Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Unakuwa umenunua matrektaMto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe 😄 tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuwa umenunua matrektaMto wenye vyanzo vingi haushiwi maji we binti. Oa wake zako sita, ishi raha mstarehe 😄 tena unatafta shamba kubwa kama bwana nguzu wanakuwa wanachapa kazi humo
Kwa kingereza kama cha ndarichakoros wanasema ze stone one, ze double birdsUnakuwa umenunua matrekta
Three sweeters one husband.Kwa kingereza kama cha ndarichakoros wanasema ze stone one, ze double birds
Hahah hahah yenye horse power kidogo sana. Dawa hapa kila mke na trekta lake na ardhi yake, hawa watu ukiwaweka pamoja hawakawii kukuloga ufe ili wakose woteUnakuwa umenunua matrekta