Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wewe nilipokuwa nakuonesha errors kwenye aya zilizoshaulika kupitia kile kitabu cha yule sheikhSababu huna hoja za kutetea ukafiri wenu, na nimeshakuelezea huko nyuma.
Mimi naendelea kuweka nukuu zenu :
Nanukuu :
“Kristo aliyeahidiwa aliweka wazi kuwa Ahmadiya wasisalishwe na waislamu katika sala. Baruwa nyingi zinakuja kuulizia jambo hili. Jibu langu kwao wote ni kuwa hata mkirudia swali hili mara ngapi mimi nitajibu kuwa si sahihi, si sahihi, si sahihi kusalishwa na mtu asiyekuwa Ahmadiya.” (Anwar Khilafat by Mirza Bashir Mahmud pp. 89)
Tena mkasema haya :
“Wala tusiukubali Uislamu wa wale wasiokuwa kadiani, wala tusisalishwe nao kwa sababu kwa maoni yetu wao si waumini (kwani) hawamuamini mmoja wa Manabii wa Allah.” (Ibid. Pp. 90)
Mwisho wa kunukuu.
Uliikuwa unanisisitizia nirejee kwenye lugha asili (kiarabu)
Leo hii umekutana na mwarabu mwenzako anakuambia weka hizo nukuu katika lugha yake ya asili unaanza kuleta uswahili.
Hii imeonesha jinsi gani ulivyo mnafki kwa kujidai wewe ndio unajua sana uislam na kuwakataa wengine kuwa sio waislamu wakati mkianza kuchambua kujua nani mkweli unakimbia hoja