Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

Suleiman mwenyewe alikua na 700 plus michepuko 300 na bado hekima alijaziwa mpaka zikamwagika mimi ni nani niwe na mtetea mmoja?
Naunga mkono hoja[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Bora uchepuke kuoa sikushauri
 
Kutaka kusumbua hao wake zako tu.....waanze kutafuta vijana wa kuwapandisha kilimanjaro kwa tamaa zako
 
Back
Top Bottom