Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Ilifikia maali madogo wananibana kwa nini unakitabu Cha majini! Ikabidi niki download online kile physical nikichome mbele Yao
Hata uchukuwe Qur'an za dunia nzima uzichome haijalishi kitu. Qur'an ipo vifuani mwetu. tutakuona juha tu.
 
Maana ya Neno Uislamu Kilugha


Kilugha, Uislamu unamaanisha kujisalimisha, kunyenyekea na kutii. Dini hii ndio inaitwa Uislamu kwa sababu ni dini yenye msingi wa kusalimu amri za Allah na kuzitii.


Maana Yake Kiistilahi


Ni njia ya maisha, mfumo wenye misingi ya imani na matendo ya kuwafanya watu wapate furaha kamili duniani na ahera, iliyotumwa na Allah na kufikishiwa watu kupitia kwa mitume. Uislamu ni sheria ya kiungu inayowaongoza watu wenye akili kuelekea mambo mazuri kulingana na hiari zao.


Yaliyomo katika Uislamu


Maana ya Uislamu ni kujisalimisha: kujisalimsha kwenye amri na makatazo ya Allah. Uislamu hautakuwepo bila ya kujisalimisha kwenye hukumu za Allah. (Angalia al-An'am, 162 na an-Nisa, 65) Mwanadamu ni mja aliyeumbwa na Allah.


Kwa kuwa Allah amekizingira kila kitu kwa elimu Yake na kwa kuwa Yeye ana hekima, sharti la utumwa ni kujisalimisha Kwake. Sheria za uhai humshurutisha mwanadamu kujisalimisha kwa Allah kwa sababu Allah ndiye anayezijua zaidi sheria hizo na anamjua zaidi mwanadamu.


Ulimwengu na kila kilichomo ndani mwake hutii sheria za Muumbaji huyo. Kwa hivyo, dini ya ulimwengu wote ni Uislamu. Jua, mwezi na nyota, vyote hivyo vinafuata Uislamu. Kwa kuwa Uislamu unamaanisha kumtii Allah na kujisalimisha Kwake, tunaona kwamba viumbe vyote hivyo vinamtii Allah bila ya kuasi. Yaani, tunashuhudia kwamba vinajisalimisha na kwamba vyote vinafuata Uislamu.




Soma zaidi: Uislamu ni nini? Unaweza kutoa maelezo ya kina kuhusu Uislamu? | Maswali juu ya Uislamu
Nitakuwa sahihi nikisema uislamu sio dini bali ni kujisalimisha?
 
Ndio maana nimekwambia koran ni kakitabu ukubwa wa index ya Biblia , Yani ukubwa wa Koran ni ile sehemu inasema yaliyomo ndani ya biblia

Quran ni mashahiri yasiyo na muendelezo Yani verse na verse unakuta Allah anasema nilimpaiza muhammad verse inayofuata anasema na Musa tukamfanyaje sijui , Yani unajikuta unataka kujua habari ya muhammad kupaa alafu ndio hasemi tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Unakuta Allah na shetani wanarap kwa kuishia na herufi moja

Mfano Allah anasema na ondoka hapa na nimekufanya upotee
Shetani nae anaongea nitamvizia na nitamfanya apotee

Yani Kuna mda nasoma nacheka mpaka watoto wanauliza unacheka nini
Mie sikifahamu hicho kitabu unachokiongelea.
 
Siiamini.

Wewe unaiamini au huiamini?
Kama huiamini kulikuwa na sababu gani ya kunukuu ile verse

Zipo habari nazikubali na zipo habari ambazo sikubaliani nazo

The same applies to Quran
 
Kakitabu ambacho ni sawa na index ya Biblia unashindwa vipi kukariri,

Wakusanyike nani wakati Quran Allah kachukua maneno ya shetani kaweka, siafu kaweka , maneno ya majini kaweka ,

Alafu unasema majini na unajua wazi Yana sura nzima yanaongea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naam, wewe ikariri basi tena kwa Kiarabu.

Kwanza hata maana ya neno biblia hulielewi, sio kitabu, ni vitabu.

Haa Yesu haielewi biblia ni nini.
 
Uongo mwingine ni huu; kwamba Swala yetu ni kinyume na jinsi wanavyoswali Waislamu wengine na hilo anadai linapatikana katika vitabu vyetu na magazeti yetu, sasa mwambie kama yeye ni mkweli aonyesha kitabu chetu cha Swala au gazeti letu ambamo tunaweza kupata ushahidi wa hicho anachosema ----kwani njia ya muongo ni fupi.
Katika jambo ambalo umekosea ni kuniita mimi MUONGO.

Ngoja ninukuu, kisha utakanusha haya nayo yanukuu :

Hotuba ya Khalifa wa Kadiani iliyochapishwa katika Al-Fadl, Agosti 21, 1927 chini ya kichwa Advice for Students’ kinawafafanulia wafuwasi wake tofauti kati ya Ahmadiya na wasio Ahmadia. Anasema “... Kwa kuwa Kristo aliyeahidiwa alisema kuwa. Uislamu wao, Allaah wao na hija yao nitofauti na zetu, daima tunatofautiana nao kwa killa kitu.”

Nanukuu :

"Mnamo Julai 30,1931 Al-Fadl likachapisha hotuba nyingine ya Khalifa wa Kadiani ambapo alielezea ugomvi uliotokea baina ya Makundu mawili. Moja likatowa hoja kuwa kwa vile tofauti kati ya Makadiani na Waislamu zinajulikana, na Kristo aliyeahidiwa amekwishazifafanuwa hakuna haja ya kuanzisha shule binafsi za kadiani: tunaweza kuyasoma yale mambo yote yasiyo na ubishani katika shule za Waislamu. Makundi mengine yakakataa. Huku bado wakibishana, Kristo mwenyewe aliyeahidiwa akaingia na kusikiliza mabishano yao. Kisha akatowa hukumu hii, akisema: “Ni makosa kusema kuwa tunatofautiana na Waislamu katika suala la kifo cha Yesu tu. Tunapingana nao katika yote; Allaah, Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam), Qurian, sala, hija na zaka. Kwa kifupi aliwafafanulia kuwa tunatofautiana kabisa na Waislamu kwa mambo yote yanayohusiana na dini”.

Mwisho wa kunukuu.
Kwanza Kumwita mtu jina lisilokuwa lake hiyo ni kama tusi, sisi ni Waisilamu wa Ahmadiyya, tunajiita hivyo na tunajulikana hivyo na tungependa tujulikane hivyo, jina jingine la kupewa na wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya ni katika njia ile ile ya kuthibitisha
Haya ni madai tu kama madai mengine. Unatakiwa uthibitishe hili, mimi nakuuliza swali au maswali yafuatayo :

1. Utume unaendelea au umekoma ?

2. Yesu amekufa au yuko hai ?

3. Mirza Ghulam Ahmad ni nani ?

4. Asiyekuwa Kadiani kwenu nyinyi ni nani ?

Ukithibitisha ya kuwa Ukadiani ni Uislamu mimi nakuwa Kadiani.
Unaona ndugu, huu ni mwezi mtukufu wa Ramadhani na ninajaribu sana kujiepusha na mjadala ambao hautakuwa na tija ili nisije kuharibu funga yangu kwani uzoefu nilionao juu ya watu waongo na wazushi wa aina hii ni kutumia lugha chafu
Najua huwezi kuonyesha uongo wangu hata chembe.

Twende taratibu, Mirza Gulam Ahmad ni nani ni muumini kama ulivyo wewe au ni mtume au nabii ?

Usilete malalamiko, na uwe mkweli.
Ipo hivi; jumuiyya ya Waislamu wa Ahmadiyya ni jumuiyya inayokua kwa kasi kubwa DUNIANI kuliko Jumuiyya za DINI ZOTE, hilo ni jambo linalowapa khofu kubwa sana Wapinzani wa Jumuiya ya Ahmadiyya licha ya upinzani wao wameshindwa kuzuia maendeleo ya hii jumuiya wamebaki kutukana, kulalama na macho, povu na mashipa ya shingo inawatoka hawajui cha kufanya.
Haya unayasema wewe ila uhalisia hauko hivyo. Kinachonena kwa kasi sana siku hizi ni elimu sahihi juu ya UISLAMU.
 
Kama huiamini kulikuwa na sababu gani ya kunukuu ile verse

Zipo habari nazikubali na zipo habari ambazo sikubaliani nazo

The same applies to Quran
Wewe huiamini Biblia, nimeinukuu kwa sababu ya watu kama wewe, mnaoamini maandiko ya watu mnasema ya Mungu.

Biblia hata Yesu mwenyewe hajawahi kuiona wala kuisikia. Na sisi tunawanukulia hiyo hiyo mjisute wenyewe.
 
Wewe huiamini Biblia, nimeinukuu kwa sababu ya watu kama wewe, mnaoamini maandiko ya watu mnasema ya Mungu.

Biblia hata Yesu mwenyewe hajawahi kuiona wala kuisikia. Na sisi tunawanukulia hiyo hiyo mjisute wenyewe.
Naposema siiamini biblia namaanisha (hata huyo yesu ambaye wewe unaweza ukawa unamuamini kuwa alikuwepo/yupo ila Biblia haijaeleza katika usahihi ) habari hiyo siiamini pia
 
Kwa kuwa tu huelewi maana ya neno "dini". Sikushangai.

Naam, kujisalimisha kwa na nani? Malizia basi.
Sio kujisalimisha kwa nani, ishu ni kujisalimashi no matter iwe ni slave master au kitu gani
 
Tokea mwanzo mpaka mwisho umemaliza vizuri sana kasoro pale tu "Dini ni moja tu, nayo ni uislam" hii inadhihirisha ni namna gani bado hauko tiyari kufikia muafaka wa jambo hili. Labda nikupe maoni yangu binafsi ni kuwa hili upate suluhu katika hili nilazima ujikane kwanza(uvae viatu vya wengine) na kama ukishindwa kufanya hivyo FaizaFoxy basi kubaliana na walioleta confusion hiyo na dogma inayowataabisha sasa kuwa walitumia akili kubwa mno na mtaendelea kuifuata milele mpaka siku mtakapoamua isiwe hivyo kwa sababu ndiyo lilikuwa kusudio lao katika kuifanya iimarike na iwe na ushindani sokoni kwa kipindi cha muda mrefu zaidi.
Ushindani upi na soko lipi? Labda Ukristo ndio unatafuta masoko. Uislam hakuna hilo wala mentality hiyo ya kutafuta masoko kwenye Imani za watu.
 
Mungu wa kweli bado binadamu hatujamjua, hizi dini ni biashara. Wewe amini Mungu yupo, basi usimtendee mwenzako kitu ambacho hutaki utendewe. Fanya kazi kwa bidii (ila ujue maisha ni mchezo).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila dini inasema "Wao ndio njia ya ukweli ya kwenda mbinguni"

1. Wakristo "Yesu akasema, Mimi ndio njia ya kweli na uzima, yeyote haendi Kwa baba bila kupitia Mimi"
Wakristo wanatakiwa kuokoka/kumpokea Yesu ndio waende mbinguni.

2. Waislamu "Usitende shiriki"
Yaani kusema Yesu ni Mungu hii ni shiriki.
Kumfata Hussein basi Mashia wotee ni shiriki.

Kwahiyo kwa misingi ya dini "Unahitajika kufanya mengine zaidi ili uende mbinguni na sio swala la upendo tu.

Sasa, lipi finyike ambalo ndio sahihi?
Tuwe Waislamu au Wakristo?

#YNWA
 
Mkuu Mungu ni cheo Hata Shetani Anatambulika Kama mungu wa dunia, sifa za mungu wa waislam ni tofauti na Mungu wa wakristo na hapo ndipo mkanganyiko unapoanzia,
Na changamoto iliyo kuu...
1. Wengi wetu tumerithi Imani za wazazi.
Umezaliwa umekuta wazazi ni waenda kanisani, basi unaenda hukohuko....

2. Kila Imani hufundisha kwa kukomaa kwamba wao ndio sahihi...!!! Huku wakiwa wamezirithi..!!!

#YNWA
 
Mungu yuko na anaye mwamini Mungu anatakiwa ajinyenyekeze na kumtegemea huyo Mungu na kumuomba amuelekeze ipi ni njia sahihi ya kumjua na kumfikia Mungu. Si kwa uweza/nguvu wala akili zake bali kwa kuwezeshwa na Mungu mwenyewe. Yaani kwa Neema tu.

Dini za Uyahudi, Ukristo na Uislamu zote zinajinasibisha na Ibrahim wa kizazi baada ya gharika. Je kabla ya gharika Mungu wa Mbinguni hakuabudiwa? Aliabudiwa je? Kwa nini alighairi akaamua gharika iangamize dunia. Baada ya gharika Mungu hakuabudiwa? Aliabudiwa je? Hakuna walio kuwa ndani ya safina ya Nuhu walioendeleza yale yaliyo sababisha Mungu alete gharika duniani? Nini kilichomfanya Mungu amuondoe na kumtenga Ibrahim na ndugu na jamaa zake? Biblia inasema wazi hao ndugu na jamaa zake wakifanya ibada na mambo ya kumuudhi Mungu ya ushetani ndio maana akamtenga Ibrahim nao baada ya kuona roho ya Ibrahim ina mlingana yeye Mungu wa Mbinguni tofauti na ndugu na jamaa zake.

Ibrahim aliondoka akiwa na Baba yake mzazi, mkewe Sara na Loti kijana wa ndugu yake. Huko makazi mapya aliyoelekezwa na Mungu Ibrahim akajipatia mke mwengine kwa ushauri wa mke wake tofauti na mpango wa Mungu. Ukienda kwa mlolongo huo huku ukitegemea Mungu akuelekeze akili zako hadi kuzaliwa kwa Bwana Yesu hapa duniani bila shaka utajua ni ipi njia sahihi ya kumuona na kumuabudu Mungu wa Mbinguni.
Kabla ya yote hayo nani aliatoa wazo la kuhifdhi histori iliyoko kwenye Bible takatifu na Quran tukufu ambazo ndio zimebobea Africa. ? Pili mbona mbona tamaduni nyingi kama siyo zote Africa tuliambiwa za kishenzi wakati Africa jamii ya watu walimwamini Muumba wao kwa style ya unyenyekevu na Mungu wao kwa ukuu wake alijibu maombi yao kwa wakati. Waliomba Mungu wao kwa dua zao kupitia hadi matambiko yao ya asili na Mungu alikuwa akiwajibu bila kuwabagua.
 
Wa kimila mlishaachwa tangu enzi za Kaini huko leo hii kete uliyo nayo ni ama unaisika kweli na kukata shauri au unapotea kama alivyopotea Kaini muasisi wenu wa kumfuata mungu wa dunia hii aka shetani.
Duh! Mbona kwenye biblia inasenama Kaini na Abel walikuwa ndugu na tofauti yao ilitokana roho ya ubinafsi na husda ile inahitwa kwanini nisiwe mimi awe yeye. Lakini wote walitoa sadaka ya kuteketeza. Kitu gani kiliondoa sadaka ya kuteketeza ambayo ni matambiko? Maana tukiangalia hata baba wa Imani Ibarahim alitoa sadaka ya kuteketeza?
 
Back
Top Bottom