Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

Sababu huna hoja za kutetea ukafiri wenu, na nimeshakuelezea huko nyuma.

Mimi naendelea kuweka nukuu zenu :
Nanukuu :

“Kristo aliyeahidiwa aliweka wazi kuwa Ahmadiya wasisalishwe na waislamu katika sala. Baruwa nyingi zinakuja kuulizia jambo hili. Jibu langu kwao wote ni kuwa hata mkirudia swali hili mara ngapi mimi nitajibu kuwa si sahihi, si sahihi, si sahihi kusalishwa na mtu asiyekuwa Ahmadiya.” (Anwar Khilafat by Mirza Bashir Mahmud pp. 89)

Tena mkasema haya :

“Wala tusiukubali Uislamu wa wale wasiokuwa kadiani, wala tusisalishwe nao kwa sababu kwa maoni yetu wao si waumini (kwani) hawamuamini mmoja wa Manabii wa Allah.” (Ibid. Pp. 90)

Mwisho wa kunukuu.
Wewe nilipokuwa nakuonesha errors kwenye aya zilizoshaulika kupitia kile kitabu cha yule sheikh

Uliikuwa unanisisitizia nirejee kwenye lugha asili (kiarabu)

Leo hii umekutana na mwarabu mwenzako anakuambia weka hizo nukuu katika lugha yake ya asili unaanza kuleta uswahili.

Hii imeonesha jinsi gani ulivyo mnafki kwa kujidai wewe ndio unajua sana uislam na kuwakataa wengine kuwa sio waislamu wakati mkianza kuchambua kujua nani mkweli unakimbia hoja
 
Andiko gani tulisome
Soma mathayo 13 : 40 - 43.
Soma pia ufunuo 20: 9 - 15.
Siamini katika Biblia wala Mungu, biblia ni kitabu cha hovyo mkuu.
ningekupa andiko zaidi lakini sioni faida yake.
 
Hadith n maisha ya watu fulan waliokubaliana au kuhitalifiana.

Wacha nisimame na QURAAN TU.

NA AGANO LILE😃
 
Nataka kujenga hoja kwamba ubinafsi tu ndio unaotutengatenga lakini in essence manabii na mitume wamefundisha kitu kimoja;

1. Islam means “submission to the will of God”; adherents of Islam are called Muslims. The fundamental belief of Islam is “There is only one God, and Muhammad is his prophet.” Hivyo Muhamad aliifuata kanuni aliyofundisha Yesu na yeye pia alifundisha hivyo hivyo. Utii kwa mapenzi ya Mungu hivyo Mohamed [SAW] alikuwa mkristu🤣🤣

2. Christians are those followers of life and teaching of Christ who taught and lived mainly this "Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza. Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Katika amri hizi mbili hutegemea torati yote na manabii." He also submitted to the will of God not his. Christ was moslem by its literal definition😎😎

Sifa moja ya Mungu ni upendo anapenda tupendane pia hiyo nahisi ndiyo 'Will' yake yenyewe. Kama tukifuata zile vitu vya msingi baina yetu hakuna haja ya kubishana tena. Manabii ni wamoja na Mungu ni mmoja. Sema sifa tunazompa sasa ndio zinatuvuruga na ni ubinafsi haswaa unaotusumbua.

Nabii yeyote wa ukweli ujumbe wake haupinganagi na NENO [will] la Mungu na mara nyingi huwa wanawasilisha kwa watu kitu saafi kabisa. Manabii wanakuwaga hawana ubinafsi na ndio maana hata Mungu akawatumia maana wako kiroho zaidi. Lakini sasa shida ni wasaidizi wao wanaowasaidia kusambaza hilo neno mda mwingine wakiwa wabinafsi wanaingiza vitu ambavyo baadaye vinaleta mkanganyiko. Ni kama tu Einstein agundue Nuclear power halafu wajitokeze wana waseme asee tukitengeneza bomu lake tutapiga hela, tutakuwa na power. Kama ambavyo ukianzisha kanisa unapata power, au ukianzisha jumuiya unapata recognition na power.
Samahani hizo lugha mbili mixer kwingine nilikuwa nakopi najisahau naendelea kuandika
 
Wewe nilipokuwa nakuonesha errors kwenye aya zilizoshaulika kupitia kile kitabu cha yule sheikh

Uliikuwa unanisisitizia nirejee kwenye lugha asili (kiarabu)

Leo hii umekutana na mwarabu mwenzako anakuambia weka hizo nukuu katika lugha yake ya asili unaanza kuleta uswahili.

Hii imeonesha jinsi gani ulivyo mnafki kwa kujidai wewe ndio unajua sana uislam na kuwakataa wengine kuwa sio waislamu wakati mkianza kuchambua kujua nani mkweli unakimbia hoja
Ukiwa unasoma hoja ni jambo sana ukaelewa hoja husika, katika majadiliano na huyu mtu nilimtolea mfano nilivyo kukosoa wewe katika jambo lile. Hakuna mahali nilipo kataa tarjama bali nilisisitiza ya kuwa lazima iwe sawa na ile ya asili, ndiyo maana tukaja kuona ya kuwa kile ulichokiweka wewe mule hakipo katika kitabu cha asili, si tu kwa maana bali ibara nzima hazipo.

Kingine usiseme ulipokuwa una nionyesha "errors" hili jambo huna uwezo nalo ndiyo maana kilicho kukuta unakimbuka vizuri.

Huyu anachotakiwa kufanya ni kama kile nilicho kifanya dhidi yako, kwamba nikakuwekea kitabu cha asili, ambach hata kukisoma hujui. Ndiyo maana namtaka yeye aje na kitabu cha asili abatilishe ninayo yanukuu humu.

Kingine, inaonekana hujui maana ya tamko "Unafiki" ndiyo maana umekosea kulitumia na kunizulia uongo, mimi nakupa miaka kumi uthibitishe ya kuwa mimi ni Mnafiki, ukiweza naacha kutumia hii ID. Mtu ili awe mnafiki anatakiwa awe nazo sifa nne, tena ziwe zenye kudumu, bila shaka hili hulijui wewe. Sasa nakupa hiyo kazi.

Hivi ndivyo nilivyo mimi, hakuka kupindisha maneno wala ibara.

Shukrani.
 
Mimi kuna ndugu yangu alitoka kujijini alikuja dar tukawa tunapiga stori akanidokezea kuhusu kushamiri kwa watu wa Ahmadiya kujijini hapo na wametengeneza himaya fulani na yeye muumini wa msikitini wao . Akaanza kunipa dondoo baadhi ya itikadi na ibada zao hao Ahmadiya anafuata ndugu Mokaze hapo nikabaki nashangaa kwa sababu taratibu nyingi ni ngeni na misingi tofauti na Uislamu unaofahamika kwa asilimia kubwa ulimwenguni mpk nikajisemea inakuaje mtu Muislamu kufuata itikadi kama hizo ?

Kama habari zile ningesikia mtaandaoni ningepinga kwa asilimia zote kwamba hakuna waislamu wa hivyo watu wanawasingizia nimeamini kwa vile ninethibitishiwa na watu wengi wa kiijini pale .
 
Tangu mda jamaa anakusisitizia uweke hizo aya katika version ya kiarabu ili aweze kuzipima umeshindwa, means hizo ni propaganda zako ulizookoteza unakokujua wewe.

Kwanini umeshindwa kuweka hizo quotes katika lugha yake ya asili wakati mimi ulikuwa unanikomalia?
 
Mokaze
 
Uwe makini katika unukuzi, ni Kiurdu, kiurdu ambacho yeye mwenyewe hakijui. Tulia hapo hapo.

Nini sababu ya mimi kutaja marejeo, jina la Gazeti, tarehe na anuani. Alichotakiwa yeye afanye ni kuonyesha nilichokiweka ni uongo hili siyo kwamba hawezi bali hawezi kabisa. Afanye kama nilivyofanya mimi kwako, ulitaja kitabu nikakuletea kitabu cha asili. Nikabatilisha uongo wako.

Shida nyote hampo makini, nilimwambia tangu awali, ya kuwa sikijui kiurdu na sina gazeti la asili, hii haimaanishi ya kuwa watu hawakuwa wakitarjumu ndiyo maana zikawepo tarjumu kwa Kiswahili, Kiingereza na Kiarabu. Sasa mwambie yeye hivyo vitabu vyao anavyosoma yeye vina matini ya Kiurdu na Kiswahili au Kiingereza au Kiarabu ? Ulingano au mfano alip utoa akalinganisha Qur'aan na Hadithi, viwili hivi Wanazuoni wamekubaliana matini zake zisiandikwe kwa lugha nyingine ila Kiarabu. Ndiyo maana unakuta matini ya Kiarabu na Tarjama yake na kuna baadhi ya wakati unakuta tarjama peke yake siyo jambo baya ila haipendezi.

Mimi namsubiri akosoe nilichokiandika, hili hawrzi mpaka anakufa. Kadhalika hawezi kuthibitisha ya kuwa yeye Muislamu mpaka anakufa.

Shida wewe siyo msomaji na si mtafiti, ukisoma chimbuko la Uahmadiyyah ni Wakoloni wa Kiingreza ndiyo maana sera yao ni kuleta umoja wa mseto kati ya Waislamu na wasio kuwa Waislamu, na wao wanasema Ghulamu ni nabii, wakati Kiislamu unabii umekomea kwa Mtume.

Sasa ongeza umakini.
 
Ukisoma paragraph ya mwisho ""Umeenda ila ukaangukia kulekule UMEWAKANA WACHUNGAJI na kutuaminisha Uislamu ndio dini sahihi""

Then Kuna yule mkana Mungu leo anataka kuabudu, hujamtatulia tatizo.

Ila umetoa biasness.

Katika hili sijawahi ona mwenye Imani fulani akasema "Anayo amini yeye sio sahihi ila ya mwenzake ndio sahihi, kila mtu hutukuza cha kwake"

#YNWA
Imani huambatana na kutukuza(wewe waita biasness) kwa Waislamu wanaita "Himidi" wa kristo wanaita hivyo kadhalika
 
Soma mathayo 13 : 40 - 43.
Soma pia ufunuo 20: 9 - 15.
Siamini katika Biblia wala Mungu, biblia ni kitabu cha hovyo mkuu.
ningekupa andiko zaidi lakini sioni faida yake.
Mshahaea wa dhambi ni mauti hiyo mauti itatupwa kwenye ziwa la moto yaani itaondolewa kabisa

Je, Moto wa Mateso Unafananisha Uharibifu wa Milele?

Je, inawezekana kwamba moto wa mateso unafananisha uharibifu wa milele? Yakitofautisha moto wa mateso na Hadesi, Maandiko husema: “Kifo na Hadesi vi[li]vurumishwa ndani ya ziwa la moto.” “Ziwa” linalotajwa hapa ni la mfano, kwa kuwa kifo na Hadesi ambavyo vinatupwa ndani yake haviwezi kuchomwa kihalisi. “Hili [ziwa la moto] humaanisha kifo cha pili”—ambapo hakuna tumaini la kufufuliwa.—Ufunuo 20:14.

Ziwa la moto ni sawa na “Gehena ya moto” ambayo Yesu alizungumzia. (Mathayo 5:22; Marko 9:47, 48) Neno Gehena linapatikana mara 12 katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo, nalo linamaanisha bonde la Hinomu, lililokuwa nje ya kuta za Yerusalemu. Yesu alipokuwa duniani, bonde hilo lilitumiwa kuwa mahali pa kutupa takataka, “ambapo miili ya wahalifu, na mizoga ya wanyama, na kila namna ya takataka ilitupwa.” (Smith’s Dictionary of the Bible) Mioto iliendelea kuwaka kwa kuongeza salfa ili kuteketeza takataka kabisa. Yesu alitumia bonde hilo kuwa mfano wa uharibifu wa milele.
 
Kurunzi Kila mkristo anatoa tafsiri yake ya jinsi anavyoyaelewa maandiko.
Umesema kuwa ziwa la moto ni mfano tu na siyo halisia, wengine hukazia kuwa Jehanamu ni eneo halisia kabisa lipo kwa ajili ya waovu kuhukumiwa siku ya mwisho.
ni kama vile tu biblia inaposema ikumbuke siku ya saba na uitakase, wengine husema siku ya sabato ni Jumamosi, wengine Jumapili.
silaumu kwa maelezo uliyotoa.
na siko hapa kutetea mambo ya kidini.

ni sawa na kusema mbinguni, wengine husema ni juu huko, wengine husema mbinguni ni hapa hapa duniani tu itasafishwa.
 
Kuna wanaoamini Mungu na wasioamini Mungu, kwenye hayo makundi ndio kuna mgawanyiko.

Kwahiyo hata atheists wanatofautiana pia.
Huyo uliyemtaja umesema ni agnostic sasa anaingiaje kwenye atheism?
 
Kama unakumbuka mwanzo nilieleza kutofautiana kwa wasioamini Mungu na ndipo na huyo akaingia.
Utofauti wako haukuwa relevant kwasababu unaye mhusianisha na sisi hayupo kwenye atheism

Ila nyinyi mpo kwenye theism
 
Back
Top Bottom