Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Umeandika kwa ushabiki wa kusimuliwa pasipo kuwa na ueleo wa historia ya maisha ya Mtume Muhammad (S.A.W)Bujibuji Simba Nyanaume kwanza kabisa hongera kwa ushindi mlioupata jana dhidi ya Berkane, nyie kweli ni Simba Nyanaume si viluilui vya Jangwani vyenye roho mbaya kuzuia nyie msinywe maji kule Lupaso (Kwa Mkapa). Mungu hajakataza mtu kuoa wake wengi, story nyingi za Quran na Biblia ni uzushi tu na hazina mashiko yoyote. Kuna kipindi Mohammad alikuwa na wake 13 akawaacha wengine (kwa kupunguza) mpaka akabakiwa na 7 tu. Kijana Yakobo kwenye Biblia alikuwa na wake lukuki, mfalme Solomon alikuwa na wake 700 na girlfriends 300. Yet, bado watu wanaamini tu upuuzi wa kwenye hivi vitabu. Wewe kama uwezo unao oa tu kwani lengo la wewe kuwa mwanamme ni kuja hapa duniani kuzalisha wanawake na kuwatunza, HAKUNA aliyekukataza. Ukifuata hizi dini utapotoka mshikaji maana zinakufanya uwe mjinga daima. Angalia watu wanaojikita kwenye dini, ni kama mazombie fulani hivi yasiyo na akili za kufikiri mpaka waambiwe na sheikh ama mchungaji.
Hakuwahi kumtariki hata mke wake mmoja,na hakuwahi kuishi na wake 14 kama unavyodanganya na chuki zako za kidini.Mke wa kwanza wa Mtume aliitwa Bi Hadija aliishi naye robo karne,na wakati yuko na Bi Hadija hakuwahi kuoa mke mwingine mpaka Bi hadija alipofariki ndipo Mtume alipokuja kuowa wake wengine