Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Wewe unasumbuliwa na kutojitambua! Kuwa na Chale unaona ni ushamba ila ukimwona mzungu ana tatoo unamwona ni mjanja. Akili hizi ni za shithole kama alivyowaita Trump. Jitambueni!!
 
Tupe takwimu
Nikupe takwimu gani, umewahi kufika bonde la usangu ? Wasukuma walianza kuhamia bonde la usangu mwisho mwa 1960's na wamekuwa ndiyo wazalishaji wakubwa wa chakula kuliko hata wenyeji Wasangu waliowakuta.. leo hii Wasukuma wamekuwa watu muhimu wa kuamua siasa za jimbo la Mbarali..
 
Nadhani hapo umechanganya na Wanyamwezi!
Lipumba,Fundikira,Kasanga Tumbo kama sikosei ni Wanyamwezi.
 
Unaniuliza Mimi na Usangu 🀣🀣🀣🀣
 
ushiawahi kuishi na mtu wa hivyo ukaona hayo machale yanavyomsumbua? mbona wanaombaga wenyewe kupelekwa kanisan..unaweza kumpeleka binti yako akachanjwa kwenye makalio? una bifu na mzungu ila vitu vyake huachi kuvitumia, ebu kwanza tupa hio simu, vua hizo nguo kavae mangozi
 
Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu, awe mwanamke au mwanaume.
Hahaha. Usukumani jogoo mzima ni breakfast ya mtu mmoja, mbuzi anayeuzwa sh 140,000/= pale Vingunguti ndiyo lunch ya watu 3.
 
Yote tisa kumila sasa kabila la wangoni na wandendeule ni wachawi balaa kama kuna mtu anataka kwenda kuoa au kuolewa huko ruvuma sishauri kwenye ilo siku nikipata muda nitaweka Uzi hapa la hasha kwa upande wa wasukuma siwezi jadili sana ila ninachojua wasukuma watu fulani wakarimu sana ni watu wa kujichanganya sana ayo ya chale sina ushahidi nayo sana
 
Hahaha. Usukumani jogoo mzima ni breakfast ya mtu mmoja, mbuzi anayeuzwa sh 140,000/= pale Vingunguti ndiyo lunch ya watu 3.
Umasikini huchangia watu kujinyima nenda Umasaini mbuzi mmoja analiwa na watu wawili ... sasa unategemea uwe mlaji wa nyama wakati hufugi hata mbwa !
 
Wasukuma ni moja ya makabila primitive Sana Tanzania , wanaishi zama za mawe wengi wao

Na illiteteracy yao ni nature kabisa, kuna makabila tz hapa, hata awe na Phd, mtu huyo illiteracy haiishi , ujinga wa kudumu, wasukuma ni moja ya makabila hayo
MSukuma na Mpemba hata adome vipi habadiliki na wakurya pia.
 
Walipomuunga mkono wote kwa ushenzi wa ndugu yao wakawa wanaona ni sawa tu kwa sababu ni kabila lao hadi leo sina hamu na mtu msukuma
 
Chale ni kweli.
Kukuongelesha kisukuma iyo pia ni kweli.
Nimeyashuhudia.

Mengine hayo sina hakika nayo.
 
Wewe unasumbuliwa na kutojitambua! Kuwa na Chale unaona ni ushamba ila ukimwona mzungu ana tatoo unamwona ni mjanja. Akili hizi ni za shithole kama alivyowaita Trump. Jitambueni!!
Kumbe chaleni urembo?? Tofautisha chale za wamakonde na za wasukuma,za wamakonde ndio urembo,za wasukuma ni njia ya kupitisha dawa za waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…