Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu Fanya utafiti wa kina kabla ya kununua usije nunua Azam kwa mategemeo makubwa ukaambulia patupu! Jaribu kuangalia Zuku maana wana afadhali! ila jiridhishe kwanza
Nunua dstvSasa mie sina decoder yoyote ninunue ipi mkuu?
Kwa kuiondoa ETV Africa kunanifanya nirudi kwenye Startimes ambako nitawaona kina Roman Reign na Dean Ambrose na WWE yao,Azam wamelewa sifa
chanel e wameondoa tu bila kujali wateja wake
za kihindi ndo wamejaza kuliko za aina zingine
ajabu unazipata hata kama huzilipii..
mpira hata chan tu au cecafa hakuna
kuna ndondo cup tu na vodacom...
azam washajifanya 'wamefanikiwa'
Amekugusa mkuuAcha kufananisha wahaya na vitu vya kipumbavu
Azam TV wanaboa sana,hata presenters wao wanaboa sana, sidhani kama wote ni professionalsNi matumaini yangu kuwa wengi ni buheri wa afya na manaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Ukweli kuwa wengi wetu tuna mategemeo makubwa kutoka Azam tv tofauti na ukweli ulivyo...
Lengo la Uzi huu si kuharibu biashara ya Azam Bali kueleza uma ukweli halisi wa mambo!
So nitaelezea mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kununua Azam TV.
1. Bei ya decoder hubadilika wakat wowote bila taarifa! mwezi wa 1,2016 nimenunua 140,000 hadi sasa tar 7 Marc imefika 170,000.
2. Channel ya kawaida tuu kama BBC, Fox, CNN, AL-Jazeera, France 24, mpaka ulipe 20,000 kwa mwezi.
3. Sinema zetu utapata bongo movie za 2005 kushuka chini Mara nyingine movie hurudiwa kwa week Mara 3, No latest movie ujue hivyo!
4. Organization ya channel iko hovyo! Unaweza kulipwa kifurushi cha 12,000 lakini kupata channel moja hadi nyingine ni shughuli! Channel za kihindi tu ndo ziko pamoja!
5. Tegemea kupata channel kibao za kiarabu na nyingine zisizoeleweka ni lugha gani!
6. Wapenzi wa channel "e" mujue kuwa haipo Azam TV!
7. Ukienda kununua watakuambia vipeperushi vya list za channel na bei ya vifurushi vimeisha maana wanajua ukiangalia channel zao na bei utaghairi kununua" maana haviendani!
Thanks..
Wahaya mna fujo sanaSasa wahaya wanaingiaje hapo! Watu wengine sijui mkoje - MNA spring up maneno ya kashfa like unguided missiles.
Mi nimefunga geto na nalipia Azam Sport Hd ili niwe namuona Mess tu maana ndie anayenifanya niangalie kila game anayocheza Barca ila lasi yeye HD wasingeniona…
Mipira imenifanya nitumoe Azam tv nikiangalia LIGA BBVA na VPL kwa Yanga yangu basi nabirudika sana lakini hawako fair kwenye bei kwa maana ile elfu 15 ya Azam Sport HD haina maana kutuwekea chanel ya Azam sport Hd na zile za Manchester Unt, Liverpool na Real Madrid tu pale ilitakiwa Ukilipia kile chanel zote za.michezo zifunguliwe kama Kombat Sport, Fox zote na etc yaani kulipia 15 elfu kwa Azam Sport Hd sawa umenunua Chanel moja tu maana zile nyingie na Man u, Liverpool na Madrid hazina maana huwa hazionyeshi ata mipira live
Nunua ZukuSasa mie sina decoder yoyote ninunue ipi mkuu?
Kuhusu wauzaji, Tanzania tuna shida sana eneo la custommer careMkuu kunasiku nilibeba pesa kabisa kununua, asee baada ya kufika kwa muuzaji, wakara akanipigia hesabu ikafika 230000, na hicho ni kifurushi cha 12000, asee nlirudi na kuendelea na king'amzi changu cha startimes, maana nliona ni uhalooo mtupu, bei zao zinabadilika kama kinyonga, tena ukienda umevaa tai hata laki3, wanakugonga,
Kibaya zaidi hao wauzaji, asee wanampozi balaa, nlimkuta dada mmoja pale kimara mwisho kama unaenda sokon duh, ni shidaaaa, ila walekebishe bei na vifurushi, kisha hao wauzaji wafundishwe kuongea na wateja..
Halafu bei ya kufunga hlo dishi et 30000, jaman huu ndo ujasiliamali,? Halafu nikamwambia basi niuzie nnafundi wangu, akaniambia kikiharibika hawatahusika, mpaka leo sitaki kuwasikia azam, mpra ntaangalia ukumbini, newz itv na startive