Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Kwa hiyo hivyo vyote vilikufa pamoja, au uliamua tuu kufanya overhaul?

Shockups, mounts & bush ulikua unaendeshaje hiyo gari?
Niliamua kufanya overhaul tu. Ila sensor mbili zilizingua kwa pamoja.

Sikuwa naiendesha. Ilitoka kwenye ishu za kampeni. Ilivyorudi nikaipeleka kwake moja kwa moja bila hata kuiingiza home.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Spea zinapatikana Amazon we agiza tu gari mamaeeee
 
Naweza kupatahiyo kwa M4? Nataka na mimi nimiliki gari aise.πŸ€₯
 
Mwachieni huyo mkewe atoe hela yeye likikorofisha ili ainjoy comfortability ya kuchakaza account pia. Sio gharama akutie wewe kwa starehe zake.
Mkuu kuna watu wengine ukimtajia bei anakupa hiyo hiyo uliyosema. Na anaondoka anakuachia mawazo ya kujiuliza ivi kwanin sikumwabia bei hii
 
Mkuu kuna watu wengine ukimtajia bei anakupa hiyo hiyo uliyosema. Na anaondoka anakuachia mawazo ya kujiuliza ivi kwanin sikumwabia bei hii
Ila very rarely inatokea...Awamu hii watu wako cost concious sana.
 
Afu itakua kweli VW ni nafuu maana hata kwa idadi ndo inaongoza katika magari ya Ulaya.
Polo GTi iko nafuu kidogo kuliko hiyo Audi usifanye masihara na Audi Kwenye matengenezo...
Benz na BMW ni nafuu Kwenye maintain kuliko audi
 
Naweza kupatahiyo kwa M4? Nataka na mimi nimiliki gari aise.[emoji1781]
Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...

Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..

TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu

Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nikitaka kununua ka usafiri kangu nitakutumia kama mshauri[emoji3]
 
Jamaa tulia sasa...unacomment pumba nyingi. Sasa subiri zamu ya wamiliki wa European waje.

Tulia sasa tumeshajua umekunywa maji ya Toyo
 
Jamaa tulia sasa...unacomment pumba nyingi. Sasa subiri zamu ya wamiliki wa European waje.

Tulia sasa tumeshajua umekunywa maji ya Toyo
We nae umetokea wapi kama kirusi cha corona..?[emoji849][emoji849][emoji849]

Kwa hiyo kwa mazingira ya Kitanzania kwa mfano mjasiriamali amejichanga changa anahitaji kausafiri, unadhani tutamshauri achukue hivyo vichomi vya ulaya..?

Siku nyingine soma coments zote ili uelewe trend nzima ya uzi inavyokwenda...

Na isitoshe, wala similiki Toyota lakini bado ninakiri Toyota ni gari rafiki kwa mtu yoyote mwenye uchumi mdogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Ist nitapata kwa M4? Namba c ile..
 
hapo kwenye premio mtoe achukue Carina Ti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…