulivyo kwamba jambo liko hivyo.

Hapa mpaka utakiri tu, mimi nipo.
 
Ipo hivi; Ahmadiyya tunavyo vitabu vingi sana, majarida, Magazeti, makala.mbalimbaki nk, na umekuwepo mchezo wa wapinzani wa Ahmadiyya kuchukua maandiko yetu na kuyabadilisha au kuyaweka katika tafsiri zao ili tu kupotosha ukweli ili jumuiyya yetu ionekane si chochote bali jumuiyya inayokwenda kinyume na mafundisho ya Uisilamu sasa ili kuepusha jambo hilo ndio maana kwanza ninataka ORIGINAL URDU SCRIPTS ZA HIYO TAFSIRI YAKO ULIYOTUWEKEA ili kuondoa utata na baada ya hapo mambo mengine yatafuata, kama wewe.ni mkweli na huna hila chafu kwanini unashindwa kutuwekea hiyo Alfadhl ulimochukua hiyo tafsiri yako????.

"Leo tutajua kafiri ni nani kati yako na mimi"
Safi kabisa, sasa sababu umelijua hilo, unatakiwa uonyeshe kwamba haya ninayo yaweka hapa hayapatikani katika vitabu vyenu. Hili mbona rahisi sana.

Kafiri ni wewe ambaye unasema Ghulamu alikuwa nabii, wewe unayesema nabii Issa amekufa.

Kwanini Ghulamu mnamuita Masihi mara mnamuita Kristo ?
 
Qur'an 11:13. 13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 13
Allah alikuwa ni kuchambana na kubishana na wakristo na wayahudi,

Ila mwisho wa siku Kuna sura nzima ni ya majini yameweka
 
Hii hapa Surat Jinn. ngoja tukupe darsa, kidogo kidogo. Sema ni nini ambacho hukielewi hapa...
1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

72_1.gif

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1

72_2.gif

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
 
Allah alikuwa ni kuchambana na kubishana na wakristo na wayahudi,
Huku ndiko kuchambana kikwenu, au ukweli usioupenda unakuudhi? Soma...

3_64.gif

Qur'an 3:64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu. 64
 
Qur'an 11:13. 13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 13
Hapa sasa ndo tuta kesha ngoja nikaoge kabisaaaaa! niwekee kiti changu hapo mbele
 
Hii hapa Surat Jinn. ngoja tukupe darsa, kidogo kidogo. Sema ni nini ambacho hukielewi hapa...
1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

72_1.gif

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1

72_2.gif

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
😂😂😂😂😂 Allah alitoa challenge ya kutengeneza surah , alafu hapo hapo Majini yametengeneza surah nzima ,

Allah anasahau Sana ndio maana nilikuwa na Uzi uku unasema Allah anasahau
 
Hii hapa Surat Jinn. ngoja tukupe darsa, kidogo kidogo. Sema ni nini ambacho hukielewi hapa...
1_0.gif

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

72_1.gif

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! 1

72_2.gif

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. 2
Verse 0 ondoa haipo mmeongeza , na acheni kuchakachua kitabu Cha Allah na Majini
 
Back
Top Bottom