Hawa watu upande wa ngono,... utofauti wao na wanyama ni mdogo sana,.....na hii ni kutokana na wanavyomchukulia mwanamke kama chombo cha starehe tuHawajui huyu,ningekaa miaka 4 ningefikisha wanawake 400 kama Balthazar
Ni kweli Buziki ni kama Kigali watutsi wengi sana ila kuna njemba inaitwa mrefu ni hatari yule mtutsi,Buzirayombo ioo moto tangu mkoloni vita ya pili ya dunia zilipigwa paleBuziku wanyarwanda kama Diwani Salama wanapanyanyua kwa ufugaji. Buzirayombo miaka ya zamani ilikuwa maarufu. Mganza bado ina u maarufu.
Pale makurugusi karibu na Bwanga, ndani ndani kuna kitongoji cha Gambushi, noma sana, nilifika hapo wanakwambia mchana panaweza kuwa kama Dar
Ila hili la kutembelewa bila taarifa na kukaa muda usiojulikana ni kweli kabisa.Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini.
Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya.
Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa maana hazai ni ngumu mno, wana dawa za asili za kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba nk.
Usishangae siku baba mkwe na mama mkwe na ndugu wengine wanakuja kwenu kuwatembelea bila taharifa na watakuongelesha kisukuma bila kujali kabila lako, watakaa hapo mpaka wachoke wenyewe usiwapangie muda wa kukaa.
Kama ulizoea kuwa kilo ya mchele ni watu 4 basi unajidanganya,kilo moja huliwa na watu 2 tu, awe mwanamke au mwanaume.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Wasukuma hatuna baya na mtu,wote wanaotusema vibaya tumewapuuza.....bhanyane ing'we!
Mrefu, sijui kama bado ni mjumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Geita. Enzi ya vita ya Rwanda, alichangisha sana wanyarwanda ili kusaidia RPF.Ni kweli Buziki ni kama Kigali watutsi wengi sana ila kuna njemba inaitwa mrefu ni hatari yule mtutsi,Buzirayombo ioo moto tangu mkoloni vita ya pili ya dunia zilipigwa pale
,Busaka,makurugusi,igando,bwera,bukiriguru,msasa huko uchawi ni live bila chenga
Nakutogwile gheteeeN
Naomba niweke wazi mimi ni msukuma kiukweli kilo moja ya wali watu wanakula haswa wale wa vijijini. Ila mm binafsi nusu kilo namaliza Nina kgs 61 body weight kilo siwez kufuta
obheja ong'wise,umemchapa kwel kwel!bhena tuja sana abhajogoli bhenabhaLakini sawa ila hawa dada zako na mama zenu wanaocheza vigodoro na kutingisha makalio bila hofu huo sio u prinitive.
Na declare kuwa ni wa huko . Nimejifunza mengi hususan hili la ulaji na uchoyo hasa hofu ya wageni ni kwa makabila maskuni wa aoishi kwa unga robo na mafuta ya kupima kwa maisha hayo mtu akibusha hidi lazima tumbo likuume lakini hawa wasukuma hasa wa kwetu huko ukweli tuna kula mwanaume kama mimi lazima nile kilo ya unga.
Ulaji pia unaendana na kimo sasa hawa watani zangu urefu wa ndoo ale nusu kilo si itakuwa ajabu.
Hili la chale ni ukweli sema tunapishana tu na makabila mengine hawa wanakunywa kombe, wengine wana majini wanepewe kila siku kiti ana masharti. Kwahiyo ni uchaguzi
ngw'amisha mhola ahakaya henaho?Ng"wangaruka bhabha
Pwani ushirika upo juu sn.. hao hao wanaoshinda misikitini ndio wanajulikana kuwa wachawi wakubwa hata mitaani.Upo sahihi,tena unakuta msukuma hata majina yake yote ni ya asili,sio mtu kujiita Mohamed Said au Yohana Petro na huku unaroga
Sasa wewe bibi wa KISUKUMA kwa kauli yako hii leoleo uislamu umekufa umefurahi eeeee?Pwani ushirika upo juu sn.. hao hao wanaoshinda misikitini ndio wanajulikana kuwa wachawi wakubwa hata mitaani.
Acha kujiliza mtoto wa kiume, jikaze, have a thick skin.Tunajadiliwa sana kwa mabaya sisi wasukuma! Nadhani hatuna jema kwa ninyi makabila mengi hapa Tanzania.
Chuki mliyonayo dhidi yetu ni kubwa mno kiasi Cha kuanzisha mijadala hasi dhidi ya jamii yetu.
Hoja ya haya yote ni Mila na desturi! Tuko tofauti na hatufanani.
*Nimeishi maeneo mengi katika ujana wangu huu na nimekuwa na marafiki wengi wa kusaidiana katika shida na Raha hasa walipojua kuwa Mimi ni msukuma. Of course Mimi ni mcheshi na tunaishi kwa kupendana sana.
- Wanawake wengi wanapenda hili kabila la "washamba" sijui kwanini ila mimi nime date na wanawake ( wadada) wengi wa makabila mengine kuliko hata wasukuma. Nipo humble na najiamini.
- Huwa naishia kuwahurumia baadhi ya watu wanaofuata mkumbo kutusema vibaya ilihali ni watu duni na fukara wa nguvu na kiuchumi.
- Hatujali hayo, tuna Ari ya kazi na ustahimilivu wa kimkakati. Kamwe tutabaki kuwa jamii inayojituma na kujiboresha kwa kutumia raslimali ardhi.
- Chuki za wapumbavu si kitu kwetu.
- Tuko wengi na ndiyo alama ya amani na uchapakazi, utu na ukarimu.
Mwisho: Hakuna kabila lilitimamu, tamaduni zinatupa kasumba ya kunyosheana vidole kwa kuwa hatuwezi kufanana. Furahia na wale mnaoendana, oana nao na uchangamane nao.
Chale za wasukuma zinatofauti Gani na alama za makabila kama datooga, wamakonde na wamasai?
Chuki huzaa mitazamo yenye ubaguzi na migogoro.
Kwani kuna ubaya gani kama zinatumika kwa ajili ya kuponya ugonjwa. Hujawahi kuchanjwa kwenye hospitali zenu za kizungu? Jitambueni.Kumbe chaleni urembo?? Tofautisha chale za wamakonde na za wasukuma,za wamakonde ndio urembo,za wasukuma ni njia ya kupitisha dawa za waganga
Vipi shoga wa wazungu?Acha kujiliza mtoto wa kiumu, jikaze, have a thick skin.
Muuloze hivi yeye atakuwa sawa binti yake au kijana wake akileta mkwe ana tattoo zakutosha mikononi, miguuni hadi shingoni?ushiawahi kuishi na mtu wa hivyo ukaona hayo machale yanavyomsumbua? mbona wanaombaga wenyewe kupelekwa kanisan..unaweza kumpeleka binti yako akachanjwa kwenye makalio? una bifu na mzungu ila vitu vyake huachi kuvitumia, ebu kwanza tupa hio simu, vua hizo nguo kavae mangozi