Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Wezi wataifa mna bifu sana na ngosha.
Ngosha Hana muda wa kubishana na wajinga,wezi na mataperi wa taifa.
Ngosha yupo bize ana chapa kazi kujiongezea kipato.
Kwa Sasa wasukuma wapo Kila idara na Kila mahala.

Endeleeni kuponda na kutukana mtashituka pamekucha.

Shwaiini
 
Tunajadiliwa sana kwa mabaya sisi wasukuma! Nadhani hatuna jema kwa ninyi makabila mengi hapa Tanzania.

Chuki mliyonayo dhidi yetu ni kubwa mno kiasi Cha kuanzisha mijadala hasi dhidi ya jamii yetu.
Hoja ya haya yote ni Mila na desturi! Tuko tofauti na hatufanani.

*Nimeishi maeneo mengi katika ujana wangu huu na nimekuwa na marafiki wengi wa kusaidiana katika shida na Raha hasa walipojua kuwa Mimi ni msukuma. Of course Mimi ni mcheshi na tunaishi kwa kupendana sana.
  • Wanawake wengi wanapenda hili kabila la "washamba" sijui kwanini ila mimi nime date na wanawake ( wadada) wengi wa makabila mengine kuliko hata wasukuma. Nipo humble na najiamini.
  • Huwa naishia kuwahurumia baadhi ya watu wanaofuata mkumbo kutusema vibaya ilihali ni watu duni na fukara wa nguvu na kiuchumi.

  • Hatujali hayo, tuna Ari ya kazi na ustahimilivu wa kimkakati. Kamwe tutabaki kuwa jamii inayojituma na kujiboresha kwa kutumia raslimali ardhi.
  • Chuki za wapumbavu si kitu kwetu.
  • Tuko wengi na ndiyo alama ya amani na uchapakazi, utu na ukarimu.

Mwisho: Hakuna kabila lilitimamu, tamaduni zinatupa kasumba ya kunyosheana vidole kwa kuwa hatuwezi kufanana. Furahia na wale mnaoendana, oana nao na uchangamane nao.
Chale za wasukuma zinatofauti Gani na alama za makabila kama datooga, wamakonde na wamasai?
Chuki huzaa mitazamo yenye ubaguzi na migogoro.
 
Katika watu poa sana ni wasukuma, wanawake hawajui ku cheat halafu si waongo. Ukitaka kuongeza mke, mkeo anashangilia na kwenda kuanza undugu na bi mdogo bila shida!
Nilishuhudia mke mkubwa akihangaika kwa waganga hadi kwa mitume baada ya bi mdogo kukosa mimba muda mrefu. Alipopata mtoto bi mkubwa alishangilia sana.
Oa huyo msukuma ule mema ya nchi.
Wasukuma wa mkoa upi wana sifa za kuwa wife material?
 
N

Naomba niweke wazi mimi ni msukuma kiukweli kilo moja ya wali watu wanakula haswa wale wa vijijini. Ila mm binafsi nusu kilo namaliza Nina kgs 61 body weight kilo siwez kufuta
Nusu kilo bhangosha we noma
 
Tunajadiliwa sana kwa mabaya sisi wasukuma! Nadhani hatuna jema kwa ninyi makabila mengi hapa Tanzania.

Chuki mliyonayo dhidi yetu ni kubwa mno kiasi Cha kuanzisha mijadala hasi dhidi ya jamii yetu.
Hoja ya haya yote ni Mila na desturi! Tuko tofauti na hatufanani.

*Nimeishi maeneo mengi katika ujana wangu huu na nimekuwa na marafiki wengi wa kusaidiana katika shida na Raha hasa walipojua kuwa Mimi ni msukuma. Of course Mimi ni mcheshi na tunaishi kwa kupendana sana.
  • Wanawake wengi wanapenda hili kabila la "washamba" sijui kwanini ila mimi nime date na wanawake ( wadada) wengi wa makabila mengine kuliko hata wasukuma. Nipo humble na najiamini.
  • Huwa naishia kuwahurumia baadhi ya watu wanaofuata mkumbo kutusema vibaya ilihali ni watu duni na fukara wa nguvu na kiuchumi.

  • Hatujali hayo, tuna Ari ya kazi na ustahimilivu wa kimkakati. Kamwe tutabaki kuwa jamii inayojituma na kujiboresha kwa kutumia raslimali ardhi.
  • Chuki za wapumbavu si kitu kwetu.
  • Tuko wengi na ndiyo alama ya amani na uchapakazi, utu na ukarimu.

Mwisho: Hakuna kabila lilitimamu, tamaduni zinatupa kasumba ya kunyosheana vidole kwa kuwa hatuwezi kufanana. Furahia na wale mnaoendana, oana nao na uchangamane nao.
Chale za wasukuma zinatofauti Gani na alama za makabila kama datooga, wamakonde na wamasai?
Chuki huzaa mitazamo yenye ubaguzi na migogoro.

Mimi nishampenda msukuma wangu sema sijui kama nae ananipenda [emoji16]
 
Wasukuma ni moja ya makabila primitive Sana Tanzania , wanaishi zama za mawe wengi wao .
Na illiteteracy yao ni nature kabisa ,kuna makabila tz hapa ,hata awe na Phd ,mtu huyo illiteracy haiishi , ujinga wa kudumu ,wasukuma ni moja ya makabila hayo
pascal Mayala
 
Wezi wataifa mna bifu sana na ngosha.
Ngosha Hana muda wa kubishana na wajinga,wezi na mataperi wa taifa.
Ngosha yupo bize ana chapa kazi kujiongezea kipato.
Kwa Sasa wasukuma wapo Kila idara na Kila mahala.

Endeleeni kuponda na kutukana mtashituka pamekucha.

Shwaiini
Acheni uchawi over
 
Tunajadiliwa sana kwa mabaya sisi wasukuma! Nadhani hatuna jema kwa ninyi makabila mengi hapa Tanzania.

Chuki mliyonayo dhidi yetu ni kubwa mno kiasi Cha kuanzisha mijadala hasi dhidi ya jamii yetu.
Hoja ya haya yote ni Mila na desturi! Tuko tofauti na hatufanani.

*Nimeishi maeneo mengi katika ujana wangu huu na nimekuwa na marafiki wengi wa kusaidiana katika shida na Raha hasa walipojua kuwa Mimi ni msukuma. Of course Mimi ni mcheshi na tunaishi kwa kupendana sana.
  • Wanawake wengi wanapenda hili kabila la "washamba" sijui kwanini ila mimi nime date na wanawake ( wadada) wengi wa makabila mengine kuliko hata wasukuma. Nipo humble na najiamini.
  • Huwa naishia kuwahurumia baadhi ya watu wanaofuata mkumbo kutusema vibaya ilihali ni watu duni na fukara wa nguvu na kiuchumi.

  • Hatujali hayo, tuna Ari ya kazi na ustahimilivu wa kimkakati. Kamwe tutabaki kuwa jamii inayojituma na kujiboresha kwa kutumia raslimali ardhi.
  • Chuki za wapumbavu si kitu kwetu.
  • Tuko wengi na ndiyo alama ya amani na uchapakazi, utu na ukarimu.

Mwisho: Hakuna kabila lilitimamu, tamaduni zinatupa kasumba ya kunyosheana vidole kwa kuwa hatuwezi kufanana. Furahia na wale mnaoendana, oana nao na uchangamane nao.
Chale za wasukuma zinatofauti Gani na alama za makabila kama datooga, wamakonde na wamasai?
Chuki huzaa mitazamo yenye ubaguzi na migogoro.
Naamini wasukuma wana mazuri mengi maradufu kuliko mabaya ya chache hamna kabila liko perfect however yanayosemwa mengi ya ukweli
1 ushirikina ni utamaduni wenye nguvu sana kwa wasukuma
2 kujazana kwa ndugu (kutembea au socialization sio jambo baya) utamaduni wa watu uniqueness maana wasiotembeleana wanaitwa wachoyo
3 ukarimu wanao sana wasukuma kwa kiasi kikubwa
4 ukabila pia upo kwa wasukuma (jamii nyingi za kanda ya ziwa)
5 uchapakazi hili lipo wazi sana wasukuma sio wavivu kwenye kazi ya uzalishaji mali au hata kuzalisha wake zao 😄 🤣
 
Tunajadiliwa sana kwa mabaya sisi wasukuma! Nadhani hatuna jema kwa ninyi makabila mengi hapa Tanzania.

Chuki mliyonayo dhidi yetu ni kubwa mno kiasi Cha kuanzisha mijadala hasi dhidi ya jamii yetu.
Hoja ya haya yote ni Mila na desturi! Tuko tofauti na hatufanani.

*Nimeishi maeneo mengi katika ujana wangu huu na nimekuwa na marafiki wengi wa kusaidiana katika shida na Raha hasa walipojua kuwa Mimi ni msukuma. Of course Mimi ni mcheshi na tunaishi kwa kupendana sana.
  • Wanawake wengi wanapenda hili kabila la "washamba" sijui kwanini ila mimi nime date na wanawake ( wadada) wengi wa makabila mengine kuliko hata wasukuma. Nipo humble na najiamini.
  • Huwa naishia kuwahurumia baadhi ya watu wanaofuata mkumbo kutusema vibaya ilihali ni watu duni na fukara wa nguvu na kiuchumi.

  • Hatujali hayo, tuna Ari ya kazi na ustahimilivu wa kimkakati. Kamwe tutabaki kuwa jamii inayojituma na kujiboresha kwa kutumia raslimali ardhi.
  • Chuki za wapumbavu si kitu kwetu.
  • Tuko wengi na ndiyo alama ya amani na uchapakazi, utu na ukarimu.

Mwisho: Hakuna kabila lilitimamu, tamaduni zinatupa kasumba ya kunyosheana vidole kwa kuwa hatuwezi kufanana. Furahia na wale mnaoendana, oana nao na uchangamane nao.
Chale za wasukuma zinatofauti Gani na alama za makabila kama datooga, wamakonde na wamasai?
Chuki huzaa mitazamo yenye ubaguzi na migogoro.
Wasukuma mbona mnapendwa. Ngoja ianze mada ya ndugu zetu Wachaga uone.
 
Da umenikumbusha mbali.. nilikuwaga na manzi alikuwa na chale nyingi kwenye makalio (sidhani kama huyo mganga wake aliuacha ule mzigo).. ila ilikuwa pisi hatari.. hakuwa msukuma alikuwa mpare.. tulishindwana usiku alikuwa anaota ndoto za kukabwa kabwa ..yani anapambana kabisa mixer kuongea vitu vya ajabu.. nikasema kuna siku hilo jini lake litanichenjia
 
Sitasahau kuna msukuma mmoja ni binti nilikutana nae nikamwelewa nika piga sound akatiki alipokuja gheto nimelala nae siku moja kesho yake wakati anaondoka si akaondoka na rimoti ya fane Homebase kaweka kabisa kwenye mkoba wake ety😂. Sasa ile natafuta rimoti kama siku 3 baadae siioni likanijia wazo nimuulize kama hajaiona ndio ananiambia aliweka kwenye mkoba akajisahau na kuondoka nayo hadi kwao mwanza dah nikasema hawa watu kweli ushamba umewazidi aisee
Kwani kuondoka na remote ni ushamba au aliamua akukomoe!!🤣
 
Kuna jamaa alidhamiria kuoa, akapangiwa ng'ombe 40, wazazi wa binti wakaomba ndg wapunguze kwa kuwa anayeoa si msukuma, wakapunguza mpaka 35, jamaa alijuanda na 1.5m, mshenga alipofikidha ripoti, ikabidi wapige kimya, mshenga hakurudisha majibu siku alioahidi kuwa atarudi.
 
Da umenikumbusha mbali.. nilikuwaga na manzi alikuwa na chale nyingi kwenye makalio (sidhani kama huyo mganga wake aliuacha huo mzigo).. ila ilikuwa pisi hatari.. hakuwa msukuma alikuwa mpare.. tulishindwana usiku alikuwa anaota ndoto za kukabwa kabwa ..yani anapambana kabisa mixer kuongea vitu vya ajabu.. nikasema kuna siku hilo jini lake litanichenjia
Kwani mtu ukimwona na chale ndio unamwona ni mshamba au? Tatizo lenu mmekuwa brain washed na wazungu kupitia dini. Chale ni mila tu kama ambavyo wazungu wanavyopenda kuchora tatoo. Sasa na wao kwa kushora tatoo ni washamba? Jaribuni kujitambua basi nyinyi nyumbu wa kiafrika!!
 
Back
Top Bottom