Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Ukitia hio hela kwenye passo unaweza kuifanya gari nzima ikawa mpya kabisa.
Passo, siiamn hata kdogo usalama wake, akili yangu inaniambia ni mara mia uchukue IST ukaipige service ya maana
 
Nissan TIIDA vipi haifai?
 
Umejikita kwenye mtu wa mkoani kuja dar, specifically mtu mshamba. Umesahau si wote walio dar wanayajua magari. Wapo watu hapahapa miaka yote lakini wanapigwa tu, pia kuna watu mikoani humdanganyi kizembe.

Anyway, tulichosema hakiakisi uhalisia ni kununua bravis ya 4M, na ukaingia roadini kutumia bila shida, bila kujenga undugu na karakana. Hilo niko tayari kubeti kwa hela yangu.

Sio kwamba hakuna gari ya 4M isoyo na shida, just not brevis.

Kama umeelewa umeelewa, kama hujaelewa nenda kanunue brevia ya Millioni 4, utaelewa kwa vitendo.
 
Utapata passo piston 3 namba c

Utapata Gx100 or 110 Namba B/C

Utapata vitz old model namba C/B

Utapata Nadia namba B

Utapata swift namba B

Utapata starlet namba B

Chagua unataka ipi
GX mia siyo kichomi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…