Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Ilifikia maali madogo wananibana kwa nini unakitabu Cha majini! Ikabidi niki download online kile physical nikichome mbele Yao
Hata uchukuwe Qur'an za dunia nzima uzichome haijalishi kitu. Qur'an ipo vifuani mwetu. tutakuona juha tu.
 
Nitakuwa sahihi nikisema uislamu sio dini bali ni kujisalimisha?
 
Mie sikifahamu hicho kitabu unachokiongelea.
 
Siiamini.

Wewe unaiamini au huiamini?
Kama huiamini kulikuwa na sababu gani ya kunukuu ile verse

Zipo habari nazikubali na zipo habari ambazo sikubaliani nazo

The same applies to Quran
 
Naam, wewe ikariri basi tena kwa Kiarabu.

Kwanza hata maana ya neno biblia hulielewi, sio kitabu, ni vitabu.

Haa Yesu haielewi biblia ni nini.
 
Katika jambo ambalo umekosea ni kuniita mimi MUONGO.

Ngoja ninukuu, kisha utakanusha haya nayo yanukuu :

Hotuba ya Khalifa wa Kadiani iliyochapishwa katika Al-Fadl, Agosti 21, 1927 chini ya kichwa Advice for Students’ kinawafafanulia wafuwasi wake tofauti kati ya Ahmadiya na wasio Ahmadia. Anasema “... Kwa kuwa Kristo aliyeahidiwa alisema kuwa. Uislamu wao, Allaah wao na hija yao nitofauti na zetu, daima tunatofautiana nao kwa killa kitu.”

Nanukuu :

"Mnamo Julai 30,1931 Al-Fadl likachapisha hotuba nyingine ya Khalifa wa Kadiani ambapo alielezea ugomvi uliotokea baina ya Makundu mawili. Moja likatowa hoja kuwa kwa vile tofauti kati ya Makadiani na Waislamu zinajulikana, na Kristo aliyeahidiwa amekwishazifafanuwa hakuna haja ya kuanzisha shule binafsi za kadiani: tunaweza kuyasoma yale mambo yote yasiyo na ubishani katika shule za Waislamu. Makundi mengine yakakataa. Huku bado wakibishana, Kristo mwenyewe aliyeahidiwa akaingia na kusikiliza mabishano yao. Kisha akatowa hukumu hii, akisema: “Ni makosa kusema kuwa tunatofautiana na Waislamu katika suala la kifo cha Yesu tu. Tunapingana nao katika yote; Allaah, Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), Qurian, sala, hija na zaka. Kwa kifupi aliwafafanulia kuwa tunatofautiana kabisa na Waislamu kwa mambo yote yanayohusiana na dini”.

Mwisho wa kunukuu.
Haya ni madai tu kama madai mengine. Unatakiwa uthibitishe hili, mimi nakuuliza swali au maswali yafuatayo :

1. Utume unaendelea au umekoma ?

2. Yesu amekufa au yuko hai ?

3. Mirza Ghulam Ahmad ni nani ?

4. Asiyekuwa Kadiani kwenu nyinyi ni nani ?

Ukithibitisha ya kuwa Ukadiani ni Uislamu mimi nakuwa Kadiani.
Unaona ndugu, huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhani na ninajaribu sana kujiepusha na mjadala ambao hautakuwa na tija ili nisije kuharibu funga yangu kwani uzoefu nilionao juu ya watu waongo na wazushi wa aina hii ni kutumia lugha chafu
Najua huwezi kuonyesha uongo wangu hata chembe.

Twende taratibu, Mirza Gulam Ahmad ni nani ni muumini kama ulivyo wewe au ni mtume au nabii ?

Usilete malalamiko, na uwe mkweli.
Haya unayasema wewe ila uhalisia hauko hivyo. Kinachonena kwa kasi sana siku hizi ni elimu sahihi juu ya UISLAMU.
 
Kama huiamini kulikuwa na sababu gani ya kunukuu ile verse

Zipo habari nazikubali na zipo habari ambazo sikubaliani nazo

The same applies to Quran
Wewe huiamini Biblia, nimeinukuu kwa sababu ya watu kama wewe, mnaoamini maandiko ya watu mnasema ya Mungu.

Biblia hata Yesu mwenyewe hajawahi kuiona wala kuisikia. Na sisi tunawanukulia hiyo hiyo mjisute wenyewe.
 
Nitakuwa sahihi nikisema uislamu sio dini bali ni kujisalimisha?
Kwa kuwa tu huelewi maana ya neno "dini". Sikushangai.

Naam, kujisalimisha kwa na nani? Malizia basi.
 
Wewe huiamini Biblia, nimeinukuu kwa sababu ya watu kama wewe, mnaoamini maandiko ya watu mnasema ya Mungu.

Biblia hata Yesu mwenyewe hajawahi kuiona wala kuisikia. Na sisi tunawanukulia hiyo hiyo mjisute wenyewe.
Naposema siiamini biblia namaanisha (hata huyo yesu ambaye wewe unaweza ukawa unamuamini kuwa alikuwepo/yupo ila Biblia haijaeleza katika usahihi ) habari hiyo siiamini pia
 
Kwa kuwa tu huelewi maana ya neno "dini". Sikushangai.

Naam, kujisalimisha kwa na nani? Malizia basi.
Sio kujisalimisha kwa nani, ishu ni kujisalimashi no matter iwe ni slave master au kitu gani
 
Ushindani upi na soko lipi? Labda Ukristo ndio unatafuta masoko. Uislam hakuna hilo wala mentality hiyo ya kutafuta masoko kwenye Imani za watu.
 
Mungu wa kweli bado binadamu hatujamjua, hizi dini ni biashara. Wewe amini Mungu yupo, basi usimtendee mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe. Fanya kazi kwa bidii (ila ujue maisha ni mchezo).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila dini inasema "Wao ndio njia ya ukweli ya kwenda mbinguni"

1. Wakristo "Yesu akasema, Mimi ndio njia ya kweli na uzima, yeyote haendi Kwa baba bila kupitia Mimi"
Wakristo wanatakiwa kuokoka/kumpokea Yesu ndio waende mbinguni.

2. Waislamu "Usitende shiriki"
Yaani kusema Yesu ni Mungu hii ni shiriki.
Kumfata Hussein basi Mashia wotee ni shiriki.

Kwahiyo kwa misingi ya dini "Unahitajika kufanya mengine zaidi ili uende mbinguni na sio swala la upendo tu.

Sasa, lipi finyike ambalo ndio sahihi?
Tuwe Waislamu au Wakristo?

#YNWA
 
Mkuu Mungu ni cheo Hata Shetani Anatambulika Kama mungu wa dunia, sifa za mungu wa waislam ni tofauti na Mungu wa wakristo na hapo ndipo mkanganyiko unapoanzia,
Na changamoto iliyo kuu...
1. Wengi wetu tumerithi Imani za wazazi.
Umezaliwa umekuta wazazi ni waenda kanisani, basi unaenda hukohuko....

2. Kila Imani hufundisha kwa kukomaa kwamba wao ndio sahihi...!!! Huku wakiwa wamezirithi..!!!

#YNWA
 
Kabla ya yote hayo nani aliatoa wazo la kuhifdhi histori iliyoko kwenye Bible takatifu na Quran tukufu ambazo ndio zimebobea Africa. ? Pili mbona mbona tamaduni nyingi kama siyo zote Africa tuliambiwa za kishenzi wakati Africa jamii ya watu walimwamini Muumba wao kwa style ya unyenyekevu na Mungu wao kwa ukuu wake alijibu maombi yao kwa wakati. Waliomba Mungu wao kwa dua zao kupitia hadi matambiko yao ya asili na Mungu alikuwa akiwajibu bila kuwabagua.
 
Wa kimila mlishaachwa tangu enzi za Kaini huko leo hii kete uliyo nayo ni ama unaisika kweli na kukata shauri au unapotea kama alivyopotea Kaini muasisi wenu wa kumfuata mungu wa dunia hii aka shetani.
Duh! Mbona kwenye biblia inasenama Kaini na Abel walikuwa ndugu na tofauti yao ilitokana roho ya ubinafsi na husda ile inahitwa kwanini nisiwe mimi awe yeye. Lakini wote walitoa sadaka ya kuteketeza. Kitu gani kiliondoa sadaka ya kuteketeza ambayo ni matambiko? Maana tukiangalia hata baba wa Imani Ibarahim alitoa sadaka ya kuteketeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…