Kabla haujakopa milioni nne kwaajili ya Ada ya mwanao, tuliosoma Cuba tuna ujumbe wako hapa

Sawasawa, mind you matajiri ambao hawajasoma Huwa wanajuta Sana. Kuna vitu wanakosa.

Hata huyo msukuma usifikiri anafurahia kuishia darasa la saba
 
Akili ya mtoto ndio bora kuliko unacho kufuata shuleni haya wafuata mkumbo wamesikia
 
Wengine wanasomesha watoto wao shule kubwa kwa sbbu ya connection za maisha...

Mfano ushawahi, kumuona mtoto aliesoma st.francis au feza boys, yupo anaangaika na ajira ???

Kama huwezi msomesha mtoto wako shule zile best tanzania.. ni bora usomeshe kayumb tu

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 

Ni ishu ya uwezo tuu Mkuu.
Kila mtu ale Kwa urefu wa Kamba yake
 
TAFAKURI JADIDI [emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wanakuwa wakwanza kupiga Mayowe.
Wakati unasomesha Kwa shida na kuuza viwanja, na magharama makuubwa, mpaka anamaliza kidato cha sita mtoto kamaliza milioni 20.
Kuna wenzako wametumia Chini ya milioni moja From kindergarten to Form six.
Mtoto anayesoma katika shule nzuri huwezi kumlinganisha na kayumba, isitoshe hakuna unafuu atika elimu, kila mtu ana quality zake, hapo ulipo kwa kusoma Kayumba kuna vitu kibao umemiss, Wazazi wanasomesha watoto mpaka nje ya nchi, haijalishi atalipwa mshahara shs ngapi akipata kazi, kinachomatter ni uwezo atakaopata akiwa shuleni.
Pia, uwezo wa mwanafunzi unategemea na akili aliyonayo, ukikutana na watoto waliosoma shule nzuri na wanapass kubwa na hawawezi kureason kama ulivyotarajia haina maana kuwa wote wako hivyo.
Kitu kikubwa unachoweza kumrithisha mtoto ni Elimu, kama unafikiri Elimu ni ghali basi jaribu ujinga.
 
Mm najipanga mwanangu degree ya kwanza akasome ulaya huko
Atengeneze maisha huko huko after graduation
 
Umeongea ukweli apa home kuna dogo anazingua sana anataka vitu vikubwa wakati uwezo wa atuna pia ata yeye kichwani hovyo kaka ake apa 3 yrs sina mishe za kueleweka na vyeti vipo ndani ananiona nimefeli maisha .Anataka akasome Redioology sijui
 
Ujuaji ujuaji ujuaji!!

Sio Kila muda utoe andiko

Nenda PWC na divishen 3 na mwenzio Ana one uone kaama utapata kazi...Kwanza hata hiyo PWC hujui nini.
 
Ameongea simple sana jamaa yahn mzazi uwe na uwezo umpeleke mwanao shule hizi za elimu bure Darasa wanafunzi 300 wengine wanakaa chini hafu mwalimu mmoja.....

Chukua mtoto wa darasa la 5 wa shule Bora za private mchukue na mtoto wa serikali wa darasa la 5,6,7 waeke pamoja ndo utagundua uozo wa shule za serikali.
 
Tuanze na wewe kwanza,elimu uliyoipata mpaka sasa umerudisha nin kwa jamii au umeisaidiaje jamii ya watanzania zaid ya ufisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…