Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja.

Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana.

Manabii karibuni mnisimange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…